Search results

  1. Mshana Jr

    Uzinduzi wa awamu ya Nne wa Shindano la Stories of Change 2024, Zaidi ya Tsh. Milioni 50 Kushindaniwa

    Lakini watanzania wamekuwa wepesi kudai haki pasipo kutimiza wajibu. Tunataka watanzania tutimize wajibu wetu wa kikatiba wa kuandika mawazo yetu. Kila wazo ulilokuwa nalo lina mshiko kwa sababu kila aliefanikiwa amejipanga.❤❤❤
  2. Mshana Jr

    Jacob Zuma ajiunga na upinzani ili kupambana na chama kinachotawala cha ANC!

    Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma (82), amezuiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Afrika Kusini ili asigombea Ubunge wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 29 Mei 2024. Mh. Jacob Zuma alitaka kugombea kupitia uMkhontho weSizwe (MK), chama kipya kilichosajiliwa karibuni kikitumia jina la Jeshi la msituni...
  3. Mshana Jr

    Maisha ya baadaye ya watoto wetu yanahitaji wawe na Elimu, network na investment

    Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network. Network ni namna ambavyo unajijenga ndani ya kundi muhimu la marafiki, washirika, alumnus mbalimbali na ata wale wa...
  4. Mshana Jr

    TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike kilichotokea Afrika Kusini

    Anaandika Mohamed Msangi, Mtanzania anayeishi SA __________ Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu, Mtanzania mwezetu Michael aka Mike mzaliwa wa Kinondoni. Mwaka 1999 Mike alihamisha makazi yake kutoka Tanzania kuelekea Mozambique akijishughulisha na biashara mbalimbali zikiwemo...
  5. Mshana Jr

    Je wajua haya kuhusu Tanga?

    1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893. 2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School). 3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza. 4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949. 5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern...
  6. Mshana Jr

    Mambo usiyoyajua kuhusu msitu wa Amazon

    (....Usipite bila Kusoma......) 1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini. 2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama...
  7. Mshana Jr

    Picha: Mipaka ya nchi mbalimbali duniani

  8. Mshana Jr

    Picha: Kuwa makini na bidhaa za online

    Cover hiyo[emoji23]
  9. Mshana Jr

    Picha: Kuwa makini na bidhaa za online

    Niliwahi kuagiza bastola nikaletewa kitoy kisichojaa kiganjani[emoji23]
  10. Mshana Jr

    Upendo wa kweli upo ama ni magumashi?

    Fundi huyu maskini alikuwa akichumbiana na msichana huyu mrembo mtandaoni. Siku moja msichana huyo alimwomba amtumie nauli ili aje kumtembelea. Fundi kijana alishangaa mno. Alidhani msichana huyo atamdanganya. Hakuamini msichana mrembo namna hii angetaka kuja kwake. Siku mbili baadaye...
  11. Mshana Jr

    Asili na maana ya DHL

    Kampuni maarufu duniani ya kusafirisha vufurushi ilianzishwa Mwaka 1969 na vijana watatu ambao walianza biashara ya kupeleka vifurushi mlango kwa mlango katika mji wa Plymouth Duster ya zamani huko Uingereza na taratibu milango isiyo na kifani ikaanza kufunguka! Adrian Dalsey, Larry Hillblom...
  12. Mshana Jr

    Uzi wa wala daku 2024

    Na hii ndio mida yake
  13. Mshana Jr

    Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    Isikilize clip ya CDF mstaku hafu Gen. Mabeyo lkihusu ushuhuda wake zile saa za mwisho kabla mpendwa wetu hayati hajalala kuzimu mautini. Gen. Mabeyo kuna vipande kaviongea kwa hisia na maumivu makali kiasi cha kushindwa kuzuia machozi.. Imagine mtu kama yeye afikie mahali apate hisia za maumivu...
  14. Mshana Jr

    Wanawake wamchangia Rais Samia Milioni 120 za Fomu ya Urais. Majaliwa aongoza zoezi, asisitiza Fomu ya Urais 2025 itakuwa Moja tu

    Je haiwezekani kuwa Kassim Majaliwa anamtengenezea Mama Samia ajali ya kisiasa? Katiba ya CCM na Maadili yake vinasemaje?
  15. Mshana Jr

    Vinywaji feki vya Highlife maeneo ya Moshi vyatishia kampuni ya Derick Global Trading

    Konyagi na Valuer waliwahi kupata hiyo changamoto ila wakaiwahi kwa kuongeza ulinzi na kubadili vingi kwenye vifungashio
  16. Mshana Jr

    Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

    Kuna vituo vya mafuta lakini havina mitaji hivyo ukiwa na mobile fuel truck unaenda depo unanunua jumla kisha unaenda ku supply kwa mali kauli.. Faida yako ni Tsh 100 kwa lita.. Asubuhi unasambaza lita zako 3000 jioni unakusanya hela zako.. Kwa mzigo wa lita 3000 faida ni Tsh 300,000.. Fanya...
  17. Mshana Jr

    Nini kifanyike mgogoro wa Bajaj na daladala?

    Daladala officially zinatakiwa mainroads wakati bajaj zinapaswa kuwa kwenye feeder roads na maeneo ambalo daladala hazifiki... Kuchanganya zote barabara kuu ni kutaka kuleta mvurugano
Back
Top Bottom