Marekani yaanza kutumia 'soft power' yake kuzuia moto wa kukataa ushoga kushika kasi Afrika

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,505
51,110
Baada ya Vladmir Putin kutangaza kuwa Taifa hilo linapinga ndoa za jinsia moja, ilipelekea watu wengi sana wa dunia ya tatu kumuunga mkono licha ya udhalimu wake wa kupeleka majeshi Ukraine kuivamia ardhi ya nchi hiyo ili kupora baadhi ya maeneo.

Uungwaji mkono huu wa Vladmir Putin kutoka kwa mamilioni ya watu wa Afrika wanaopinga ushoga uliiweka Marekani katika hali ngumu kiushawishi hasa kwenye mpango wake wa kuitenga Urusi.

Baada ya tamko la Putin , baadhi ya jamii na serikali za kiafrika zikaanza waziwazi kupaza sauti dhidi ya Ushoga.

1. Hatua ya Rais Museveni kutoka wazi na kuelezea kwa hoja nzito za kukataa ushoga na kutunga sheria ya kukataa ushoga kumeistua Marekani

Ikumbukwe kuwa miongoni mwa viongozi waandamizi waliotembelea Uganda mwaka jana ni Sergei Lavrov. Katika ziara hiyo Museveni alieleza kirefu historia ya Uganda na Urusi na kusema wazi kuwa Warusi hawajawahi kuicolonise Afrika na kuimwagia sifa kedekede. Hali hii ilipelekea Marekani nayo ipeleke mwanadiplomasia mwandamizi Uganda ili kufuta traces za Sergei Lavrov. Sasa funga kazi ni majuzi baada ya Museveni kupitosha sheria ya kupiga marufuku vitendo vya ushoga. Marekani imeona kuwa huyu kalianzisha, anaweza kusababisha nchi nyingine za Afrika kufuata njia na zenyewe kupitisha sheria kama hiyo. Kutokana na hilo, Marekani sasa iko busy kuhakikisha inafanya damage control ya hii move ya mzee Museveni ili moto wake usieenee Afrika nzima.

2. Baada ya Museveni kulianzisha, Marekani haraka sana ikampeleka mke wa Biden Kenya.

Bila shaka mambo waliyoyajadili huko ni ikiwemo kile ambacho wamarekani wanakiita "Haki za binadamu" kimsingi wakimaanisha "uhuru wa matendo ya kishoga". Baada ya kufika huko, alikaa siku chache, alipoondoka tu tukasikia Marekani imeipa Kenya mamilioni ya dola, na siku chache baadae tukaona Mahakama ya juu ya nchi hiyo Ikiruhusu NGO za kishoga kufunguliwa na kuanza kufanya kazi. Suala hilo limepingwa vibaya sana. Kwa mfano jamii za miji ya pwani huko Kenya zimezungumza wazi ktk mikusanyiko yao mbele ya Waandishi wa habari kupinga suala la mahakama ya Kenya kutoa uamuzi ule.

2. Kamala Harris anakuja Tanzania

Bila shaka ajenda atakayokuja nayo, mojawapo ni hiyohiyo ambayo Wamarekani wanaita ni haki za binadamu ambayo bila shaka maana yake pana ni kutaka nchi zetu zisiweke vizuizi juu ya usenge na ubasha yaani ushoga. Sababu mojawapo ya ziara hii pia ni kufanya damage control ya hatua ya mzee Museveni. Lakini Ikumbukwe pia serikali yetu miezi michache iliyopita ilipiga marufuku vitabu vya watoto vinavyofundisha ushoga. Kwa hiyo maana yake ni kwamba Move yetu na Move ya Mzee Museveni zinatishia ustawi wa movement ya LBGTQ katika ukanda huu wa Afrika na mashariki Afrika kiujumla. Ndiyo maana unaiona hii diplomatic charm offensive kwa nchi zetu hizi.

3. Balozi wa Marekani kwenda kumtembelea Sheikh Mkuu

Siku chache zilizopita Sheikh Mkuu alitoa agizo kwa nasheikh wote kupinga kwa nguvu matendo ya kishoga. Juzi tuliona Waislamu wakiandamana kwa wingi sana huko Arusha kupinga ushoga, na huko Mombasa Waislamu walitoa kauli kali sana ya kupinga vitendo vya kishoga. Sasa kutokana na Wamarekani kutambua kuwa resistance kubwa ya Ushoga itatoka pia kwa Taasisi za dini na miongoni mwa dini hizo wametambua kuwa Uislamu hauna compromise kwenye ishu ya Ushoga na Waislamu hawako tayari kuifanyia marekebisho dini yao kuruhusu ndoa za mashoga ndiyo maana balozi anatumia mbinu ya "kupoza moto", kwamba viongozi influential wa kiislamu wasiwe vocal sana. Yote hii ni kubuy time ili ajenda yao waipenyeze taratibu na kwa miaka mingi mpaka iwe norm katika jamii.

