Julia loffe: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma (Wananchi)

1701108316547.jpeg


Akiwa anatoa hija yake kuhusu athari za habari potofu Mwandishi w Urusi Julia Loffe anaeleza:

Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma na kusababisha uungwaji mkono wa Sera na Viongozi wa Kisiasa wasiofaa.
---

Habari Potofu huathiri Michakato ya kupata Viongozi wa Kisiasa, hushusha Imani ya Wananchi kwenye Mifumo ya Kidemokrasia pamoja na kusababisha kuchaguliwa kwa Viongozi wasiofaa au wenye uwezo Mdogo.

Hivyo kutokana na hoja ya Mwandishi huyu ni Muhimu kupata Habari kutoka Vyanzo vya Kuaminika pamoja na kuzithibitisha kabla ya Kuziamini au Kuzisambaza ili kuepuka athari hizi ambazo huchochea Mgawanyiko kwenye Jamii na Kurudisha nyuma Mshikamano wa Kitaifa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom