Nani kakuambia mashoga hawagongi k mzee? Tena usikubali mke wako awe na rafiki shoga wale jamaa wanapiga mashine kama kawaida ila wanapenda kupiga wanaume wenzao, ila ukiona demu wako yuko karibu nao jua huwa anapashwa pashwa mara mojamoja ila siyo starehe zao wanawake.

Hapo umetuongopea mkuu, Mashoga huwa hawapendi/hawaenjoy kufanya mapenzi na wanawake. Kwa wanawake wanafata kampani tu na si mahusiano. Unless otherwise una lako jambo.
 
Ushoga na Usagaji unasababishwa na hizi Industries za Music ,fashion na Media halafu kama umepeleleza katika movie yyote special western movie utakuta gay au lesbian wamo ndani ya movie kwa mfano UK Walimu wanawambia wanafunzi unaweza kuwa vile unavotaka ikiwa unajihisi unataka kuwa mme wkat weye mke or vise vasa kwa kweli hili janga ni la ulimwengu mzima sio bongo tu na balaa kubwa jengine ni kuwa mwanamme anajiga sindano ya kuota maziwa anakuwa all round anatiwa na anatia vile vile lkn kajikita zaidi katika ukike.Mungu atunusuru sana vizazi vyetu lkn ni balaaa kubwa.
Hlo apo Moja
255711377711_status_78185b2bbf464a89854c4a47428c7530.jpg
 
Haya ni mawazo potofu kabisa. Ushoga siyo tabia ni jinsia mtu anazaliwa shoga, hajifunzi kuwa shoga hata aishi na mashoga, tena ulaya mashoga wanaoana na wanaruhusiwa ku adopt mtoto na analelewa na wazazi mashoga na anakuwa mtu wa kawaida kabisa siyo shoga.

Kama hamjasoma biolojia hata ya form 2, ni kwamba binadamu anazaliwa kwa maelekezo ya DNA ambazo zinabeba chromosomes x na y ambapo male wana xy na female wana xx, ambapo ikitokea confusion kwenye chromosomes basi tatizo litaweza kusababisha imbalances hata kwenye sexual hormones ambapo male wanatakiwa wawe na testosterone na female wanatakiwa wawe na estrogen na progesterone badala yake unakuta male ana testosterone na estrogen na progesterone au female ana estrogen, progesterone na testosterone.

Sasa ikitokea kwenye DNA mimba imetungwa na mtoto wa kiume ana hormones za estrogen na progesterone huyo ni mwanaume kwa umbile ila mihemuko yake yote na hisia zake ni za kike , na ikitokea mtoto wa kike kazaliwa na hormones za testosterone basi huyo ni umbile la kike ila mihemuko yake na hisia ni za kiume.

Kwahiyo ushoga siyo swala la tabia za kuiga wala malezi ni hormones za kuzaliwa nazo yaani hata upige ugalagaze huwezi kumbadili tabia shoga awe mwanaume kama wengine ni sawa na kumpaka rangi albino awe mweusi haiwezekani ni swala la kibailojia.
Siasa za kuhalalisha...mbona hawaot maziwa.mbona hawaw na saut A kike....inamana hzo chromosomes zmeona zihamie mata.kon pekw yake...nasemaje.. hko ulichosema ni controversial na kina bishiwa kiiila siki hata huko ulaya na marekan...msitake halalisha ushetan hapa .kweeenda
 
Usiniambie mimi muambie blaza wako wa mama moja shoga
 
Usiniambie mimi muambie blaza wako wa mama moja shoga
Utetez wako unafikirisha sana..uwenda wew mtoto si riziki ..hakyanan..na kwa jins mlivyo desperate..na wajuaj..najua siwez bishana na nyie hata sku1..huwez shindana bishana na shoga ukashinda...hyaa umeshinda dada..ooh sory ..kaka
 
Si kwamba umeongezeka ila ulikuwepo siku zote, sema sasa hivi kuna utandawazi kwa hiyo kwa namna moja ama nyingine unapata "exposure".
 
