Natoa huduma ya digital marketing

HUKU ABROAD

Senior Member
Nov 20, 2020
127
209
Service yangu ni kwa ajili ya watu wanaotaka kuwa na Vipindi vya Kuvirusha kwenye youtube
instagram na Facebook ...

Nakutengenezeae account ya Youtube
instagrama na facebook kama hauna

then nakuandalia ratiba ya kupost ya mwezi mzima kulingana na huduma unayotoa
au biashara unayofanya ,

hii itakusaidia katika kuwafanya watu wako au wateja wako kuendelea kukufatilia
kila unapo update au kupost ...

kumbuka sio kila mtu anaweza kusimamia account zake za biashara ..
usiumize kichwa nipe kwa ajili yako kama una swali lolote au umependa service yangu
nipigie ua nichek
whats app +255 766 999 775
 
Back
Top Bottom