misikiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Ujenzi wa MAKANISA NA MISIKITI

    ⛪🕌 UNATAKA KUJENGA KANISA AU MSIKITI? USIANZE NA CEMENT! Watu wengi wakipata kiwanja cha kujenga sehemu ya ibada, kitu cha kwanza wanachofikiria ni: “Tuanze kununua cement, mchanga na kokoto.” 😅 Lakini hapo ndipo tatizo linaweza kuanzia. Kabla hujanunua hata mfuko mmoja wa cement, jiulize...
  2. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Misikiti sio ya Mungu - Sheikh Mahege. Je, sheikh alimaanisha nini?

  3. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Umoja wa waarabu wanawanyanyasa MaShia kwa kuwafunga, kuwafukuza na kufunga misikiti yao. Hili halitavumilika. Laana za Allah ziwe juu yao

    MAADUI WA WAFUASI WA AHLUL BAIYT WANAZIDI KUJIDHIHIRISHA KWA KUKAA UCHI. Umoja wa kiarabu washenzi wa kiwahabi Saudia, Qatar, Bahrain, UAE na Kuwait wenye asili ya Kiyahudi wameanza kuwafukuza Mashia kwenye nchi zao, kutaifisha mali zao na hata kufunga misikiti yao. Ukweli ni kuwa wanarudisha...
  4. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Pajengwe Misikiti kila Stesheni ya SGR

    Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
  5. F

    JamiiForums Tanzania KERO NEMC Imeshindwa Kudhibiti Kelele za Makanisa na Misikiti

    Ni wazi kuwa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshindwa kutekeleza wajibu wake wa msingi wa kulinda mazingira na ustawi wa wananchi. Moja ya mifano ya wazi ni kushindwa kabisa kudhibiti kelele zisizokuwa na ulazima zinazotoka kwenye makanisa na misikiti, hasa katika...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanashindwa Kuvuta Maji kutoka Dar km 67 tu? Wanakazana kujenga Misikiti

    Yaani Zanzibar wanatunywesha maji ya Chumvi kama Wanyama(Ng'ombe) Kutoka Dar (Tanzania bara) hadi Kisiwani si mbali. Wanasiasa wa Zanzibar wanachoweza ni kuzalisha Janjaweed wa kuua watu wanaoandamana bara kupinga tume ya Uchaguzi. Shame on you! Akili zao eti zinawatuma kujenga daraja la...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Misikiti na majengo yatiwa kiberiti Iran

    Raia wa Iran wamamua liwalo na liwe, hawataki kuongozwa na dini ya muarabu.... Wanataka uhuru. Kawaida Waajemi, yaani Persians huwa watu wenye akili sana, ukisoma historia yao kabla dini ya muarabu walikua wanafanya mengi makubwa, ile dini imewadumaza sana. ============ Watch: Buildings in...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania China imefuta kuba/dome kwenye misikiti yote, haicheki cheki na wafia dini

    Ilitoa sharti kama lazima msikiti ujengwe kwenye ardhi yake lazima muundo uonekane wenye mandhari ya Kichina, na Mchina yeyote anayejiunga kwenye dini ya muarabu anapaswa atambue yeye ni Mchina kwanza kabla kuwa muislamu. Uzalendo uanzie China kabla hujaanza kubwatuka kiarabu Makobaz mnaopenda...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ijumaa ya tarehe 5 December misikiti walipunguza sauti kwenye mawaiza wakati sio kawaida kwenu huko

    Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza sauti za vifaa. Nikashangaa maana sio kawaida.
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Sheikh kule Iran ahuzunika kwa namna wananchi wa Iran wanauacha uislamu na misikiti 50,000 imefungwa

    Raia wa Iran wanajitoa muhanga maana kuuaga uislamu unapaswa uchinjwe kabisa, hili hapa andiko lao 'Whoever changed his Islamic religion, then kill him.'" Sahih al-Bukhari 6922 Taratibu wananchi wa Iran wanakombolewa kutoka kwenye uzombi wa kidini, ifahamike wale ni Waajemi, na kihistoria...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa makanisa na misikiti kulipa kodi ili wapate uchungu na kusimamia HAKI

    Makanisa na misikiti kutolipa kodi ni RuSHWA kwa viongozi wao ili wasikemee maovu au ili waitetee serikali kwa uovu wake. Kwa misingi hiyo makanisa na misikiti anze kitoa stakabadhi za malipo za EFD kwa kila pesa wanayopokea na kwa kila shughuli watakayoendesha. Haiingiit akilini eti...
  13. MENERIKI II

