SoC02 Fahamu ushoga na usagaji ulivyo na unavyozidi kuenea nchini, sababu na athari zake katika jamii

Stories of Change - 2022 Competition

Kingtol

Member
Mar 20, 2012
11
29
Leo tunakutana tena kuzungumzia jambo ambalo si geni kwenye maskio ya walio wengi japo halifahamik sana chanzo,sababu na athari zake kwa jamii.

Tuondoe dhana ya kusema kuongelea dhambi ni kufanya dhambi na haifai na kujiweka nyuma katika kufatilia mambo kama haya ndio chanzo kingine cha huu mchezo kuendelea kukithiri maana tunajitoa ufahamu kutojadili uchafu huu"

Ushoga ni nini? katika mada hii ya leo ina maana tofauti na ile ya Urafiki, Bali Ushoga ni ile hali ya mwanaume/mvulana kujihusisha kingono na mwanaume/mvulana mwenzie kinyume na maumbile yani uume kuingizwa ndani ya puru (mk**du) au utumbo mpana kisayansi.

Usagaji ni nini? ni ile hali ya mwanamke/msichana kujihusisha kingono na mwanamke/msichana mwenzie yani kusuguana uke kwa uke,kunyonyana uke,na kutumia uume bandia wa kuvaa (dildos) na kuingizana katika uke zao.

Leo tutadili sana na ushoga ambao una madhara makubwa zaidi ya usagaji.

CHANZO CHA USHOGA KIDUNIA
🍿
Inaaminika tabia hii ya kulawiti au kulawitiwa (wanaume kuingiliana kinyume na maumbile) ilianza tangu kale kidini ilianza na kushamiri katika miji ya Sodoma na Gomora.

🍿
Lakin tofauti na habari za kidini, Ngono hii ilikuwa inafanywa na tamaduni zisizokuwa na hali ya utambuzi.
Ikaenea katika mataifa mengi ulaya na Amerika kisha Afrika.

CHANZO CHA USHOGA TANZANIA
🍿
Kuingia kwa tamaduni mpya za wakoloni waliokuja Afrika, na kuongezeka kwa biashara za masafa pamoja na kujaa kwa waarabu, wahindi na wazungu toka ulaya hadi pwani ya Afrika mashariki kuanzia Mombasa Kenya hadi Zanzibar, Tanga na Dar Es salaam kulichangia kwa kiasi kikubwa jamii ya Kitanzania kuadapt ngono ya namna hii yani Ufiraji ambapo kwa sasa karibia mikoa yote wapo watu wengi sana wanaofanya mchezo huo kisiri na hawajioneshi kabisa na wengine wazi kabisa yani wanafahamika kirahisi maana wanajitangaza na wanajionesha mitandaoni

🍿Ukijaribu kufika maeneo hayo niliyotaja asilimia kubwa ya vijana wa kiume utawakuta wanajihusisha na ushoga wengine wakiwa ni wasiri sana kuwagundua ni ngumu sana hadi uwe umeambiwa au umemfumania mahali.

🍿Lakin kuna hao ambao hawajifichi kabisa na wanajiweka kikike kabisa wanavaa nguo za kike,wanatembea miondoko ya kike,wanalegeza sauti na kampan yao kubwa ni wanawake na wanajitangaza mitandaoni.

🍿Kwa wanaoishi mjini wanapenda sana kushinda kwenye masaluni ya kike na usiku kwenye maklabu makubwa na bar za jijini lakin kwa uswahilini utawakuta kwenye vigodoro na saluni za mtaani ndio vijiwe vyao vikubwa wakijiuza kwa watu wanaoaminika kuwa ndio mabwana zao (MABASHA) yan wanaume wanaovutiwa na ngono kwa wanaume wenzao.

VYANZO NA SABABU
🍏1. Shule za boarding hasa zile za single school yani boys tupu au girls tupu ,wapo wanaoanzia huku endapo uangalizi ni mdogo vijana wa shule waliolegea legea wanabakwa na kulawitiwa na vijana wenye nguvu na wababe shuleni hatimae mbakwaji anazoea ile hali.

