Viongozi wa kisiasa Tanzania kutolipa kodi ni uzalendo?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Viongozi wa Tanzania kuanzia Bungeni wamekuwa wakipitisha sheria mbalimbali za kuipatia serikali mapato kupitia kodi. Lakini viongozi mbalimbali wao hawalipi kodi kupitia mishahara yao na posho.

Je, viongozi wa aina hii ni wazalendo kwa nchi yao?

Je, unaweza kuhimiza wengine wafanye kitu ambacho wewe hukifanyi?
 
Back
Top Bottom