wanafunzi wa chuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    KERO Ucheleweshwaji wa malipo ya 'Booms' unakwamisha shughuli za Wanafunzi wa Chuo

    Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa hatuna pesa. Lakini pia kupata allocation inafanyika mapema lakini sasa pesa ya kujikimu inakuwa...
  2. N

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Wafurahia Uwepo wa Coca-Cola Kwenye Tamasha la Hot Rhythm Music Festival

    Dar es Salaam - Tamasha la Hot Rhythm Music Festival lililofanyika katika Hostel za Mabibo siku ya jumamosi jijini Dar es Salaam, liliwaleta pamoja wanafunzi wa Chuo Kikuu kwa ajili ya kusherehekea muziki na burudani huku wakipata ladha safi ya vinywaji vya Coca-Cola. Tamasha hilo lilivutia...
  3. TUKANA UONE

    Nataka nijenge hostel kwa ajili ya wanafunzi wa chuo wakae bure miaka 2 ya masomo yao, mwaka 3 watalipia bei chee!

    Wa- mbulu na Wa -iraki wote ni ndugu! Wakuu naomba mniombee sana Mungu anipatie uhai hadi mwakani! Ndoto yangu ni kuwasaidia Watanzania (Hasa Vijana wenzangu) na Taifa Kwa Ujumla.Nimekaa nikiangalia namna Vijana wadogo waliopangiwa Kusoma vyuo hapa Dar es salaam namna wanavyopata taabu kupata...
  4. Darkish

    KIWANDA KILICHOTOKANA NA WANAFUNZI WA CHUO HUKO UGANDA

    Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuposti thread nikihoji kwa nini wanazuoni wetu UDSM mtaala wa Uhandisi (Mechanical Engineering) hawajiongezi na kuunda hata mfano wa gari. Majibu niliopata toka kwa wanazuoni hao, mimi mwenyewe nilikoma kuendelea na hiyo hoja. Sasa angalia wanafunzi wa...
  5. JanguKamaJangu

    Dar: Watuhumiwa 17 wakamatwa wakitaka kuwafanyia Mtihani Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Prof. Elifas Bisanda ameliomba Jeshi la polisi kuwafikisha Mahakamani haraka iwezekenavyo watuhumiwa 17 waliokamatwa wakijaribu kuwafanyia mtihani wanafunzi mbalimbali chuoni hapo. Prof. Bisanda ameyasema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi...
  6. M

    Wanafunzi wa Chuo cha Ushirka Moshi (MoCU) level ya Diploma kushindwa kufanya udahili kutokana na kucheleweshwa kwa matokeo ya supplementary

    Uongozi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) umechelewesha kutoa matokea ya supplementary kwa wanafunzi wa level ya Diploma na pia kutuma matokeo hayo NACTE kwa ajili ya utambuzi, Hivyo kusababisha zaidi ya wanafunzi 200 kushindwa kufanya maombi ya elimu (Degree) kwa mwaka wa masomo 2023...
  7. Domi1919

    Biashara ya mikopo kwa wanafunzi wa chuo

    Habari wakuu. Nimemaliza chuo nimesoma microbiology degree. Kwan sasa nipo mtaani napambana na maisha. Nimekuja na wazo hapa la mikopo mnishauri mnalionaje. Nikiwa chuoni nimeona wanafunzi wengi wakihangaika wanapokosa pesa na Mimi nikiwa mmoja wapo. Sasa baada y kumaliza nimeona naweza...
  8. sky soldier

    Nyumba ya urithi niliamua kuwapangisha wanafunzi wa chuo wameigeuza danguro, Heshima ya nyumba imepungua, Vinara ni vijana waliokuwa wanabanwa sana

    Katika nyumba niliyorithishwa niliamua kuipangisha kwavile shughuli zangu nafanya mbali na tayari nipo najenga yangu, kwahiyo niliamua niwapangishe wanafunzi wa chuo cha karibu. I am so Disappointed, Nyumba imekuwa ni kama gesti bubu, wanafunzi wa hapo ni vijana wa kiume wana pepo la ugwadu...
  9. Notorious thug

    Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

    Samaleko! Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
  10. chizcom

    Baadhi ya vijana vyuoni na wanaoingia vyuoni wanakaubishi fulani fulani kujiona wanajua

    Hivi vitoto mda mwengine vinakasirisha sana.ukimueleza unatakiwa kupitia hivi basi analeta uchuo uchuo wake unatamani kukazapa vibao. Vijana wengi waliopo vyuo ndoto zao wanaamini kuajiliwa serikalini ila sio ajira zote zinatoka serikalini. Vikiwa chuo vinajiona vimetoboa maisha na kutucheka...
  11. M

    Changamoto kwa wanafunzi wa chuo cha DIT

    Chuo cha DIT inabidi wajitathimini kwa changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi wao hususani katika mambo ya IT. System yao ya matokeo ya wanafuzi haipo stable kabisa, yaani unaweza ukakuta matokeo yanabadilika badilika , kwa kweli wajitathimini kwa hili .
  12. Nyendo

    Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

    Wanafunzi wa chuo Kikuu cha Waislamu wadai walichapwa viboko.
  13. MK254

    University of Nairobi students join historic mission flying world leaders to space

    Entrance to the University of Nairobi (left) and a spacecraft taking off. University of Nairobi (UoN) students are now part of a historic space mission targeting world leaders including wealthy billionaires. Namira Salim, a Dubai-based diplomat is working towards sending a peace mission to...
  14. The Sunk Cost Fallacy

    Chile: Kiongozi wa wanafunzi wa Chuo achaguliwa Rais Kijana zaidi

    Nchini Chile, Gabriel Boric amechaguliwa kuwa Rais mteule wa Chile. Boric, kiongozi wa zamani wa wanafunzi anakuwa Rais mwenye Umri mdogo zaidi kuchaguliwa. Gabriel Boric mwanasheria wa mrengo wa kushoto ameshinda uchaguzi wa marudio dhidi ya mpinzani wake wa mlengo wa Kulia Antonio Kast.
  15. MK254

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Kenya kurusha chombo anga za juu

    Mambo yanazidi kunoga kwenye nchi hii.... The KU students are in the final steps of their project before launching their satellite to space this August. Their launch plan received a boost from the Kenya Space Agency which offered them a Ksh1 million grant for the project. This is after the...
  16. Granted Faith

    Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

    Dada zetu huko vyuoni wanatumika kama Toilet paper kisa kupata Coursework na Alama za Juu kwenye mitihani yao. Sasa hivi ndo imeshamiri haswaaa Rushwa ya Ngono vyuoni Dada zetu na Wadogo zetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa this is very sad. Unakuta Lecturer anatembea na wanafunzi zaidi ya Kumi...
Back
Top Bottom