🍏2. Magerezani katika sehemu ambazo ndizo zinakuza sana aina hii ya ngono ya ushoga ni magerezani, kuna visa vingi sana toka kwa wafungwa kufanyiana huu mchezo wa kulatiwa na walio na nguvu na hakuna kesi hivyo mfungwa akimaliza kifungo na kurudi mtaan na alishazoea kuingiliwa basi ndio kashakuwa shoga hivo

🍏3. Malezi mabaya na hafifu ya wazaz au walezi kwa vijana wao kiume Hili nalo linachangia sana kuongezeka kwa mashoga nchini maana vijana wanakosa uangalizi kipindi cha makuzi hivyo huingia katika urafiki na makundi ya vijana wenye tabia chafu za ngono na kupenda kujaribu kila jambo ,mzaz hana muda na mwanae,hajui kalala wapi na haulizi.

🍿
Lakin pia wanawake wamekuwa watoa sapot wakubwa kwa hao mashoga na kuwatetea mbele ya jamii kwamba et Mungu ndivyi alivyowaumba wawe hivyo hawajapenda kuwa hivo"", Hiyo si sawa.
Wanatumia misemo mingi ili kuhalalisha tendo hilo hilo kwa kusema ""Usihukumu ,mwache Mungu ahukum yeye,wewe mbona una madhambi yako hatujakuhukum"" hajuna anayehukumiwa bali wanaelekezwa njia sahihi za kusimama katika jins zao.

🍏4. Kuangalia video za ngono za mashoga kwenye simu,mabanda ya video,na hata kwa kompyuta siku hizi kuna tovuti nyingi sana za kijamii mtandaoni ,vijana wametekwa sana uangaliaji wa video za ngono ,sasa wengine wanaangalia sana mashoga na usagaji na huwafanya waone ni jambo la kawaida na kutaka kujaribu maana wanaathirika kisaikolojia

🍏5. Kujidharau na kukata tamaa kwa vijana wanaozaliwa na homoni nyingi za kike wanajiona kama walipaswa kuwa wanawake, wanapata vishawishi na kuamua kujiingiza na huo mchezo bila kupenda kutokana na kashfa na kejeli apewazo na wanaume wasio na hizo homoni, kwa mujibu wa madaktari wanasema hakuna Madaktari wanasema "hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuwa na hizo homoni nyingi za kike basi zitapelekea mtu huyo kuwa na hisia za kuingiliwa nyuma bali hao wanaoamua kuingia katika mchezo huo wanakuwa wameamua tu binafsi kwa kutojielewa na kuthamini jinsi yao,wanahisi huenda walipaswa kuzaliwa wanawake kumbe si kweli"

🍏6. Tamaa za pesa na mteremko wa maisha mazuri vijana wamekuwa na tabia ya kutamani maisha mazuri na mafanikio ya haraka sana hivyo hupelekea kujikita katika tabia ya kuingiliwa kinyume na maumbile na watu wanaoitwa mabasha kwa kuwapa pesa ndefu.

🍏7. Baadhi ya madhehebu ya kidini kuruhusu ndoa za jinsia moja huko ulaya na marekani hii nayo inaendelea sana kuchochea ushoga na usagaji kuenea kwa kasi maana upotoshaji huo unaonekana kama ni halali tu, kwa afrika tayari South afrika imekubali sheria ya ndoa za jinsia moja.

🍏8. Biashara ya utalii maeneo ya Zanzibar,Tanga,Dar,Moshi na Arusha kwa mfano kunasemekana Wagiriki na waitaliano wanaokuja Tanzania maeneo nikiyotaja hapo huwatumia vijana kingono kinyume na maumbile na kuwalipa pesa, aidha waingiliwe wao wazungu au wao wawaingilie vijana wa kitanzania katika mahotel yao ya kitalii, kumekuwa na report nyingi na hadi wengine wamenaswa kwa video vyooni katika mahotel na maklabu ya watalii wakifanya huo mchezo na video hizo kurushwa kwenye mitandao ya ngono.

