Farhia Middle tumekukumbuka sana katika kipindi cha dakika 45 ya Jumatatu tarehe 30.8.2021

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Kwa kawaida kipindi hiki kinasimamiwa na Ndugu Farhia Middle kila siku ya Jumatatu kujadili/kumuuliza maswali mwalika katika kipindi hicho.

Mwalikwa wa leo alikuwa ni Naibu Spika Dr. Tulia Ackson. Kipindi cha leo kimekuwa very boring na hakina ladha. Msimamizi wa leo hana mbinu kabisa kusimamia kipindi hiki.

Tunaiomba ITV kipindi cha 45 kisimamiwe na Farhia Middle.
 
Mkuu wewe tumia nafsi yako peke yako, Unaonekana una mahaba binafsi na huyo mtangazaji,

Sasa utakula kwa macho mpaka lini!?? Nenda kamwage sumu akimeza wahh akitema ohhhh. Mkuu unahusudu tipwatipwa una nguvu!!?
 
Mtangazaji alikuwa guided na mh. Tulia badala ya yeye kumguide na kuuliza followup questions
 
Huyu Farhia mimi huwa napenda shape yake matata, mtoto wa ki Iraq kwakweli nikimwona mate hunitoka.
 
Tanzania hatuna watangazaji/waandishi wanaoujua ku interview alot of them Ni makanjanja (half cooked) labda kidogo kina Pasco mayala. Waandishi wengi pia wanatumika kwa vifedha vidogo dogo, lakini pia Ni waoga na wanafiki kwa viongozi. Ni [USER=439204]pasco pekee niliwahi kumsikia akimuuliza Mtawala swali zito lililomfanya Mtawala huyo kujibu kwa porojo.

Kuna muandishi mmoja aliwahi kumuuliza swali Raisi Obama alipotembelea Tanzania, swali la kitoto na kijinga Sana.

Waandishi wetu Ni soft news reporters sio researchers sio probers
 
Nimesikiliza kipindi, Benjamin Mzinga kajitahidi japo siyo kama Dada Farhia,nadhani Bado Kuna kauoga flani kwa Hawa watangazaji pale wanapowahoji viongozi wakubwa.

Benjamin yupo vizuri sana kuuliza/kuhoji maswali,ila kwa Jana alikuwa muoga

Tusidanganyane uhuru wa habari hakuna
 
Kwa kawaida kipindi hiki kinasimamiwa na Ndugu Farhia Middle kila siku ya Jumatatu kujadili/kumuuliza maswali mwalika katika kipindi hicho.

Mwalikwa wa leo alikuwa ni Naibu Spika Dr. Tulia Ackson. Kipindi cha leo kimekuwa very boring na hakina ladha. Msimamizi wa leo hana mbinu kabisa kusimamia kipindi hiki.

Tunaiomba ITV kipindi cha 45 kisimamiwe na Farhia Middle.
Sio kwamba hana mbinu ila alitimiza makubaliano ya awali kuhusu maswali, yule mama ni mzito sana sasa maswali yangemrudisha Mbeya kwa gagula.
 
Back
Top Bottom