jibu ni

Je,Job Ndugai hakustahili kuwa Spika wa bunge LA jamhuri ya mungano!?
 
Ndugai ndo alikuwa mwenye uzoefu mkubwa kwenye nafasi hiyo. Ila kitendo chake cha kumtaka CAG akajieleze kwa JPM bila ya kunukuu sheria yoyote kimemwangusha sana. Pia kuumuunganisha rais kwenye swala lake na CAG ni cha ajabu kupata kutokea.
 
Kwa mfumo wa utawala tuliouchagua 95% ya wanaoshikilia ofisi za umma hawakustahili, ni 'wengi wape' na wengi wao ndio hao hao!
 
Kiukweli toka moyoni hapana! Viatu vimepwaya
 
Angetulia tu akaendea na matibabu bila stress za kazi na misukosuko (Mange's voice )
 
Sijawahi kuona spika anachukiwa hivi?. Zamani spika alikuwa kama Jaji mkuu anaheshimika lakini kwa sababu za siasa huyu spika amekuwa anachukiwa sana na wananchi. Lakini kama hamjashtuka msaidizi wake kwenye mambo yakuchukiza anajificha hivyo inawezekana hao hao ambao anataka kuwafurahisha ndiyo wanataka asipendae. Chaguo la Magu sio yeye bali ni naibu wake na wanasubiri wapate nafasi kumtoa au bunge lijalo wamwambie astaafu.
 
Hafai kabisa. Arudi India wakarekebishe nuts and bolts!
 
Nimekua nikifuatilia mjadala wa bunge muda mrefu na kwa kweli NDUGAI umepoteza mwelekeo kabisa.

Umekua ukikanyaga na kuzisigina sheria wazi kabisa,tunakuona na jua kuna maisha baada ya bunge na soon tutakutana mtaani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…