🍏9. Ulawiti wa vijana wadogo wa kiume na watu wazima walio na tabia chafu ya kulawiti kumekuwa na taarifa nyingi nchini za watoto wa kiume kulawitiwa ipatapo kila siku ,sasa jiulize hao ambao taarifa hazijapatikana na hawajasema popite wakazoea hiyo tabia si wameshakuwa mashoga kwa sasa.

JE WALAWITI/WAFIRAJI NI WATU WA AINA GANI?
🍿
Wanaitwa MABASHA ,hawa ni watu tu tena wengine wana heshima kubwa katika jamii kuwadhania kama wanaendekeza mchezo huu wa ufiraji na kulawiti vijana na wanaume wenzao ni ngumu sana kuwajua.

🍿
Wengi wanajificha na hawasemi hadharani kama wanafanya huo mchezo maana wanafaham sio utamaduni wa kitanzani na sio maadili mema hivyo wanakwepa fedheha na aibu hiyo.

Wengine wana familia zao kabisa wameoa na wana watoto na wana nafas zao nzuri tu katika jamii, hakuna idara hata moja wanaokosekana watu wanaojihusisha na ushoga, wengi hawajioneshi kukwepa fedheha na aibu ila utakuja kugundua nyendo zao taratibu.

ATHARI ZA USHOGA NA USAGAJI
🍏1. Kidini kwa wenye imani za ukristo na uislam ni dhambi na ni laana
🍏2. Kansa ya mk**du
🍏3. Virusi vya Ukimwi
🍏4. Kansa njia ya mkojo
🍏5. Kushindwa kutungisha mimba
🍏6. Kuisha nguvu za kiume
🍏7. Kujiharishia hovyo maana njia imetanuliwa
🍏8. Kuathirika kisaikolojia kwa kujidharau na kujiona umelaaniwa na kukata tamaa kimaisha
🍏9. Kujiaminisha kuwa Mungu ndio mtoa hukumu na ndio aliwaumba hivyo wakiwa na hisia hizo kumbe si kweli.
🍏10. Kupungua na kupotea kizaz cha jinsi ya kiume na kupunguza nguvu kazi nchini.

JE NINI KIFANYIKE ILI KUTOKOMEZA USHOGA NA USAGAJI NCHINI?
🍿
Kwakweli katika zoezi na jambo gumu sana ni pamoja na hili ijapokuwa nchi kama KOREA KASKAZINI wamefanikiwa kwa 100% kutokuwa na ushoga nchin mwao ila kwa sisi inahitajika SACRFICE KUBWA SANA ili kuweza kumaliza janga hili maana vijana wengi wameshaathirika sana na kwa sasa wanalindwa na mataifa makuwab dunian na chama chao cha LGBTQI kutetea haki za wapenzi wa jinsi moja.
Serikali inaogopa kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.

🍿
Kinachokosewa na serikali kuwakamata mashoga wanaojitangaza hadharani yan wale wanaoingiliwa tu na kuwaona ndio wakosaji wakuu, wanasahau kuwa watu wa kwanza kabisa kuwakamata ni WANAOLAWITI (wafiraji/mabasha wanaitwa) hawa ndio wanaoendeleza na kukuza huo mchezo maana ndio wateja wao.
Lakini pia SULUHISHO sio kuwakamata hawa watu na kuwapeleka jela hapo hatujatatua tatizo kabisa bali tunaongeza tatizo ndio maana kamoen nyingu za maoambano haya yanaishia patupu kila mwaka.

