digital marketing

 1. Aziwero

  DIGITAL MARKETING SPECIAL THREAD;Where Digital Marketers Meet. Assistance, Tips, New Trends, Opportunities, and Clients

  Habari wanaJamiiForums Karibu kwenye uzi wetu mpya unaolenga kila kitu kuhusu Digital Marketing! Katika enzi ya kisasa ya kidijitali, kuelewa wa uuzaji wa kidijitali ni muhimu kwa biashara, wajasiriamali, na mtu yeyote anayejitahidi kujenga uwepo mtandaoni. Uzi huu unalenga kuwa kitovu cha...
 2. S

  SoC04 National digital marketing

  -Ni wazi kwamba dunia nzima matumizi ya simujanja(smart phones) na kompyuta yametawala kwa kiasi kikubwa. -Ni vyema kwa serikali kuanzisha mfumo utakaojulikana kama NATIONAL DIGITAL MARKETING (NDM) ambapo itakuwa ni teknolojia ya habari na mawasiliano katika nyanja ya biashara na masoko...
 3. T

  Wanaojua watufundishe kuhusu 'Cortex digital Marketing' je, ni matapeli?

  Tufaidishane pengine tukaokoa watu wengi kutotapeliwa au kuingiza faida. Kuna namba ilinitumia message telegram wakidai wao ni kampuni ya marketing za online ambapo wanafanya media buy wakishirikiana na makampuni mbalimbali. Wanachofanya ni ku-recruit watu kufanya kazi ya ziada binafsi...
 4. K

  Nakubaliana na Serikali kuanzisha Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Wataanzani wanaharibu dhana nzima ya "digital marketing"

  Leo nimesikia kitu kilichonifurahisha sana kutoka wa waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/2024 nalo ni kuja na mpango wa kuanza kukusanya Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Sijajua kwa upande wa Serikali ukiachana na kukusanya Kodi kwenye...
 5. Tanzanite Digital Agency

  Jinsi Ya Kuanza Digital Marketing 2023, Anza Leo Fursa Hii Ya Mtandaoni

  Digital Marketing - moja ya mada zinazotajwa sana haswa katika fursa za mtandaoni. Wafanyabiashara wengi wanasifu kuwa ni njia muhimu sana katika ukuzaji wa biashara. Kitu ambacho vyuo vingi vimeanza mafunzo ya kozi za digital marketing, lakini hii haimaanisha ni lazima uwe na college degree...
 6. HUKU ABROAD

  Natoa huduma ya digital marketing

  Service yangu ni kwa ajili ya watu wanaotaka kuwa na Vipindi vya Kuvirusha kwenye youtube instagram na Facebook ... Nakutengenezeae account ya Youtube instagrama na facebook kama hauna then nakuandalia ratiba ya kupost ya mwezi mzima kulingana na huduma unayotoa au biashara unayofanya ...
 7. Artifact Collector

  Power of Storytelling

  Kuanzia kwenye uchumi mpaka kwenye maisha yetu ya kila siku hatuna watu ambao watatuambia kitu ambacho mtu wa Kawaida hawez kukiona Mfano Ukienda ulaya utaona planning y miji katika nchi za ujerumani ni tofauti na France, Spain, na england, kote huko ukienda unakuta na upangaji wa miji unique...
 8. I

  Hivi nikifungua digital marketing agency hapa Dar es Salaam, clients wapo?

