mwanamume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo kwa Jinsia ni Mwanamke, Lakini kwa Mawazo, Maneno na Matendo, ni Mwanamume! Uamuzi Huu ni wa Kiume! Big Up Sana kwa Uamuzi Huu wa Kiume

    Wanabodi, Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa elimu kwa umma,kuhusu gender differences betwen ME na KE, sio vile viungo vya uzazi, ni uwezo wa kufikiri, thinking ability, na namna ya kufikia maamuzi, men thinks, women feels!. Kuna wanawake, japo ni wanawake kimaumbile, but they think like...
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mwanamume akamatwa baada ya kuvaa kama 'Grim Reaper' (Malaika wa Mauti) na kusimama juu ya paa la hospitali na kuwakodolea macho wagonjwa

    Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 26 anayeitwa Leon Gillespie alikamatwa kwa kuvaa vazi la 'Grim Reaper' na kusimama kwenye paa la Hospitali ya Ysbyty Glan Clwyd huko Wales. Baada ya mahojiano likubali mashtaka mahakamani na kupigwa faini ya pauni 200 (£200) na mahakama ya Llandudno. Tukio hilo...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mwanamume Aishi Kama Mama Yake Aliyekufa kwa Miaka Mitatu Ili Kuendelea Kuchukua Pensheni Nchini Italia

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili kuendelea kupokea pensheni yake. Kwa mujibu wa wachunguzi, mama huyo alifariki mwaka 2022, lakini kifo...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MUKURU HORROR! Mwanamume Adaiwa Kumbaka na Kumuua Mamake Mwenyewe

    Residents wa Mukuru kwa Njenga wako kwa shock baada ya mwanamume mmoja anayejulikana kama “Sugu” kudaiwa kumbaka na kumuua mamake mzazi ndani ya nyumba yao ya kupanga. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea mapema wiki hii na limeacha jamii ikiwa na maswali mengi kuliko majibu. According to...
  5. Walletking

    JamiiForums Tanzania Mwanamume wa Heshima (29) anatafuta Mwenza wa Maisha mwenye Dira na Dini

    Jina: Ismail Umri: Miaka 29 Uraia: Mtanzania (kwa sasa naishi Zambia) Kazi: Dereva wa magari makubwa, pia nina ujuzi wa kompyuta na teknolojia Dini: Muislamu Tabia: Mpole, mcha Mungu, muwazi, msikivu, sina anasa, ninathamini mawasiliano ya kweli na uaminifu. Hobies: Kusafiri, kusoma, muziki, na...
  6. blogger

    JamiiForums Tanzania Nimejishangaa sana kuchelewa tambua Umuhimu wa Mto katika kumpa mwanamume muingilio mwarara

    Yani huu mto Niko nao hapa kila siku. Sikujua utumia. Haki Mapenzi ni Ubunifu. Sikuwahi jaribu hili... Hivi kumbe mwanamke anaweza banikwa zaidi ya kuku..!!!?? Ehh!!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ghadhabu nchini Somalia baada ya mwanamume kukiri kuwa alioa mtoto wa miaka minane

    Kuna hisisa za Ghadhabu nchini Somalia baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane, ambaye alikuwa ametoweka kwa miezi sita, kupatikana akiishi na mwanamume aliyesema kuwa ni mumewe. Msichana huyo aliripotiwa kutoweka na familia yake katika eneo lililojitangazia uhuru wake la Puntland...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Wasichana sita na Mwanamume mmoja wakamatwa kwa tuhuma za kuchapisha video za utupu Mitandaoni

    Nchini Rwanda, wasichana sita na mwanaume mmoja wamekamatwa na Kitengo cha kuchunguza uhalifu - RIB kwa tuhuma za kuchapisha video za utupu mitandaoni. Video ya mrembo mmoja anayeitwa Kwizera Emelyne ilisambaa mitandaoni akionekana akifanya vitendo vya ngono, vinavyochukuliwa kama utovu mkubwa...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Biblia ilivyosema msinyimane nadhani ilimlenga zaidi mwanamume kwa sababu ndo humkinai mke haraka

    japo ni ushauri wa mtume paulo ila kwetu sisi wakristo tunamuona kama ni mtu muhimu nyaraka zake tunazitumia yeye alisema kwamba wanandoa wasinyimane penzi. Nachokiwaza mimi aliyekuwa anaombwa kuwa na uvumilivu ni mwanaume kwa sababu wanandoa wakizoena na kuishi pamoja mume huanza kumuona mke...
  10. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

    Habari za muda huu waungwana. Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana. Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na...
  11. eldora

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza mwanamume

    Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree. Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana. Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mke hawezi kukaa kwa mume ambaye si mwanamume kweli

    Kuna watu wanajiona ni wanaume na hata huwa wanaoa wanawake na kuzaa nao lakini kiuhakika wake si wanaume kweli.Kama wanawake wangekuwa si uwanawake wao basi wangewakataa mapema kabla ya ndoa. Wanaume hao ninaokusudia wanajulikana kwa namna nyingi sana wa mwanzo kabisa ni wale wanaochukia...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato zingatieni hiyo amri kuwa mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke!

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizo ni picha halisi hakuna iliyotengenezwa Niwatakie Usiku mwema
  14. jerrytz

    JamiiForums Tanzania Case File 2: Mahusiano yalianzia mtandaoni yakaishia kwa mwanamume kumwagiwa tindikali (True Story)

    Tarehe 22 Mei 2018 taarifa ilitoka kwenye vyombo vya habari kuwa mwanamke anayeitwa Berlina Wallace, mwenye miaka 49 amekutwa na hatia ya kumjeruhi mpenzi wake wa zamani Mark van Dongen umri miaka 29, kwa kumwagia tindikali (acid) kiasi cha kumsababishia upofu wa macho na kumuunguza sura...
  15. Jackson670

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwema taji ya Mwanamume

    Proverbs 12:4 [4]A virtuous woman is a crown to her husband: but she that maketh ashamed is as rottenness in his bones. Mwanamke mwema ni taji ya mumewe; Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake.
  16. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania TUONGEE KIUME: Mwanaume fanya yote ila usisahau kuupa mwili pole

    Kondakta wa daladala Dar es Salaam huamka saa kumi alfajiri na kukutana na dereva wake sehemu wanapolaza gari lao. Mpaka wakitoka hapo kuingia barabarani kuanza kazi huwa saa kumi na moja imeshafika. Wanaanza kupiga mzigo, kufanya kazi mwanzo mwisho, kama unavyofahamu, majukumu ya konda wa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu

    Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu, Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo wanaume ambao ni marafiki wa Mungu lakini pia wapo wanaume ambao ni marafiki wa nyoka yaani shetani...
Back
Top Bottom