¶🍿Serikali inaweza kuanzisha makambi maalum mapya kabisa kama zile DETENTION CAMPS za kuwakuza kijeshi, kuwakuza kiroho kwa imani zetu kuu mbili za ukristo na uislam, kwa ulazima wakawa wanaishi makambini.
¶🍿Lakini waanzishe vitengo na masomo ya maadili na kuwawajibisha wazaz wasiowajibika na malezi mazuri kwa watoto wao.
¶🍿Kuweka usimamizi mkali kwenye mashule ya jinsi moja.
¶🍿Kuwakamata na kuwashtak watalii wanaowatumia vijana katika huo mchezo bila kuhofia vitisho vya nchi za nje.
¶🍿Kufunga hotel zinazofanya hizo biashara za ngono.
¶🍿Kuwarudishia mamlaka makubwa mabalozi wa nyumba kumi kujua kila mwanamtaa mwenyeji na mgeni na kukusanya data za vijana wote wenye maadili mabovu.
¶🍿JKT iwe ni lazima kwa kila kijana aliye mtaani na hana kazi inayoeleweka wakusanywe na kupelekwa kwenye makambi ya jkt na kuanzisha kambi nyingi za jkt ambazo zinakuwa na fani zote za maisha.
¶🍿Viongozi wadini waache kuhubiri kuhusu pesa na mafanikio bali wajikite kukemea sana maovu kwa jamii na wasimame katika kurekebisha tabia chafu na madhambi.

KUTOKOMEZA HII TABIA ITACHUKUA MUDA MREFU SANA NA NI NGUMU SANA JAPO JAMII IKITHUBUTU KUSIMAMA IMARA IKIPATA SAPOTI NA SERIKALI ISIYO NA UOGA WA KUFUNGIWA MISAADA TUTAFANIKIWA KWA KIASI KIKUBWA

©Written By
ALFRED S. ALBANO
 
Vipi Ushoga unao sababishwa na ukilema sijui nisema yaani mtu juzaliwa na Homoni zz jinsi tofauti nyingi, na ukia galia hata wasagaji wengi wana kuwa na homoni za kiume na masjoga wako ambao walizaliwa hivyo na wala hawajaiga na ukikuta ni amezaliwa hivyo hakuna namna unaweza mbadilisha.

Back to the topic, sidhani kama ushoga umeletwa na Wazungu na waarabu bali hata waafrica wenyewe kuna ushoga sema africa walifanya kwa siri sana na sawa na wazungu ambao nao zamani walifanya kwa siri sana
 
Ukisoma machapisho mbali mbali sisi hatujafikia wazungu hata robo ya mapambano yao dhidi ya ushoga, Marekani hadi miaka ya 70 ndio kidogo mashoga walipata auhueni, Ila ukisoma kipindi cha nyuma miaka ya 1900 na kuja hadi 1940 huko hadi 50 mashoga walikuwa wanasakwa mtaa kwa mtaaa na wanachukuliwa na kwenda kuliwa, Marekani mashoga wengi sana waliuwawa kipindi cha nyuma wengi sana the same na Ulaya huko, ila baadae ndo mambo yakaanza kubadilika kidogo kidogo hadi leo hii ambako wana promo kubwa sana.

Usidhani Africa au Tanzania kipindi cha nyuma hakukuwa na ushoga ulikuwepo sana ila kwa siri sana ni juzi kati ndio watu wameanza kujitokeza na kadri siku zinavyo kwenda watu wanazoea hii hali asikuambie.mtu kwamba ushoga utaisha ni sawa na Ukahaba huwezi isha kamwe.

Kilichopo ni watu hasa watoto kufundishwa madhara yake wajue kabisa madhara yake, ili wakuwe wakijua, Ila kwamba ushoga utaisha hilo sahau, na pia watoto hasa wadogo wapime maoemba kujua kama Homon zake ziko balanced au la, make mzazi anakaa kimya kumbe mtoto ni wa kiume ila ana homon nyingi sana za kike.

Kule Arusha waongoza Watalii kila siku wanapokea Mashoga yaani Wale tourguide wanawajua mashoga saba wanawapeleka Porini sana na mwisho wa siku wanapewa tip, kuna Guide anakataa tip ya mashoga? hapana hakuba anaye weza kataa wakati watoto wanahitaji ada ya shule.

