Prof. Assad mwaka wa kwanza wa Awamu ya Tano alisema trilioni 1.5 ilichukuliwa, fikiria ndani ya miaka 6

Muda mwingine jitahidi ushirikishe ubongo wako vyema kabla ya kuja kuandika huu ujinga ulioandika hapa, inawezakana vipi triolini 20 kuibiwa ilihali tumeona wakati wa uhai wake miradi mingi mikubwa ya kimkatakati ikiendelea kujengwa na kukamilika.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, na imani hata kama ulaji ulikuwepo ila si kama tulivyoanishwa na ripoti ya CAG, hata kipindi cha Hayati Mkapa, hata mstaafu JK ufisadi ulikuwa mkubwa mno hata kwa huyu mama siku akitoka madarakani mtajua ni jinsi gani alivyofuja fedha za umma, “Embu tujaribu kuwa na akiba ya maneno”.

Kuna mkakati ambao unaendeshwa chinichini na kikundi fulani kumchafua Hayati Magufuli ila na uhakika hawataofanikiwa kamwe maana watu hao hao ndio wanapita katika madaraja yaliyojengwa na huyo wanaemuita mwizi.

Hii dhambi haitowaacha salama kama ambavyo libya inateseka kwa sasa baada ya kumuua Ghadafi, huyu huyu mnaemnanga na kumsingizia kila aina ya uovu akiwa kalala mavumbini ipo siku mtamkumbuka.
 
Kwaio kwa kichwa chako cha panzi 1.5T x 6 = 20T?

Mbona mnaifanya Jamii forums ionekane ina watu wa Hovyo?

JF used to be a home of Greak Thinkers bt now I am not sure anymore.

Kwenu nyie mnaoajiri hawa watu wa kusambaza propaganda zenu hamuwezi kutafta angalau graduates waifanye hii kazi yenu kwa weledi? Muwalipe vizuri angalau wanaweza kutoa matokeo mujarabu kuliko hivi vituko.
 
Kigoma malima Alipoiba pesa zilionekana zipo benki za nje .Za JPM alizoiba zipo benki ipi ?Au ndio story tu za kutunga za Msoga na wenzake kujifurahisha
Magufuli katumia Miradi, miradi mingi pesa hazikuizinishwa na Bunge, yeye alikuwa anaamuru pesa zitolewe tu.

Kwenye miradi ndipo penye upigaji.

Akaenda mbali zaidi akawa anaipa Mayanga Construction tenda, ambayo ni Kampuni yake.
 
Kigoma malima Alipoiba pesa zilionekana zipo benki za nje .Za JPM alizoiba zipo benki ipi ?Au ndio story tu za kutunga za Msoga na wenzake kujifurahisha
Mkuu, Mfugale alipohojiwa na wazee wa system alipata presha palepale na akafa, kama ilivyokuwa kwa malima, akaunti zote zilikamatwa (frozen), Mfugale ndiye alikuwa anatunza fedha za wizi za JPM
 
Magu katumia Miradi, miradi mingi pesa hazikuizinishwa na Bunge, yeye alikuwa anaamuru pesa zitolewe tu.

Kwenye miradi ndipo penye upigaji.

Akaenda mbali zaidi akawa anaipa Mayanga Construction tenda, ambayo ni Kampuni yake.
Una supporting documents ya hizi tuhuma zako?
 
Magu katumia Miradi, miradi mingi pesa hazikuizinishwa na Bunge, yeye alikuwa anaamuru pesa zitolewe tu.

Kwenye miradi ndipo penye upigaji.

Akaenda mbali zaidi akawa anaipa Mayanga Construction tenda, ambayo ni Kampuni yake.
Thibitisha Mayanga construction ilikuwa ikimilikiwa na Hayati Magufuli, vijana msiwe mnapenda kuokotoza maneno huko mtaani ukiitwa ukatoe ushahidi unaweza kuthibitisha ya kwamba kampuni hiyo ilikuwa ni ya Magufuli.
 
Mkuu, Mfugale alipohojiwa na wazee wa system alipata presha palepale na akafa, kama ilivyokuwa kwa malima, akaunti zote zilikamatwa (frozen), Mfugale ndiye alikuwa anatunza fedha za wizi za JPM
Tuoneshe hiyo akaunti ya Mfugale yenye fedha za JPM.
 
Back
Top Bottom