Yanga bado hatujaweza kutia akili. Tunategemea sana Viongozi wa Kisiasa kutubeba

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,467
23,757
Ikija tokea kukawa na viongozi ambao hawalalii upande wetu ......TUMEKWISHA. Sasa hivi nachoka hata kuishabikia Yanga baada ya kuona kila jambo tunabebwa na viongozi wa Kisiasa.

Matches zetu zinachezwa hivyo hao TFF wameshaingia woga linapokuja suala letu maana simu zinazopigwa kwao zinawatisha.

Tumebaki kuponda Simba kwenda Dubai na tunasahau jinsi ambavyo tumeaibika na suala la Feisal Toto. Tumetumia nguvu kubwa sana na kuitisha Kamati. Mi nadhani tungemwacha aende zake. Sisi tunaweza pata mchezaji yeyote tumtakaye. Why Fei atutese hivi?

Tumejaribu kumbembeleza hadi kwa mama yake. Tumetumia viongozi wa siasa....anyway hapo tusubiri matunda yake maana naye ni binadamu. Ila kiukweli tunatia huruma. Hatukupaswa kughafirika hivi.

Na bahati mbaya tuna msemaji ambaye naye tumemtoa akili amekuwa kama yule wa Simba Ahmed Ali usemaji wa Kizwazwa kama wa Jamaa ambaye tulimchukua baada ya kufukuzwa Simba na juz juz hapa watu wamemlia mke wake.

Namkumbuka Bumbuli kwa kweli alikuwa anajitahidi kuwa msemaji wa kiweledi mpaka pale naye alipoanza kujichanganya na yule tutusa zeruzeru. Sasa nikafikiri Ally Kamwe atakuwa na weledi kumbe ni takataka zile zile.

Inafikirisha sana haya mateam yetu. Natamani tungempata mtu kama Ezekiel Kamwaga. Alikuwa smart. Yanga sisi watu wa kusemewa ujinga ujinga kweli? Tunaambiwa nchi itasimama kuzinduliwa Yanga TV? Kweli? Mimi nimeitafuta Yanga TV siku ile nzima sijaona....

Ndo maana Fei Toto anatuona sisi watoto wenzie....
 
Ndugu mbumbumbu mleta Bandiko, iyo kesi ya Feisal na Yanga kulingana na aina ya njia ya Kuvunja mkataba aliyotumia Feisal hakuna FA yoyote Duniani Inge fanya upuuzi uo wa kuidhinisha mkata wake na Yanga uvunjike.
Tafuta ni wapi apa Duniani mchezaji mwenye mkataba valid kama wa Feisal alifanikiwa ku uvunja yeye mwenyewe bila kuhusisha waajiliwake. Mkataba ambao timu husika (Parent club) imetimiza majukumu yake Kwa 100%.

Uko Cas Feisal anajisumbua, na Kwa aina ya kesi yake, hawatampa ata kibali Cha kusajiliwa na timu nyingine Ili alinde kipaji chake kwakua alichofanya ni uharamia katika mpira wa miguu.
Sanasana atashushiwa Rungu ambalo litamfanya asicheze mpira na kwenda mwenye shughuli zingine za kumwingizia kipato.
 
👉 🚮
 
Ila yanga na Musonda hapa Dynamo ipo sahihi??? Mtangazeni sasa mbona mnamzungusha tu hapo Tanzania
 
Ndugu mbumbumbu mleta Bandiko, iyo kesi ya Feisal na Yanga kulingana na aina ya njia ya Kuvunja mkataba aliyotumia Feisal hakuna FA yoyote Duniani Inge fanya upuuzi uo wa kuidhinisha mkata wake na Yanga uvunjike.
Tafuta ni wapi apa Duniani mchezaji mwenye mkataba valid kama wa Feisal alifanikiwa ku uvunja yeye mwenyewe bila kuhusisha waajiliwake. Mkataba ambao timu husika (Parent club) imetimiza majukumu yake Kwa 100%.