Kilichopo ni elimu elimu elimu elimu sana kwa hasa watoto ambao ndio wanakuwa wajue kabisa hili jambo ni baya sana na ni laaana kubwa sana kwa jamii na mbele za Mungu.

Ushoga hautaisha kamwe na ndo kwanza unashamiri kwa kasi sana.
 
JKT iwe ni lazima kwa kila kijana aliye mtaani na hana kazi inayoeleweka wakusanywe na kupelekwa kwenye makambi ya jkt na kuanzisha kambi nyingi za jkt ambazo zinakuwa na fani zote za maisha.
Una uwakika gan wa usalama wa hizo kambi za JKT ambazo zitakuchanya hao vijana wa mtaani? Maana Sasa hiv sio ajabu kukutana na msoja au afisa usalama shoga.

Ni Mfano tu lakin
 
Vipi Ushoga unao sababishwa na ukilema sijui nisema yaani mtu juzaliwa na Homoni zz jinsi tofauti nyingi, na ukia galia hata wasagaji wengi wana kuwa na homoni za kiume na masjoga wako ambao walizaliwa hivyo na wala hawajaiga na ukikuta ni amezaliwa hivyo hakuna namna unaweza mbadilisha.

Back to the topic, sidhani kama ushoga umeletwa na Wazungu na waarabu bali hata waafrica wenyewe kuna ushoga sema africa walifanya kwa siri sana na sawa na wazungu ambao nao zamani walifanya kwa siri sana
Nimeeleza hapo kuwa wale waliokuwa na homoni tofauti na za jinsi yake ,hizo homoni sio ushawishi wa hisia za kuingiliwa au kumuingilia mtu au kumsaga mtu ,unaambiwa kitaalamu zile homoni hazina visababishi kupelekea kutamani kufanya ngono!

Kuhusu waafrika kuwa walikuwa na huo mchezo miaka ya zaman kabla ya ujio wa wakoloni ,hapo sipingi maana nilisoma vitabu vya hadithi za kale inasemekane kulikuwa na watu wenye tabia hizo za kuingiliana jins moja .... ila hao wazungu ndio wamekuja kuhalalisha jambo hilo ndipo nilipojikita kwa waliopiga kidedea uhusiano huo wa same sex utambulike na uwe wa kawaida tu, Jamii ndogo sana za waafrika waliojihusisha na ngono hiyo hapo kale kwa mujibu wa vitabu, makabila mengi ilikuwa ukijulikana unapata adhabu kali kama ya kifo.
 
Una uwakika gan wa usalama wa hizo kambi za JKT ambazo zitakuchanya hao vijana wa mtaani? Maana Sasa hiv sio ajabu kukutana na msoja au afisa usalama shoga.

Ni Mfano tu lakin
Sina uhakika sana, hata kama wapo masoja wanajihusisha na hayo masuala basi ni asilimia ndogo sana asee na watakuwa wanafanya kwa siri sana.
maana yaliyopo kule daah nadhan itasaidia sana kupunguza hilo tatizo tofauti na kuwakamata na kuwapeleka magerezani pale ndo tunakuza ushoga kabisa
 
Ukisoma machapisho mbali mbali sisi hatujafikia wazungu hata robo ya mapambano yao dhidi ya ushoga, Marekani hadi miaka ya 70 ndio kidogo mashoga walipata auhueni, Ila ukisoma kipindi cha nyuma miaka ya 1900 na kuja hadi 1940 huko hadi 50 mashoga walikuwa wanasakwa mtaa kwa mtaaa na wanachukuliwa na kwenda kuliwa, Marekani mashoga wengi sana waliuwawa kipindi cha nyuma wengi sana the same na Ulaya huko, ila baadae ndo mambo yakaanza kubadilika kidogo kidogo hadi leo hii ambako wana promo kubwa sana.

