dit

Lieu-dit (French pronunciation: [ljø.di]; plural: lieux-dits) (literally said-location) is a French toponymic term for a small geographical area bearing a traditional name. The name usually refers to some characteristic of the place, its former use, a past event, etc. A lieu-dit may be uninhabited, which distinguishes it from an hameau (hamlet), which is inhabited.
In Burgundy, the term climat is used interchangeably with lieu-dit.

View More On Wikipedia.org
  1. Papaah

    JamiiForums Tanzania Biomedical Engineering (DIT) vs Electrical and Biomedical Engineering (Arusha Tech)

    Salaam wakuu, Kwa ujuvi wa mambo, ukiwa na lengo la kua Biomedical Engineer mzuri kibongo bongo lipi ni chaguo sahihi zaidi hapo juu? Nawasilisha...🙏
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa SOMA wa DIT ni kero kwa wanafunzi

    Mimi ni mwanafunzi wa DIT, tunatumia mfumo unaitwa SOMA katika usajili na ufatiliaji wa matokeo. Kwa zaidi ya mwezi sasa mfumo umekuwa na changamoto, Huku baadhi ya wanafunzi wakiwa NOT PROMOTED baada ya kufuatilia ADMISSION OFFICE tulipewa Ticket Number ili kuhudumiwa na SOMA hata hivyo Ofisi...
  3. I

    JamiiForums Tanzania COET or DIT

    Nimechaguliwa electrical engineering na naipenda kutoka UDSM na DIT , naombeni ushauri wa ku confrim sehemu moja
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto kufanya udahili Chuo cha DIT - Dar es Salaam, Index Number Kidato cha 6 haikubali

    Kuna kero kubwa sana kwenye kufanya application ya Chuo cha DIT Campus ya Dar es Salaam upande wa Bachelor kuna Step 3, ukifika unaambiwa uweke Index Number ya Form Six, hata ukiweka mfumo haukupi option ya kuendelea hata ukiendelea unakurudisha hiyo stage. Kiufupi kuna changamoto na mbaya...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kuita IFM, DIT, NIT na CBE kama vyuo ni makosa makubwa sana

    Vyuo vya ufundi kama VETA (Vocational Education and Training Authority) Vyuo vya ualimu kama DUCE (Dar es Salaam University College of Education) Vyuo vya afya kama Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) IFM , CBE, DIT Wanafunzi mpaka anahitimu hajui kama anasoma kwenye...
  6. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania KERO Feni na AC katika Majengo mengi ya Chuo cha DIT - Dar ikiwemo Maabara hazifanyi kazi

    Madarasa mengi na Maabara za Chuo cha DIT yana changamoto ambazo zinafanya tunashindwa kusoma tukiwa na utulivu, nazo ni; AC na feni nyingi hazifanyi kazi. Mfano mimi ninasoma ETE, Jengo la mawasiliano kuna Maabara 4, zote hakuna AC wala feni tunapoingia kunakuwa na suffocation sana na joto...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  8. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

    Mwanafunzi wa Diploma anaefahamika kwa jina la KURWA katika Chuo cha DIT amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya 10 (jengo linaitwa teaching tower TT) Bado hakuna taarifa ya uhakika ya kuhitimisha kikamilifu chanzo cha kuanguka aidha kajirusha, kasukumwa, ajali, n.k. chanzo >>...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi DIT hatujasajiliwa wiki ya 7 sasa tokea chuo kifunguliwe kwa kisingizio cha ubovu wa mfumo

    Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una changamoto, na tunapojaribu kufuatilia pengine ikibidi kwenda kwa watu wa system hawaji hata ofisini...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya na Kile Kigari Chake, Kwa Nini Alitupiliwa Mbali?, Angalia na Soma.

