bishara

  1. Maya Angelou

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  2. emmarki

    Bishara ya huduma ya maziko kifahari

    Kifo ni sehemu ya kila mwanadamu, ni sherehe ya mwisho. Kutokana na ongezeko la watu kuga dunia, wanafamilia hujichanga na kupendelea sherehe ya mwisho ya mpendwa wao itafana kiasi gani. Watu wa vijijini nyakati hizi wanapenda kufanya maziko ya kifahari hasa mikoa yenye watu wanaojua kutafuta...
  3. yoteyametimia

    Wataalam wa biashara naombeni somo hapa

    Biashara ambayo faida ni ndogo kuliko matumizi ni biashara yenye afya? Mfano ukifanya mauzo, zaidi ya asilimia 60 hadi 70 inaenda kwenye matumizi kama maligafi n.k, na hakuna uwezekano wa kupunguza matumizi. Karibuni mnielimishe naona natumia nguvu nyingi kwenye hii biashara, ni biashara ndogo tu.
  4. Njaa kali30

    TRA na Maafisa Biashara wa Wilaya ya Songwe acheni kuwaibia wananchi

    TRA wakishirikiana na maafisa wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwahuhujumu wafanya biashara wadogo wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwafungia biashara zao hasa mama na kuwalazimisha walipie sh 50,000 ya kufuli na kuwapiga faini ya 50000, ya usumbufu, 50000 kupata TIN namba na Sh 50000 kwa ajili...
  5. TAJIRI MSOMI

    Naomba ushauri: Natamani kuanzisha bishara ya jumla

    HABARI WANA JAMVI Nahitaji Ushauri, natamani nianzishe biashara ya Jumla kuuza kitu cha aina moja,mbili au tatu tu,sasa ninajaribu kuangalia kati ya Cement, Mafuta ya kupikia au Sukari; etc; Sehem ya biashara ni DSM, nina godown na Frame tayari, ni sehemu ambayo haina watu wengi but ni jirani...
  6. Baraka sheni

    Kiti cha saluni kinauzwa

    Wapendwa kama kichwa cha habari kinavyo sema kiti hicho kina panda na kushuka vizuri kabisa kina uzwa. BEI 80000 MAONGEZI YAPO. KITI KIPO DAR KIJICHI 0694185384
  7. K

    Ifahamu nguvu ya koromeo la fisi katika biashara

    Katika biashara yapo mambo yanayofanywa na wafanyabiashara ili kuwavuta wateja ambayo ukisimuliwa unaweza kufikiri ni utani ama story za vijiweni. Miongoni mwa mambo hayo ni matumizi ya koromeo la mnyama fisi katika kuchujia pombe za kienyeji. Inasemekana endapo utakunywa pombe iliyochujiwa...
  8. Prof Sankara

    SoC01 Vijana wauza matunda wamekwamia wapi kuboresha biashara?

    Na Prof Sankara Kitu gani unazingatia unapo nunua matunda?, ukubwa, rangi, utamu urahisi wa bei au mazingira yanapouzwa?. Kwa asili kila biandamu hupenda huduma bora, hata hivyo kulingana na mazingira inawezekana mtu akalazimika kutumia huduma fulani iliyopo katika eneo lake kutokana na...
  9. Zum

    Wazo la biashara mtaji wa Milioni 5 hadi 6 Mkoa wa Tanga au Dar

    Habari Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni 5 mpaka 6. Biashara gani itakidhi kwa kiwango hiki cha pesa? Uzoefu nilionao, katika maswala ya ICT kwa level ya kawaida na kazi za stationery. Shukrani.
  10. Shukurutz

    Kuza biashara yako kwa kujitangaza mtandaoni

    Biashara na matangazo ya karne ya 21 yanategemea sana teknolojia. Tunaishi ulimwengu wa dijiti hivyo kila kitu hakina budi kufanywa kidijitali. Unaweza kuwa na biashara yako au kampuni yako inayotoa huduma ama bidhaa imara na uhakika kabisa lakini usipotumia bidii kujitangaza unaweza kuzidiwa na...
Back
Top Bottom