Usidhani Africa au Tanzania kipindi cha nyuma hakukuwa na ushoga ulikuwepo sana ila kwa siri sana ni juzi kati ndio watu wameanza kujitokeza na kadri siku zinavyo kwenda watu wanazoea hii hali asikuambie.mtu kwamba ushoga utaisha ni sawa na Ukahaba huwezi isha kamwe.

Kilichopo ni watu hasa watoto kufundishwa madhara yake wajue kabisa madhara yake, ili wakuwe wakijua, Ila kwamba ushoga utaisha hilo sahau, na pia watoto hasa wadogo wapime maoemba kujua kama Homon zake ziko balanced au la, make mzazi anakaa kimya kumbe mtoto ni wa kiume ila ana homon nyingi sana za kike.

Kule Arusha waongoza Watalii kila siku wanapokea Mashoga yaani Wale tourguide wanawajua mashoga saba wanawapeleka Porini sana na mwisho wa siku wanapewa tip, kuna Guide anakataa tip ya mashoga? hapana hakuba anaye weza kataa wakati watoto wanahitaji ada ya shule.

Kilichopo ni elimu elimu elimu elimu sana kwa hasa watoto ambao ndio wanakuwa wajue kabisa hili jambo ni baya sana na ni laaana kubwa sana kwa jamii na mbele za Mungu.

Ushoga hautaisha kamwe na ndo kwanza unashamiri kwa kasi sana.
Upo sahihi, kuisha kunakuwa kugumu kwa sababu tu ya kuogopa mataifa yenye nguvu.

Ndio maana nimekupa mfano wa mataifa ya kikomunist yalivyopambama na kutokomeza ushoga kwenye nchi zao ,sio kazi rahisi sana ila wamemudu vilivyo kutokana na misingi thabit waliyojiwekea ,sheria ngumu na kali sana dhidi ya mashoga na wasagaji wanazisimamia vilivyo.

Hao U.S.A na Ulaya yote hao wameshakengeuka muda mrefu sana na ndio wanaopambisha hilo suala liwe normal kwa kila taifa na dini za mbalimbali zikubali ndoa za jinsia moja.

Korea kaskazini, Urusi na zinginezo zimeweza kuzuia hayo kwa muda mrefu sasa.

Kwakuwa pia na wao wana nguvu za maamuzi juu ya nchi zao.
 
Ukisoma machapisho mbali mbali sisi hatujafikia wazungu hata robo ya mapambano yao dhidi ya ushoga, Marekani hadi miaka ya 70 ndio kidogo mashoga walipata auhueni, Ila ukisoma kipindi cha nyuma miaka ya 1900 na kuja hadi 1940 huko hadi 50 mashoga walikuwa wanasakwa mtaa kwa mtaaa na wanachukuliwa na kwenda kuliwa, Marekani mashoga wengi sana waliuwawa kipindi cha nyuma wengi sana the same na Ulaya huko, ila baadae ndo mambo yakaanza kubadilika kidogo kidogo hadi leo hii ambako wana promo kubwa sana.

Usidhani Africa au Tanzania kipindi cha nyuma hakukuwa na ushoga ulikuwepo sana ila kwa siri sana ni juzi kati ndio watu wameanza kujitokeza na kadri siku zinavyo kwenda watu wanazoea hii hali asikuambie.mtu kwamba ushoga utaisha ni sawa na Ukahaba huwezi isha kamwe.

Kilichopo ni watu hasa watoto kufundishwa madhara yake wajue kabisa madhara yake, ili wakuwe wakijua, Ila kwamba ushoga utaisha hilo sahau, na pia watoto hasa wadogo wapime maoemba kujua kama Homon zake ziko balanced au la, make mzazi anakaa kimya kumbe mtoto ni wa kiume ila ana homon nyingi sana za kike.

Kule Arusha waongoza Watalii kila siku wanapokea Mashoga yaani Wale tourguide wanawajua mashoga saba wanawapeleka Porini sana na mwisho wa siku wanapewa tip, kuna Guide anakataa tip ya mashoga? hapana hakuba anaye weza kataa wakati watoto wanahitaji ada ya shule.

