Kutumbua pekee hakutoshi, shtaki, funga wabadhirifu na wazembe ili kuleta uwajibikaji nchini

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,535
17,482
Mheshimiwa Rais, nimekusikia ukisema unaweka pembeni wazembe na wale wasiowatumikia wananchi ipasavyo, hadi pale watakapojirekebisha ndio unawarudisha!

Sasa mzembe asipochukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kushtakiwa Kwa kosa la kula mshahara Bure na uhujumu uchumi hawezi jifunza lolote, kumtumbua pekee haitoshi anapaswa kushtakiwa na magereza ndio sehem pekee pa kumtia mhusika adabu akanyooka!

Ni Tanzania pekee, kumtumbua mtu kazini inaonekana ni adhabu wakati hizo ni hatua muhimu za mhusika kutokidhi vigezo vya kazi aliyopewa na sio adhabu kabisa!

Ifike Mahali tuwe serious kwenye ishu ya kulitia taifa hasara Kwa uzembe was muhusika isiishie kutumbuliwa tu bali kishtakiwa Kwa kosa la uzembe na kutowajibika ipasavyo kama mhusika anaondolewa Kwa sababu hizo!

Naamini utasoma .

Mungu ibariki Tanzania!!
 
Anaishia kusema Kuna mfumo wa wizi wa pesa Toka hazina Kisha zinaingia Kwa watu binafsi, baada ya kusema hayo anakaa kimya,

Mifumo ya kiutendaji kikatiba inategemea Rais aelekeze ni I Cha kufanya Ili mifumo iingie kazini baada ya kumwekea taarifa mezani,

Kwa mwendo huo,

Hana sababu ya kugombea 2025.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom