Taifa linakuwa na msomi kama huyu Dk Denis Muchunguzi litafika mbali kweli?
Msomi mzima anajikomba badala ya kueleza ukweli na uhalisia wa siasa mbovu zinazoendelea nchini.
Wasomi kama akina Dk Sengondo Mvungi hawatatokea tena. Hawakujikomba wala kujipendekeza.i
Dk Denis kusifia uovu wote wa...
Ifike mahala tuelewe kuwa hili dubwasha CCM limeishi kinafiki katika miaka yake ya ujana sasa limezeeka limegeuka kuwa shetani.
Wanafikia kumdhuru yeyote anayekinyooshea kidole kusimamia ukweli. Wakosoaji wamekuwa wakiokotwa aidha wametteswa au wameuawa.
CCM imemeza vyombo vyote vya Ulinzi na...
Ugaidi ni tuhuma kali sana na ndio maana ni kosa ambalo linapingwa na kudhibitiwa kimataifa.
Gaidi wa Tanzania ni gaidi wa dunia nzima.
Kama ndio hivi, je Watanzania wanavyokamatwa kwa ugaidi. Watakata moyo mapambano dhidi ya uovu?
Ni viongozi waovu ambao Polepole aliweka wazi kuwa kutoa uhai wa mtu waweze kukamilisha ufisadi wao ni jambo la kawaida kama kunywa chai.
Wanaona kutumia dola kunyanyasa raia wa dola huru ya Tanganyika ni umwamba wa kisiasa.
CHADEMA imebadikika haitaki kuwa kibaraka wa wanaCCM waovu...
Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati.
Harakati hizo ni zipi?
Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo ni unaharaki?
Ni wakati wa kuleta mabadiliko.
Wakati wa utawala wa awamu ya 5, ulifanyika utafiti wa kitaalam uliozingatia makundi yote, ukiangazia vyama vikuu viwili vya siasa, CCM na CHADEMA. Pamoja na mambo mengine, yafuatayo yalikuwa ndiyo hitimisho:
CCM
1. CCM inaungwa mkono zaidi na watu ambao ama wana akili ndogo, ama watu wasio na...
Kwa mwendo huu, unaingia kwenye black book ya WAOVU WA TAIFA HILI.
Your credibility earned for decades inaangamia kwa vipande vya fedha na Wa Dini yangu ( may be).
Take home msg from the mass of Tanzanians/ Tanganyikans: Ukatae ushetani unaotaka kuubeba
Nina jambo moja ambalo linaumiza vijana wengi waliosoma famasi Tanzania.
Serikali imetumia mabilioni kusomesha wataalamu wa famasi, lakini baada ya kuhitimu tunaachwa bila mtaji, bila uwezeshaji na bila nafasi ya kujenga viwanda vya dawa nchini.
Wakati huo huo, kila siku serikali inaendelea...
Anonymous
Thread
andiko
dawa
jambo
kuagiza
kuliko
mabilioni
mitaji
moja
serikali
uovu
vijana
wageni
wakati
wake
wataalamu
wengi
Kibaka akitaka kumwibia mwanamke, kwanza kabisa ataangalia kama ameongozana na mwanaume.
Muuza magari akitaka kumuuzia mwanamke gari bovu au kumpiga kwenye bei, ataangalia kwanza kama yupo na mwanaume.
Fundi wa kukarabati nyumba akitaka kumpiga mwanamke material za ujenzi kwanza ataangalia...
Kumekuwa na tabia ya wafanyakazi kutotendewa haki katika hiki chuo, mara nyingi wafanyakazi wa hapa hudhulumiwa mishahara yao na wakati mwengine kutolipwa kabisa baadhi ya miezi.
Mwaka jana baada ya likizo kulikuwa na malalamiko mengi kwa wafanyakazi wakidai kutolipwa mwezi wa saba, wanane na...
Anonymous
Thread
business
cheka
chuo
college
health
kigamboni
science
uovu
wafanyakazi
Askofu Shoo ameyasema kauli hiyo leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre Hou, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 nchini.
Nyuzi zote hizi ni wale chawa washamba washamba wa mama anaupiga mwingi, na ni kikundi maalumu kinachojaribu kutaka kuangalia upepo wa watanganyika, bahati mbaya kabisa hatujaona uzi wowote unasifia kuupiga mwingi Mo 29
Nyuzi zote hizi zinalengo la kutaka kutuliza mioyo ya walioumizwa na...
Wadhulumu haki na wauaji wanaumia sana na kufadhaika wakisikia yeyote ama akiongelea au kulaani udhulumati na ushetani wao walioufanya ile Oktoba 29. Kila anayechukizwa na dhuluma zao, huwa ni adui yao mkubwa. Na hasa kama wanaamini kuwa huyo anayechukizwa na uovu wao ana influence. Na kwenye...
Anaandika Rais wa TLS kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, Boniface Mwabukusi.
HATUTAENDELEA KUKAA KIMYA DHIDI YA UOVU.
Hii ni project yenye sessions 27 mpaka sasa zimefika tano. Nadhani huu siyo uchokozi dhidi ya TEC ,Father Charles Kitima, Mapadre wala Watawa na Wakatoliki wa kweli...
Nilipokuwa shule ya sekondari nikisoma historia ya Ulaya, hasa kuhusu ukatili uliotekelezwa chini ya Hitler na Mussolini, nilikuwa nadhani kwamba dunia—hasa Ujerumani—lazima ilikuwa imejaa watu wakatili na waovu. Sikuweza kuelewa jinsi uhalifu wa namna hiyo ungeweza kutokea bila kulaaniwa kwa...
Baada ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Dk Mwigulu Nchemba ana kibarua kigumu kuisafisha Serikali na uvunjifu wa haki za binadamu uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama kwenye maandamano yaliyofanyika siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025.
Novemba 24 Dk Mwigulu alifanya ziara...
Samia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu
Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hivi👇🏽👇🏽👇🏽
Wanajua...
Baaaas dada kamaliza mjadala kabisa
Hawa watu wamezoea kuona watanzania kuwa wa kimya hawajui karne hubadika kisha watu na mitazamo yao pia hubadilika, Walidhani wakileta masuala ya dini basi wakristo na waislamu tungeanza battle la kiimani, imegeuka kuwa battle kati ya misimamo na umoja wa...
Ifahamike wazi, wote watakaokubali teuzi za kutumika katika utawala huu, katika ngazi mbalimbali, maana yake ni kwamba wanakubali kuwa ni sehemu ya waovukama wale waliowateua kwenye nafasi hizo.
Maana yake ni kwamba wateule hawa wanaungana na waovu kulitendea taifa lao uovu.
Na kwa maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.