matangazo ya kibiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Serikali kuanzisha mfumo wa kidigitali kukusanya kodi kwenye matangazo ya mitandao ya kijamii

    Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wakati anawasilisha Bajeti ya 2023/2024 amesema kutokana na ukuaji wa teknolojia, biashara nyingi zinafanyika mtandani na hivyo matangazo yanayofanywa kukuza bishara hizo kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, Twitter na blogs mbalimbali...
  2. Tanzanite Digital Agency

    Jinsi ya ku-tangaza Biashara yako kwa Facebook (sponsered ads) - P.01

    Habari, I hope u mzima wa afya unavyopitia thread hii. na kama hauko poa, i pray urudi katika afya yako mapema. To cut the story short, Leo nitaelezea jinsi ya kutangaza biashara yako kwa Facebook ads (matangazo ya Facebook), kama haufahamu Facebook ads ni nini basi fanya hivi :- Fungua...
  3. Sam Gidori

    Mambo ya msingi unayopaswa kuyafahamu kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kibiashara (2)

    Upi mtandao sahihi zaidi wa kijamii unaoweza kuutumia kutangaza biashara yako mtandaoni? Tangu kuvumbuliwa kwa mtandao wa intaneti miaka 60 iliyopita, mapinduzi ya teknolojia yamerahisisha mawasiliano kwa kiasi kikubwa. Moja ya mabadiliko hayo ni uwezo wa kuwafikia watu wengi kwa muda mfupi...
Back
Top Bottom