4. Lazima tujue kuwa wakala mkuu wa kusambaza ushoga nchini na Afrika ni balozi za Marekani katika nchi zetu

Hizi balozi zina database ya mashoga waliomo nchini, wanajua wanapoishi, wanacommunicate nao. Na wanawasaidia hadi vilainishi. Kuna mtu mmoja namfahamu alikuwa anafanya kazi katika ubalozi wa Marekani ,anaelezea jinsi walivyokuwa wakipangiwa majukumu na ubalozi wa Marekani ya kukutana na mashoga Sinza na maeneo mbalimbali hapa Dar ili waeleze wana changamoto gani ili ubalozi uwasaidie.

5. Misaada, NGOs na hata baadhi ya taasisi za dini zinahusika

Kuna shule zinapokea pesa za wafadhili kutoka Marekani na nchi za ulaya, condition wanazopewa ni kuwazoesha watoto vitendo vya kishoga, haya tumeyaona na tumeyasikia. Pesa inatumika kuifanya jamii yetu iwe ya kisenge. Kwenye baadhi ya taasisi za kidini, tumesoma kwenye vyombo vya habari serikali imelifungia kanisa moja linalopigia chapuo mambo haya ya kishoga.

Kwa bahati nzuri hapa Tanzania, makanisa makubwa yale makongwe hayajaruhusu hii kitu, lakini katika nchi za west ambazo makanisa hayo yana mizizi tumeona yameanza kuwa soft na kupigia chapuo hatua kwa hatua matendo haya ya kishoga. Kanisa Katoliki huko Ujerumani limekubali kuanza kubariki ndoa za Mashoga. Kanisa la Anglican huko Uingereza limekubaliana na ndoa za mashoga, na hata papa naye ameanza kutoa lugha za kuwaandaa kisaikolojia waumini kupitia kanisa hilo kuiona culture ya kishoga kama ni ya kawaida tu.
Nina imani na kanisa katoliki la Tanzania, naamini litakuwa macho kwelikweli, kama wakishindwa basi bora wajitoe waanzishe Kanisa la Kweli la Yesu Kristo.

Tuwe macho
 
Nimesema Kila siku, Kama Bunge letu hili pamoja na kwamba Lina vilaza wengi, ila kama hawatakuja na Mpango madhubuti wa kulinda watoto dhidi ya Ushoga , tumekwishaaa !!.

Hivi Juma Lokole, anapost video za Shoga mwenziee akikata mauno, alafu TCRA IPO???? SERIKALI IPO?? BUNGE LIPO???

Ombeni sana Nchi isiongozwe na !!!!!!
Mtamalizia wenyewe
 
Kina juma lokole sijui kumbuka , kuna wakina Hakika Ruben hawa ndio wanaharibu vizazi madogo wengi huko mashuleni wanawatazama na hapa Dogo bwege lazima watajaribu huu umbumbu
Utakuta kijana anajirekodi video tiktok anafunua kiuno anaonyesha nguo ya ndani huku anakatika mauno huu si ni ubwege kama sio upumbavu na Ushoga
🙌
 
Kama Putin anapinga ushoga kwa nini 2018 wakati wa kombe la Dunia hakufanya kama Qatar?

Nchi za Kiarabu ndio zinazofahamika kwa msimamo mkali dhidi ya Ushoga

Urusi ni nchi ya kizungu na ina tamaduni nyingi tu za kizungu kama vile kunywa pombe, wanawake kuvaa nusu uchi, kutoa mimba, kuzaa nje ya ndoa

Sema hivi sasa ndio inajifanya kuwa na misimamo ya nchi za kiarabu ili kuwavutia Waarabu na Waafrika kuwa ina utamaduni kama wa kwao, baada ya marafiki zake wa upande wa kizungu kumkataa kutokana na uvamizi wa Ukraine

Kombe la Dunia lililofanyika Urusi ushoga, pombr, ngono vilikuwa vikifanyika na hakukuwa na kizuizi chochote

Vita ya Ukraine ilipobamba moto, na Putin kutafuta justification na kuungwa mkono na mataifa ya kiarabu na Afrika, akajifanya nae anamsimo mkali dhidi ya ushoga ili kuwachota akili

Nchi za Kiarabu kama Egypt na Saudia, UAE, Morocco zina sheria kali kuhusu ushoga na ni marafiki dam dam na Marekani

kusambaza ushoga Afrika haijawahi kuwa agenda namba 1 ya Marekani hakuna maslahi kiuchumi itakayopata kutokana na hilo
Na Hata huo ushoga wenyewe haukubaliki na Marekani yote, chama cha Republican sio pro ushoga

Tanzania hatujaruhusu Ushoga na ni rafiki wa Marekani, vivyo hivyo Kenya, na nchi nyinginezo
 
Hii ndiyo mada yangu Bora ya mwezi march... Kuanzia Leo naanza kushabikia siasa za Putin kwasababu huyu jamaa sio amepiga Tu marufuku Bali hata mitandao,magazeti na TVs hakuna kutangaza wala kutuma picha za mashoga hii inasaidia habari zao kutosambaa.
Nchini Russia ni kosa la jinai kuongelea habari za hao watu, wasiojulikana wamepewa kazi ya kuwauawa Kwa sumu mashoga wote ndani ya Russia
 
Ni ujinga kufikiri Marekani hawahitaji kufanya biashara nyingine wamekalia kufikiria mashoga tu. Kwanza hata Marekani mashoga majimbo mengi wanakataliwa tofauti tu ni kwamba kisheria wanalindwa na katiba. Pili Marekani anashindana na China tusipoteze muda badala ya kuliona hilo kuanza kufikiria mashoga badala yake tuangalie miradi yetu.

