Msaada wa notes za Electrical Engineering ngazi ya Diploma DIT

VMWare-Oracle

JF-Expert Member
Dec 19, 2021
663
910
Habari zenu wana Jamii Forums.

Nilikuwa nina uhitaji wa notes za course ya electrical engineering first year pale DIT ngazi ya diploma.

Wakuu wa DIT, naomba msaada.
 
Habari zenu wana Jamii Forums.

Nilikuwa nina uhitaji wa notes za course ya electrical engineering first year pale DIT ngazi ya diploma.

Wakuu wa DIT, naomba msaada.
Hata kama ni first year naomba ujitahidi kuuliza wenyeji.

Au kama vipi kasome tuition kwa Ras Simba cha mno funga tranka lako na solex
 
Hata kama ni first year naomba ujitahidi kuuliza wenyeji.

Au kama vipi kasome tuition kwa Ras Simba cha mno funga tranka lako na solex
Siwezi kwenda tuition kwa sababu kuna kibarua ninafanya huku Mwanza.Nilikuwa ninahitaji connection ya mtu wa DIT diploma Ili nipate notes au format ya topics za first year Ili nianze kusoma huku huku ninapopata muda.
 
Ina maana huko chuoni kwenu hakuna watu wa 2nd year?
Bado sijajiunga DIT.Ninaingia mwezi wa kumi mwaka huu nilikuwa ninahitaji kuanza kusoma mapema ninapopata muda binafsi na siwezi kwenda tuition kwa sababu kuna kibarua ninafanya.
 
Habari zenu wana Jamii Forums.

Nilikuwa nina uhitaji wa notes za course ya electrical engineering first year pale DIT ngazi ya diploma.

Wakuu wa DIT, naomba msaada.
Njia rahisi ya kusoma ni kuwa na sylabus ya somo, then utafute materials popote hata mtandaoni. Kuongezea, sina uhakika kama vitabu vya Theraja kama bado vinatolewa, ila kama vipo tafuta kimoja vinasaidia sana kwa Electrical Engineering, hasa level hiyo
 
Ndiyo nilikuwa nahitaji kujua hiyo syllabus.
 
Ndiyo nilikuwa nahitaji kujua hiyo syllabus.
Kwa kuwa huwa zinapitiwa na kufanyiwa marekebisho mara kwa mara, nakushauri kama wewe ni continuing student uende kwa mkuu wako wa idara, atakuelekeza pa kuanzia, na hata kama ndio unataka kujoin, pita tu uombe ili ujue objectives za kila course, inasaidia sana kupita ndani ya scope kuliko kujisomea materials yoyote tu. Mimi binafsi ilinisaidia sana kufaulu masomo ambayo wengine walifeli
 
Back
Top Bottom