  Habarini wakuu Mimi ni mjuzi mzuri wa masuala ya digital marketing haswaa. Ila nimekua nikijikita kwenye ishu nyingine kwa muda mrefu sasa ukiachana na hizi mambo za marketing. Sasa nimeona ni muda muafaka wa mimi kutumia ujuzi huu nilionao kuniingizia kipato zaidi. Je nikifungua digital...
 9. M

  Ni suala la muda tu

  Unahisi kuna lugha ngapi duniani? 6,500-7,117. Tena hizi ni zile zinazojulikana na zikiwa kwenye hatari ya kupungua. Vipi kuhusu zile ambazo hazijulikani? Wewe je unajua na kuzungumza lugha ngapi mbali na Kiswahili, Kiingereza na lugha ya kabila yako (Kilugha)? (Washiriki wa mafunzo ya...
 10. A

  Fahamu siri kubwa na faida ya DIGITAL MARKETING katika biashara yako

  MASOKO YA KIDIGITAL I(digital marketing) ni nini? MASOKO KWA NJIA YA KIDIGITALI ni matumizi ya mtandao yaliyoanza kuibuka kuanzia miaka ya 90 mpaka 2000 yaliyokuwa na lengo la kuendeleza shughuli za kunadi masoko kwa uuzaji bidhaa mitandaoni/ na services (shughuli) kwa kutumia vifaa vya...
 11. Red Giant

  Hivi kuna Degree, Diploma au Certificate ya Digital Marketing?

  Siku hizi suala la Marketing limehamia mtandaoni, si Tv, magazeti, mabango, wala Radio zinazoweza kushindana na digital katika kutangaza. Nimekuwa natangaza biashara facebook/insta. Ni msitu mkubwa na changamoto ni nyingi. Na ili upate matokea yote inabidi kuielewa vizuri. Bado najifunza lakini...
 12. Sam Gidori

  Mambo ya msingi unayopaswa kuyafahamu kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kibiashara (2)

  Upi mtandao sahihi zaidi wa kijamii unaoweza kuutumia kutangaza biashara yako mtandaoni? Tangu kuvumbuliwa kwa mtandao wa intaneti miaka 60 iliyopita, mapinduzi ya teknolojia yamerahisisha mawasiliano kwa kiasi kikubwa. Moja ya mabadiliko hayo ni uwezo wa kuwafikia watu wengi kwa muda mfupi...
 13. Jamii Opportunities

  Digital Marketing interns at Abel & Fernandes Communications

  Vacancy title: 84 Digital Marketing Interns Abel & Fernandes Communications Job Description We are looking for an enthusiastic, fast-learning digital marketing intern to join our growing team helping our clients achieve great results through effective digital marketing campaigns. You should be...
 14. T

  Natafuta Mtaalamu wa Digital Marketing

  Hello wadau, Natafuta mtaalamu mwenye uwezo wa kutengeneza na kuchanganya high quality graphics na videos kwa ajili ya marketing. Sifa: 1.) Awe na ujuzi wa kutengeneza na kuchanganya sauti, video na graphics kwa kiwango cha juu. 2.) Ajue kiingereza na kiswahili vizuri sana, kuongea na...
 15. Shukurutz

  Kuza biashara yako kwa kujitangaza mtandaoni

  Biashara na matangazo ya karne ya 21 yanategemea sana teknolojia. Tunaishi ulimwengu wa dijiti hivyo kila kitu hakina budi kufanywa kidijitali. Unaweza kuwa na biashara yako au kampuni yako inayotoa huduma ama bidhaa imara na uhakika kabisa lakini usipotumia bidii kujitangaza unaweza kuzidiwa na...
 16. F

  Africa 118 - Infomoby coming into Tanzania. Here is their experience in Ethiopia

  Africa 118 - Infomoby which provides a digital marketing platform for small and medium-sized enterprises (SME’s) in Africa, and NORAD (Norwegian Agency for Development) partnered to make it easier for Ethiopian businesses to develop an online presence and to market their services to an...
 17. SoftDev

  Sokovitu androids apps for advertisement

  Kuna website and androids apps inayopatikana play store kwa jina la SOKOVITU, ni apps nzuri kwa ajili ya advertisement ya Real estates, Magari, aina mbalimbali za Nguo pamoja na aina zote za kilectroknis, pia website yao ni www.sokovitu.com, Ingia playtore pakua apps kwa jina la SOKOVITU...
Back
Top Bottom