Chanzo kikuu cha ushoga ni ukatili nitaeleza jambo hapa;

Nikisema ukatili sio tu ule ukatili wa kijinsia wa kulawiti watoto na vijana hapana kwani ukatili huu unachangia kwa asilimiaa ndogo sana pengine isifike 10%

Ukatili wa baba kumpiga mkewe au kutengana naye kwa visa vya ukatili, huu ndio kiini hasa cha ushoga maeneo mengi ya Tz, ukifuatilia mashoga wengi utagundua hili swala. Sasa kwanini hili linachangia na linachangia vipi?, Hii ni mada pana kidogo wakuu.
Wale wanazaliwa hivyo hivyo hakuna cha ukatili mkuu, wana ulemavu na walemavu kama walemavu wengine.

Katika hali ya kawaida tu mwanaume ambaye uko sawa kabisa, huwez kubali kupumuliwa kisogoni kwanza ni udhalilishaji usio na mfano aisee.

Sasa wewe jiulize inakuwaje mtu atake kabisa kupumuliwa kisogoni hata ile aiubu yeye haioni.

Ndo maana nasema ni ulemavu kama sio wa kihisia basi kiakili.
 
Utetez wako unafikirisha sana..uwenda wew mtoto si riziki ..hakyanan..na kwa jins mlivyo desperate..na wajuaj..najua siwez bishana na nyie hata sku1..huwez shindana bishana na shoga ukashinda...hyaa umeshinda dada..ooh sory ..kaka
Ukiona mtu anataabika sana kupinga ushoga ni dalili kubwa sana kwamba na yeye anapakuliwa. Unatumia nguvu nyingi sana kuficha siri zako.
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?
Tuishi nao kama tunavyoishi na wala vitimoto na wanywa bia
 
Kama unafikili ni tatizo la kiakili jaribu kumbadilisha shoga aache ushoga kama utaweza. Ukielewa kuwa hilo ni tatizo la kibaiolojia huwezi kuhangaika nao. Kwani wao ni viumbe wameshushwa angani au ni kaka zako binamu zako watoto wa mama zako na dada zako? Hata wewe unaweza ukazaa mtoto umemlea kwa maadili makubwa ila kama hormones zake ni tofauti na jinsia yake yani hata ufanyeje utapiga utaua, kama ni mwanaume ila hormones zake zinampa mihemuko ya kike atavutiwa na wanaume wenzake tuu hata ufanye nini yani ndo kazaliwa ivyo iko kwenye DNA yake.
Acheni ulimbukeni kama ni watoto wenu wamezaliwa hivyo muwape sapoti na siyo kuwahukumu na kuwafukuza. Mashoga wengi wanaonekana vituko kwakuwa ndugu zao wanawafukuza na wanaishia mitaani bila muelekeo wa maisha wanaishia kujiuza kujisapoti kimaisha kitu ambacho kinashusha utu wao. Wapeni sapoti ndugu zenu wakiwa wamezaliwa na viashiria vya ushoga ili wajistiri waweze kuishi kistaarabu kama binadamu wengine.
ushoga ni pepo, shetani. hakuna anayezaliwa nao ila anayeamua kuingiliwa akishaingiliwa tu hilo pepo likimwingia ndio basi tena kuacha ngumu. hata walioacha wanakuambia kabisa kuwa haikuta kazi rahisi na hadi leo wanaishi kwa mabishano makubwa. chukulia mfano mwanamke wa kawaida kabisa, anazaliwa na homon zote za kike na hana hisia kabisa za kuingiliwa kinyume na maumbile, anafanya ngono tangu abalehe hadi miaka 25 mfano. siku akija kuzoeshwa kuingiliwa kinyume na maumbile tu haji kuacha huo mchezo. kwasababu ni pepo limemwingia. hao wanawake mnawaona wengi wamependeza mjini, wengi tu hawafiki kileleleni bila kuingiliwa kwenye kinyesi. dunia imeisha. msitetee ushoga.
 
hivi yule mpumbavu wa saluni ya mama kimbo, nilikuta watoto wangu wanaangalia, yule kijana kwanini wanamruhusu uanaigiza ujinga ule?
 