Uko Cas Feisal anajisumbua, na Kwa aina ya kesi yake, hawatampa ata kibali Cha kusajiliwa na timu nyingine Ili alinde kipaji chake kwakua alichofanya ni uharamia katika mpira wa miguu.
Sanasana atashushiwa Rungu ambalo litamfanya asicheze mpira na kwenda mwenye shughuli zingine za kumwingizia kipato.
Unataka kusema ni kama sisi tulivyokuwa tunaensa CAS suala la Morrison? Si unakumbuka pia wenye akili tulisema humu. Ikawaje? Tatizo la watu wangu wa Yanga akitokea tu mtu akaonesha ana akili mnasema ni Simba. Kwa maana ya kuwa sisi Yanga hatuwezi kuwa na watu wenye akili. Mnataka tuwe kama manyani au mbwa kama alivyosema yule kocha Mzungu Mbaguzi
 
Ikija tokea kukawa na viongozi ambao hawalalii upande wetu ......TUMEKWISHA. Sasa hivi nachoka hata kuishabikia Yanga baada ya kuona kila jambo tunabebwa na viongozi wa Kisiasa.

Matches zetu zinachezwa hivyo hao TFF wameshaingia woga linapokuja suala letu maana simu zinazopigwa kwao zinawatisha.

Tumebaki kuponda Simba kwenda Dubai na tunasahau jinsi ambavyo tumeaibika na suala la Feisal Toto. Tumetumia nguvu kubwa sana na kuitisha Kamati. Mi nadhani tungemwacha aende zake. Sisi tunaweza pata mchezaji yeyote tumtakaye. Why Fei atutese hivi?

Tumejaribu kumbembeleza hadi kwa mama yake. Tumetumia viongozi wa siasa....anyway hapo tusubiri matunda yake maana naye ni binadamu. Ila kiukweli tunatia huruma. Hatukupaswa kughafirika hivi.

Na bahati mbaya tuna msemaji ambaye naye tumemtoa akili amekuwa kama yule wa Simba Ahmed Ali usemaji wa Kizwazwa kama wa Jamaa ambaye tulimchukua baada ya kufukuzwa Simba na juz juz hapa watu wamemlia mke wake.

Namkumbuka Bumbuli kwa kweli alikuwa anajitahidi kuwa msemaji wa kiweledi mpaka pale naye alipoanza kujichanganya na yule tutusa zeruzeru. Sasa nikafikiri Ally Kamwe atakuwa na weledi kumbe ni takataka zile zile.

Inafikirisha sana haya mateam yetu. Natamani tungempata mtu kama Ezekiel Kamwaga. Alikuwa smart. Yanga sisi watu wa kusemewa ujinga ujinga kweli? Tunaambiwa nchi itasimama kuzinduliwa Yanga TV? Kweli? Mimi nimeitafuta Yanga TV siku ile nzima sijaona....

Ndo maana Fei Toto anatuona sisi watoto wenzie....
hapo target yako ni ishu ya fei,mbona inawatoa ufaham ivyo!
 
Wenzio wakiambiwa waache ujinga wanakuwa wakali kama pilipili, bahati yako umeamka mapema usiwe zoba kama wale wengine.
 
Fei ndo alikuwa anabebeshwa tunguli na kaondoka na baadhi ya tunguli za uto. Kwa hali hiyo unafikiri uto watakubali Fei aondoke hivihivi? Angalia mechi zote za simba vs Yanga utaligundua hilo. Na ndiyo Maana kijana alipewa unahodha msaidizi. Kijana kachoka kubebeshwa tunguli kaamua kufanya kama alivyofanya Ntibazonkiza

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada, MPIRA NI BIASHARA…!!! Yanga nao wanahitaji kuingiza hela kwa hicho kipaji alichompa Feisal kwny trainings zake, ili yeyote anayemhitaji, aje mezani aongee nao, wapange dau. Sio kwmb Yanga wanamng’ang’ania Feisal, ila wanataka aondoke kwa UTARATIBU….!!! It’s a win-win situation…!!
 
Back
Top Bottom