Norway yaipiku Urusi kwenye usambazaji wa gesi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,733
48,288
Pia yaongeza uzalishaji, yaani Urusi anatumbukia kwenye shimo la kujitakia, gesi yake atabaki nayo.
  • Norway now supplies Europe with more natural gas than Russia does after Moscow cut flows, per Reuters.
  • Its gas production is set to rise 8% this year, on track for a record, as Europe shuns Russian imports.
  • "I expect that we can maintain the production levels we are at now until 2030," its energy minister said.
Norway has taken the lead from Russia in supplying natural gas to Europe, Reuters has reported, as Moscow chokes off its deliveries and EU countries work on cutting Russian energy imports.

The Nordic country plans to keep its natural gas production at current high levels, its energy minister told Reuters on Tuesday, as Europe battles a power-generation crisis that could hobble its industries.

"I expect that we can maintain the production levels we are at now until 2030," Norway's energy minister Terje Aasland said.

Official forecasts put Norway on track to lift its production of natural gas by 8% this year, compared with 2021 — and potentially beating a five-year-old record.

It has overtaken Russia after Moscow cut back its gas exports to hit back against western sanctions. The EU agreed in May to impose an embargo on seaborne Russian oil, but is yet to ban or restrict gas imports.

Even so, Russia has stoked the continent's energy crisis by restricting gas flows. On Friday, it said it will temporarily close its Nord Stream 1 pipeline in a surprise three-day shutdown next week, having already slashed its capacity to 20% in July.

Tightening supply has driven European natural gas prices to rise sharply, and benchmark Dutch TTF gas futures have jumped 220% since the start of June.

But while Norway intends to keep its gas output high, it has no plans to reduce its prices to make European energy more affordable, Aasland said.

"In principle, the market is predictable," the minister said. "When there is scarcity, prices are high. That also contributes to increasing production and steers the gas to the markets that need it most."

Source: finance.yahoo.com
 
We jamaa nhana anaipiku baada ya Russia kupunguza supply hadi 20% ya supply ya awali🤣🤣🤣🤣🤣 ulaya wanategemea mafuta ya Russia kwa 60% sasa unampiku vipi mtu ambaye kaamua kukaza.

Ngoja tuone kama wataacha kulialia maana wameshapata mbadala.
 
Ukishapunguza mwendo kasi unapitwa, na ukisoma taarifa vizuri Norway wameongeza uzalishaji....
 
Yani ki norway chenyewe ni ka nchi kadogo eti ndio kiweze chukua soko la russia ulaya unaota?

Tangu kilichotokea Ukraine, sitokuja kudharau nchi kwa udogo wake, yaani Urusi amelizwa na kainchi kadogo mithili ya mkoa wake mmoja, ameshindwa kukaparamia licha ya hasara yote aliyoingia...

Kila nikiangalia hii ramani nashangaa sana...

INTERACTIVE-USSR-republics.png
 
Baada ya vita kutulia Russia akae kwa kutulia aisee maana bidhaa zake nyingi zitakuwa zimepungua thamani kwa kupatikana kwa mbadala wake ila itabidi apambane sana kurudisha uchumi wake maana hii vita imemtis sana hasara bira ya msingi wowote.
 
Tangu kilichotokea Ukraine, sitokuja kudharau nchi kwa udogo wake, yaani Urusi amelizwa na kainchi kadogo mithili ya mkoa wake mmoja, ameshindwa kukaparamia licha ya hasara yote aliyoingia...

Kila nikiangalia hii ramani nashangaa sana...

INTERACTIVE-USSR-republics.png
vita ni tatctics na mipango Russia hataki kufanya masacre kwa raia wa ukraine kwasababu anataka awatawale apo baadae ndio anaipiga kwa upole Ukraine wenyewe wanajua nini kingetokea endapo Russia wangeamua liwalo na liwe jiulize mpaka leo hii awaja target hata jengo moja la decision maker je ingekuwa ndio USA kaivamia Ukraine kusingekuwa na mji hata mmoja
 
Aaah wapi kafeli sana kwenye tactics, kwanza ameua sana raia, anatumia artillery kupiga mpaka makazi, juzi wamepiga mabomu kwenye mashamba ya ngano na kuunguza ekari kama 600, useless supapawa, eti ndiye mnamtegemea dhidi ya Marekani.
 
Uzuri wa gesi haihitaji mipasho, wenyewe mashoga wataanza kulaumu Russia hapeleki gesi
 
Back
Top Bottom