Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,928
Isikilize clip ya CDF mstaku hafu Gen. Mabeyo lkihusu ushuhuda wake zile saa za mwisho kabla mpendwa wetu hayati hajalala kuzimu mautini. Gen. Mabeyo kuna vipande kaviongea kwa hisia na maumivu makali kiasi cha kushindwa kuzuia machozi.. Imagine mtu kama yeye afikie mahali apate hisia za maumivu mpaka machozi yamtoke

Saa za mwisho za Magufuli zilikuwa ngumu zilizojaa mashaka maumivu na sintofahamu kubwa.

Imejulikana sasa alianza kuumwa akiwa nyumbani/ ofisini ikulu ya Magogoni. Hali ilipokuwa mbaya alihamishiwa hospital ya Mzena iliyoko Makumbusho Kijitonyama Dar.

Hospital maalum ya serikali kwa ajili ya viongozi wakubwa serikalini kipindi hicho watendaji wakuu serikalini hawakuwepo Dar.

Makamu wa rais alikuwa ziarani Tanga Waziri mkuu alikuwa pia ziarani (location haikusemwa)
Spika wa bunge?

Hakuzungumziwa alikuwa wapi.

Kwa maelezo ya Gen. Mabeyo yeye ndiyo alikuwa sterling wa mchezo zile saa za mwisho za mpendwa wetu hayati Magufuli.

Aliyokutana nayo katika zile saa 72 kamwe hataweza kuyasimulia yote. Lakini ni wazi zilikuwa nyakati ngumu sana kwake maishani. Tusubiri kama atakuja kuandika kitabu. I hope atafanya hivyo.

Haiba ya mwendazake ilikuwa kulazimisha mambo kwamba hata lisilowezekana kulingana na taratibu na kanuni alilazimisha liwezekane. Always kwenye kitanda cha mauti pale Mzena Hospital aliiona hatima yake. Na hakutaka kulala mautini akiwa pale hospital Mzena.. Alikuwa na sababu zake kamili..!!! Za kiroho na za kimwili

Ni wazi alipoliona hilo akawataka madaktari wamrudishe nyumbani lakini wakamkatalia (pengine kuna siku Prof. Janabi naye atafunguka kwenye hili)

Akamtaka Gen. Mabeyo kwa cheo chake awaamuru madaktari wamrudishe nyumbani lakini naye akagoma.. Kwenye hili Magufuli alimshangaa sana .. Lakini yeye pamoja na haina yake ya kulazimisha mambo alikuwa ni Mgonjwa asiyejiweza..!
Kama Gen. Mabeyo angemkubalia kisha yakatokea yaliyotokea angekuwa na lawama za milele! Alitumia hekima kubwa mno anastahili pongezi za milele.

End of part one
FB_IMG_1710681645096.jpg

Sehemu ya pili

Hari za kifo
Ni wazi usiku wa mwisho wa hayati Magufuli ulikuwa mgumu wa maumivu na uliojaa maumivu mengi sana.. Kwa kifupi hakulala na ndio maana Kulipopambazuka tu akataka arudishwe akafie nyumbani.. Alishaiona hatima yake na hakutaka tena jitihada za watabibu.. Kuna roho hutuonesha mwisho wetu
Hari za kifo ni situation moja ngumu sana. Roho huwa ngumu sana kuachana na mwili na mhusika hujafa na mahamaniko na mahangaiko. Wanasema inauma kama pakanga.

Mapema asubuhi alishaona hataliona giza la siku hiyo ndio maana hakutaka kabisa kubaki hospital bali arudishwe nyumbani.Nyumbani ndio sehemu inayoaminika zaidi kwenye wapendwa wako mke na watoto.. Ndio penye moyo wako hapo. Ndipo mahali unapoweza kutoka amri yoyote na ikatekelezwa

Cha kushangaza ni kwanini kwenye kuugua kwake kote familia ama mke hakuwepo karibu yake? Hili tuliweke kiporo limekaa kiudaku zaidi

Baada ya Gen. Mabeyo kumkatalia kumrudisha nyumbani akaomba basi aitiwe paroko wake. Hii ni kwa ajili ya kufanya kitubio cha madhambi yake yote ili aondoke kwa amani.. Alikuwa mkatoliki na hizi ni taratibu za kikatoliki.. Cha kushangaza hapa alitaka pia aitiwe Askofu mkuu jambo ambalo lilifanyika.. Swali je alimwambia nini Askofu mkuu? Hili kuna siku litasemwa