Huu ni wakati magari yanaenda kuwa ya umeme na madini yapo Africa sisi tunafikiria mashoga.
Umekiri mwenyewe kuwa Marekani hana ajenda moja.

Kiufupi ni kwamba katika ajenda zao nyingi unazozijua, "Haki za binadamu" ambazo ndani yake wao huingiza haki za mashoga hawajawahi kuiacha hata siku moja!
 
Kama Putin anapinga ushoga kwa nini 2018 hakufanya kama Qatar?
Nchi za Kiarabu ndio zinazofahamika kwa msimamo mkali dhidi ya Ushoga

Urusi ni nchi ya kizungu na ina tamaduni nyingi tu za kizungu sema hivi sasa ndio inajifanya kuwa na misimamo ya nchi za kiarabu ili kuwavutia Waarabu na Waafrika baada ya marafiki zake wa upande wa kizungu kumkataa kutokana na uvamizi wa Ukraine

Kombe la Dunia lililofanyika Urusi ushoga ulikuwa ukifanyika na hakukuwa na kizuizi chochote

Vita ya Ukraine ilipobamba moto, na Putin kutafuta justification na kuungwa mkono na mataifa ya kiarabu na Afrika, akajifanya nae anamsimo mkali dhidi ya ushoga ili kuwachota akili

Ipo hivi, kusambaza ushoga Afrika haijawahi kuwa agenda namba 1 ya Marekani
Tanzania hatujaruhusu Ushoga na ni rafiki wa Marekani, vivyo hivyo Kenya, na nchi nyinginezo
Warabu ndiyo wanaongoza kwa Ushoga
 
Kina juma lokole sijui kumbuka , kuna wakina Hakika Ruben hawa ndio wanaharibu vizazi madogo wengi huko mashuleni wanawatazama na hapa Dogo bwege lazima watajaribu huu umbumbu
Utakuta kijana anajirekodi video tiktok anafunua kiuno anaonyesha nguo ya ndani huku anakatika mauno huu si ni ubwege kama sio upumbavu na Ushoga
🙌
Ni ubwege Sanaa, Hawa jamaa project yao hii imewekwa kwenye muda muda

Kwa Sasa Wanapambana Suala la Ushoga lionekane la kawaida sana kwenye Jamii, yaan watoto waone ni suala la kuiga.

Wakiashona Jamiii walipokea kama maujinga mengine, basi mchezo kwishaa.

Kumbuken Hawa watoto ndio kizazi Cha kesho ,ndio Viongozi, ndio Watu wetu wa kulinda Taifa na Mipaka yake, ndo wanakulinda Mtanzania na Mali zake.
 
Kama Putin anapinga ushoga kwa nini 2018 hakufanya kama Qatar?
Nchi za Kiarabu ndio zinazofahamika kwa msimamo mkali dhidi ya Ushoga

Urusi ni nchi ya kizungu na ina tamaduni nyingi tu za kizungu kama vile kunywa pombe, wanawake kuvaa nusu uchi, kutoa mimba, kuzaa nje ya ndoa

Sema hivi sasa ndio inajifanya kuwa na misimamo ya nchi za kiarabu ili kuwavutia Waarabu na Waafrika kuwa ina utamaduni kama wa kwao, baada ya marafiki zake wa upande wa kizungu kumkataa kutokana na uvamizi wa Ukraine

Kombe la Dunia lililofanyika Urusi ushoga, pombr, ngono vilikuwa vikifanyika na hakukuwa na kizuizi chochote

Vita ya Ukraine ilipobamba moto, na Putin kutafuta justification na kuungwa mkono na mataifa ya kiarabu na Afrika, akajifanya nae anamsimo mkali dhidi ya ushoga ili kuwachota akili

Nchi za Kiarabu kama Egypt na Saudia, UAE, Morocco zina sheria kali kuhusu ushoga na ni marafiki dam dam na Marekani

kusambaza ushoga Afrika haijawahi kuwa agenda namba 1 ya Marekani hakuna maslahi kiuchumi itakayopata kutokana na hilo
Na Hata huo ushoga wenyewe haukubaliki na Marekani yote, chama cha Republican sio pro ushoga

Tanzania hatujaruhusu Ushoga na ni rafiki wa Marekani, vivyo hivyo Kenya, na nchi nyinginezo
We jamaa mpumbavu sana,humjui Putin wewe acha kudandia mambo hovyo,ona aibu yako hii sasa
 
Nisaidiwe kidogo! Nini agenda iliyo nyuma ya ushoga?
Marekani na nchi za Ulaya wanafaidika nini na ushoga kiasi kwamba watumie gharama kubwa kuusambaza, kuulinda, na kuuhudumia?

Nitashukuru nikipatiwa jawabu mujarabu.
 
Back
Top Bottom