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa misikiti yote inayo wajali ndungu zetu walemavu wa macho

    Habari za muda huu wana JF, Leo nimeona nitoe shukrani au kuwapongeza MAIMAMU wa misikiti mbalimbali hapa Jijini Dar es Salaam,kwa kuanzisha utaratibu wa kuwasaidia ndugu zetu walemavu wa Macho. Nimejaribu kufuatilia Misikiti mingi nimeona wameweka siku na muda maalumu wa kuwasaidia watu hawa...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Makanisa na misikiti inatosha , ikiwa kuna taasisi inahitaji kutoa Msaada wa kujenga Kanisa na Msikiti hiyo pesa wajenge visima vya maji

    Kwa Tanzania tuna misikiti Mingi na makanisa mengi Sana . Na ukiangalia idadi ya watu wanaosali bado ni Chache Sana . Ikiwa tutaangalia mahitaji hasa ya jamii tunaweza kubadilisha matumizi ya hizo pesa. Mfano wafadhili ambao hujitolea kujenga misikiti na makanisa , jaribuni kufikiri hilo...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kama kweli makanisa na misikiti ni muhimu kwa WAAFRIKA kwanini serikali wafungiww?

    Habarini, Waafrika ifikie wakati tuanze kuwaza kwa akili na bongo zetu,hivi kweli kama makanisa na misikiti yangekuwa na UMUHIMU serikali za Afrika zingeyafunga? Je serikali zinazofunga makanisa na miskiti viongozi wao hawajui kuwa dini ni za Mungu na ndizo zitawapeleka Waafrika mbinguni?
  16. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mashekhe waliwekwa kizuini na kuhukumiwa kunyongwa misikiti haikufutiwa usajili ,Kakobe alihisiwa sio raia lakini kanisa lake halikufutiwa usajili ,

    Hii inamaana kwamba makanisa 2000 nchi nzima na wachungaji na maaskofu wote wa kanisa la ufufuo na uzima kuanzia dar mpaka huko ujiji na maeneo ya katonto huko sumbawanga wote wanaadhibiwa Kwa kosa la mtu mmoja !! Kanisa linafutwa !! Amekosea tundu lissu amekamatwa lissu na taasisi inaendelea na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amlipua Gwajima kwa kutaka Misikiti kugeuzwa Sunday Schools

    Katika chapisho lenye maneno makali kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), mwanasheria na mwanaharakati mashuhuri Fatma Karume amemshambulia vikali Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kwa nia ya kutaka “misikiti igeuzwe kuwa Sunday Schools.” Kauli hiyo imeibua mjadala mzito kuhusu uhuru wa...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume aonya Gwajima kuaminika kama mtetea haki, akumbushia suala la kutaka kubadilisha misikiti kuwa makanisa!

    Hili suala la utekaji linazidi kuchukua sura mpya, Fatma Karume ameibuka na kusema Gwajima sio mtu wa kuaminika katika kutetea haki kwa sababu kuna wakati alitaka kuwanyang'anya Waislamu haki yao kuabudu aliposema atabadilisha misikiti kuwa makanisa! Sikuwahi kujua Fatma Karume ni mshika dini...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiarabu zitusaidie Kutujengea Misikiti Mikubwa na Madrasa huku Tanzania

    Huu ndo wito wangu kwa nchi za Kiarabu. Watusaidie sisi waumini wao na ndugu zao kutujengea Misikiti Mikubwa kila Wilaya na Tarafa. Pia watujengee na Madrasa nyingi za kutosha tuwafundishe watoto kushika Dini yao. Kila baada ya angalau kilometre 2 kuwe na Msikiti na Madrasa. Hii itasaidia sana...
  20. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Muktasari wa Nchi Zilizokomboa Mataifa Yao Kupitia Jitihada za Makanisa, Misikiti na Nyumba za Ibada

    Katika baadhi ya mataifa, makanisa, misikiti, na nyumba nyingine za ibada zilichukua nafasi muhimu katika kupigania uhuru na haki, kwa kutoa uongozi na kuhamasisha umoja wa kitaifa, na kusimama dhidi ya dhuluma zinazofanywa na watawala mbalimbali. Hapa chini ni muktasari wa nchi saba ambazo...
Back
Top Bottom