    Sijui kama leo unaweza kuwa na wazo kama la Masoud kutaka kuzalisha kitu chochote cha kiubunifu na serikali yetu pendwa ikakuunga mkono kwa support kama wanayopewa wawekezaji wengine, sijui!!. Basi hapo majuzi jamaa yetu huyu mtangazaji alipokuja na ile idea yake nzuri na kigari chake huku...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Uhamisho Nactivet unapata moja Kwa moja? Mimi nmemaliza form four nmechaguliwa na serikali chuo cha DIT

    Ñimeombewa na wazazi wangu nactvet vyuo vya afya na nlikua sitaki Sasa wakinichagua ndo nakua nmehamishwa au inakuaje wakuu nisaidieni sitaki kubadilisha nataka nisomee ufundi nilipochaguliwa
  12. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza kwenye Teknolojia kwa kutumia vyuo vyetu kuyasogelea kwa Karibu Mapinduzi ya Nne ya Viwanda

    Tanzania kama tunavyojiita kuwa ni moja ya Nchi zinazoendelea, hatuwezi kukwepa kujiingiza moja kwa moja kwenye MAPINDUZI YA NNE ya viwanda. Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, ni mapinduzi makubwa ya kiteknolojia ambayo yanaendelea hivi sasa, na yana athari kubwa kwa biashara na jamii kote...
  13. BB_DANGOTE

    JamiiForums Tanzania Je computer engineering inayo fundishwa DIT na ya UDSM ipi Ina applicable content nyingi

    Aaah wakuu naomba kusaidiwa katika hili kama Kuna mtu mwenye uelewa juu ya content yenye faida. Nimesoma prospectus zote lakin nimefeli kuelewa ipi ipo Nondo na ipi ipo unga 🙂 Ndomana nime kuja kuomba msaada Kwa wanaojua kuhusu hili... "Always say less than nessesary"
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kero yangu kuhusu utaratibu wa 'refund' kwa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT)

    Habari! Napenda kuleta kero yangu ili mnisaidie kufikisha kwa wahusika wa Chuo cha DIT. Kuna kero kubwa hususani kwa wanafunzi waliopata mkopo kupitia Bodi ya mkoppo ya elimu ya juu (HESLB) pale wanapokuwa wanaanza mwaka wa masomo huitajika kulipa ada kwanza kabla ya kufanyika usajili...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkataba ushirikiano wasainiwa DIT na Taasisi ya Ufundi (CQVIE) ya China

    WANAFUNZI TANZANIA NA CHINA KUBADILISHANA UZOEFU Na WyEST DSM # Mkataba ushirikiano wasainiwa DIT na Taasisi ya Ufundi (CQVIE) ya China # Prof. Mkenda ashuhudia utiaji saini makubaliano Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya...
  16. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka afurahishwa na DIT kuhamisha magari 1,000 kutoka mfumo wa mafuta kwenda wa gesi. Ampongeza Rais Samia kwa kutoa TZS 100BL kwa ajili ya CNG

    CCM YAPONGEZA JITIHADA ZA RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuiwezesha Taasisi ya Teknolojia ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CCM yapongeza jitihada za Rais Samia kuiwezesha DIT

    CCM YAPONGEZA JITIHADA ZA RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuiwezesha Taasisi ya Teknolojia ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Kutembelea DIT mradi wa kufunga mfumo wa gesi kwenye magari (CNG)

    ZIARA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka kutembelea mradi wa kufunga mfumo wa gesi (CNG) kwenye magari katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT). #CCMImara #KaziIendelee
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba DIT ifungue tawi hapa Mwanza kwa ajili ya kujaza gesi asilia kwenye magari

    Wote tunafahamu jinsi gharama ya mafuta ya dizeli, petroli na ya taa yalivyo ghali. Njia pekee ya kushusha gharama hizi ni kuanza kutumia gesi asilia kujaza kwenye magari yetu na hivyo tunaiomba DIT ifungue tawi hapo Mwanza ili wananchi wanaopenda kutumia gesi kwenye magari yao wapate huduma...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwa wanafunzi wa chuo cha DIT

    Chuo cha DIT inabidi wajitathimini kwa changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi wao hususani katika mambo ya IT. System yao ya matokeo ya wanafuzi haipo stable kabisa, yaani unaweza ukakuta matokeo yanabadilika badilika , kwa kweli wajitathimini kwa hili .
Back
Top Bottom