Kilichopo ni elimu elimu elimu elimu sana kwa hasa watoto ambao ndio wanakuwa wajue kabisa hili jambo ni baya sana na ni laaana kubwa sana kwa jamii na mbele za Mungu.

Ushoga hautaisha kamwe na ndo kwanza unashamiri kwa kasi sana.

Nakuunga mkono Uingereza kuna jamaa n baba wa computer kama skosei kat ya watu wenye mchango mkubwa kwenye science dunian leo alikua shoga akauliwa mbona afrika bado sana
 
Stori ni nzuri ila kuna sehemu umekosea kusema kuwa ushoga ulianza kwa kuja wageni Afrika na Tanzania.
Je, huko kwao walikuja wageni kutoka wapi ambao walipeleka ushoga?
Wafungie watoto wadogo getini aidha wa jinsia moja au tofauti kisha wafanye wasiwajue watu zaidi ya nyie wazazi baada ya miaka 15 utaona wamekulana.
Nani kawafundisha?
Haya ngoja niendelee kusoma stori yako.
 
Hahaaa ujue watu wanadanganyana kwamba Wazungu ndio walileta ushoga, mimi nawaambia hata Africa Ushoga upo miaka yote sema ni kwa siri sana tofauti ya Wazunvu na Africa iko kwenye uwazi
 
Nimeeleza hapo kuwa wale waliokuwa na homoni tofauti na za jinsi yake ,hizo homoni sio ushawishi wa hisia za kuingiliwa au kumuingilia mtu au kumsaga mtu ,unaambiwa kitaalamu zile homoni hazina visababishi kupelekea kutamani kufanya ngono!

Kuhusu waafrika kuwa walikuwa na huo mchezo miaka ya zaman kabla ya ujio wa wakoloni ,hapo sipingi maana nilisoma vitabu vya hadithi za kale inasemekane kulikuwa na watu wenye tabia hizo za kuingiliana jins moja .... ila hao wazungu ndio wamekuja kuhalalisha jambo hilo ndipo nilipojikita kwa waliopiga kidedea uhusiano huo wa same sex utambulike na uwe wa kawaida tu, Jamii ndogo sana za waafrika waliojihusisha na ngono hiyo hapo kale kwa mujibu wa vitabu, makabila mengi ilikuwa ukijulikana unapata adhabu kali kama ya kifo.
Sikiliza muwe mnasoma sana , mimi nimesoma sana hizi habari nimeingia chimbo nikuambie Marekani Mashoga wameywawa sana kipindi cha nyuma, walikuwa anakusanywa mtaa kwa mtaa na walikuwa hawarudi, So ukisema Wazungu wameleta ushoga sio kweli, Nakupa miaka 20 kutoka sasa ushoga Tanzania itakuwa jambo la kawaida sana watu watatambulishana hadi kwa wazazi,
 
Wanalindwa na shirika lao kubwa na lenye full support ya mataifa yenye nguvu duniani ,shirika hilo linaitwa LGBTQ, ukijaribu kuwakamata hao mashoga au kuwachapa viboko au kuwaadhibu kwa namna yoyote ile afu hao Activist wa LGBT wakajua mweeh utafatiliwa na taifa lako litakuwa matatani sana kimisaada ndo maana inakuwa vigumu sana serikali ya Tanzania kupambana na ushoga
Sio shirika lao, bali huna cha kumfanya, nani amewahi kufungwa kwa ushoga nchi hii? Kuna kesi ngapi mahakamani?
 
Nakuunga mkono Uingereza kuna jamaa n baba wa computer kama skosei kat ya watu wenye mchango mkubwa kwenye science dunian leo alikua shoga akauliwa mbona afrika bado sana
Hakuna watu walio pinga ushoga kama Wazungu, na wao walifanya kweli waliua sana mashoga, sasa huku hata kufungwa shoga tu haijawahi tokea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom