trilioni 1.5

  1. FRANCIS DA DON

    Nimevumilia sana ila leo imebidi niulize, hivi mtu anakupaje msaada wa Trilioni 1.5 wakati nchini kwake kuna watu wanalala nje na kufa njaa?

    Nimekuwa najiuliza sana hili swali bila majibu ya uhakika, hivi haya mataifa yanayojiita donor countries, huwa wanatupa hii misaada kwa misingi na madhumuni yapi hasa? Na kwanini wanapotupa misaada huwa tunasainishana mikataba ya msaada? hivi huo ni msaada au tunawauzia kitu hadi tusainishane...
  2. eliesikia

    Zitto ni mtu makini sana

    Nimesikiliza Press conference ya Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Mhe Zitto leo na kukubaliana na hoja za wengine kuwa Zitto is a well informed person na yuko vizuri sana kuelezea. Ripoti ya 1.5 Trln ni moto sana. Sikiliza hapa. Go Zitto. Mie naamini huyu jamaa atatusaidia sana nchi hii...
Top Bottom