Wale wanazaliwa hivyo hivyo hakuna cha ukatili mkuu, wana ulemavu na walemavu kama walemavu wengine.

Katika hali ya kawaida tu mwanaume ambaye uko sawa kabisa, huwez kubali kupumuliwa kisogoni kwanza ni udhalilishaji usio na mfano aisee.

Sasa wewe jiulize inakuwaje mtu atake kabisa kupumuliwa kisogoni hata ile aiubu yeye haioni.

Ndo maana nasema ni ulemavu kama sio wa kihisia basi kiakili.
Ni vyote viwili, kihisia na kiakili na vyote vinauwezo wa kusababishwa na ukatili niliouongelea Mkuu
 
Kama unafikili ni tatizo la kiakili jaribu kumbadilisha shoga aache ushoga kama utaweza. Ukielewa kuwa hilo ni tatizo la kibaiolojia huwezi kuhangaika nao. Kwani wao ni viumbe wameshushwa angani au ni kaka zako binamu zako watoto wa mama zako na dada zako? Hata wewe unaweza ukazaa mtoto umemlea kwa maadili makubwa ila kama hormones zake ni tofauti na jinsia yake yani hata ufanyeje utapiga utaua, kama ni mwanaume ila hormones zake zinampa mihemuko ya kike atavutiwa na wanaume wenzake tuu hata ufanye nini yani ndo kazaliwa ivyo iko kwenye DNA yake.
Acheni ulimbukeni kama ni watoto wenu wamezaliwa hivyo muwape sapoti na siyo kuwahukumu na kuwafukuza. Mashoga wengi wanaonekana vituko kwakuwa ndugu zao wanawafukuza na wanaishia mitaani bila muelekeo wa maisha wanaishia kujiuza kujisapoti kimaisha kitu ambacho kinashusha utu wao. Wapeni sapoti ndugu zenu wakiwa wamezaliwa na viashiria vya ushoga ili wajistiri waweze kuishi kistaarabu kama binadamu wengine.
Wewe kijana nina mashaka makubwa sana na wewe. Aidha unajihusisha nao kwa kufanya au unashughulika na zile taasisi za siri zinazopromote homosexuals.

Ila unaonyesha wazi wewe sio m'moja wetu.

So koma tena ukome ukomae kujiingiza katika mijadala ya watanzania tunaokemea hilo tatizo la kiakili. Wewe kama haya mambo yanakufurahisha nenda ubalozi wa mataifa yanayoruhusu uende ukale bata na hao mnaosapoti ila usituletee hizi stories za kipuuzi.

Tena ukome ukome na ukomee.
 
Simple mathematics:
Chromosome X + Chromosome Y = XY (Male)
Chromosome X + Chromosome X = XX (Female)
Chromosome X + Chromosome X + Chromosome Y = XXY (Klinefelter's syndrom)
Chromosome X + Chromosome Y + Chromosome Y = XYY (Jacob's syndrome)

Kati ya hizo zote hapo huu hakuna gay. Hebu tueleze hiyo confusion inayoleta mashoga inatokeaje.
Huyu instagram ni muongo nambari moja. Mwambie alete hapa ushahidi wenye vielelezo.

Kwa nijuacho mimi hakunaga remix ya jinsia hata iweje. Mwanamke ni mwanamke tuu na mwanaume ni mwanaume tuu.

Kinachotokea ni matatizo ya mvurugo wa kimalezi na makuzi inayokuja kudhuru tabia za watu......
 
Back
Top Bottom