Alifanya kitubio asubuhi akafariki jioni ya saa kumi na mbili ni wastani wa masaa nane hadi tisa ya maumivu ya hari za kifo
Ni kipindi kirefu mno ambacho unapitishwa kwenye nyayo zako kwa njia ya video ukioneshwa yote uliyoyafanya mazuri na mabaya.. Ni kipindi cha kutisha sana

Kuna baadhi hupata neema ya kufa haraka.. Lakini kuna baadhi kuchukua muda mwingi kufa kutokana na haiba. Magufuli alijiita jiwe hilo jina likaakisi kiroho mpaka kifo
Wengine wanaochukua muda mwingi kufa ni Wachawi waliotesa sana watu
Waliochanjiwa muku
Waliochanjiwa madawa ya kinga nknk

Masaa ya mwisho ya mpendwa Magufuli yana simulizi nyingi za kuandikwa na nyingine zimejaa utata usiri sintofahamu na hata uzushi

Kuna mengi hayajasimuliwa kuna siku yatasemwa.. Binadamu hawezi kukaa na kitu rohoni muda mrefu
 
Isikilize clip ya CDF mstaku hafu Gen. Mabeyo lkihusu ushuhuda wake zile saa za mwisho kabla mpendwa wetu hayati hajalala kuzimu mautini.. Gen. Mabeyo kuna vipande kaviongea kwa hisia na maumivu makali kiasi cha kushindwa kuzuia machozi.. Imagine mtu kama yeye afikie mahali apate hisia za maumivu mpaka machozi yamtoke
Waziri mkuu alijua kinachoendelea.

Siku alipotamka kuwa Rais mzima anaendelea na kazi, alikuwa Njombe. Lakini za chini ya kapeti alikuwa anatembelea vikosi vya jeshi vya mipakani kwa siri kuweka mambo sawa.

Moja ya ziara alizokatisha ilikuwa kutembelea makaa ya mawe Nchuchuma Ludewa. Aliahirisha ziara na alionekana akikatiza Iringa kuelekea Dodoma.

Kutoka Dodoma alikwenda Kigoma pia kwa siri katika harakati hizohizo.

Ni kweli siku za mwisho za JPM alikuwa anaziona na hakuwa na namna ya kuchomoa. Kumbuka ile kauli ya .... siku moja mtanikumbuka ......

Inauma ila waliotuweza walituweza.
 
Isikilize clip ya CDF mstaku hafu Gen. Mabeyo lkihusu ushuhuda wake zile saa za mwisho kabla mpendwa wetu hayati hajalala kuzimu mautini.. Gen. Mabeyo kuna vipande kaviongea kwa hisia na maumivu makali kiasi cha kushindwa kuzuia machozi.. Imagine mtu kama yeye afikie mahali apate hisia za maumivu mpaka machozi yamtoke



End of part oneView attachment 2937471
Swali langu Kwa mabeo ni akina nani hao walikuwa wanataka kuizunguka katiba na kwann nae aliamua kukaidi agizo la amri jeshi mkuu
 
Isikilize clip ya CDF mstaku hafu Gen. Mabeyo lkihusu ushuhuda wake zile saa za mwisho kabla mpendwa wetu hayati hajalala kuzimu mautini.. Gen. Mabeyo kuna vipande kaviongea kwa hisia na maumivu makali kiasi cha kushindwa kuzuia machozi.. Imagine mtu kama yeye afikie mahali apate hisia za maumivu mpaka machozi yamtoke

S

End of part oneView attachment 2937471
Jr hawa kwenye picha wana uhusiano gani na habari za kifo cha Magu? Alafu huyo wa kushoto kabisa (Mwenye miwani mieusi) ni me au ke?
 
Wazee Kuna Siri Gani hiyo ambayo Mabeyo haisemi, nataka kujua kuhusu panga pangua ya viongozi ilifanywa na mama.
wanakuza mambo tu!,fatilia hakuna kifo cha mtu maarufu kikakosa kuzungumziwa kuwa kuna namna namna hata kwa mkapa walisema,kwa nyerere walisema pia,kwa kanumba yalisemwa pia so kusemasema ni kawaida ya binadamu haswa sisi waswahili kila mmoja atasema la kwake!..
hata kama hakuna jambo la kukuza hayohayo madogo yatakuzwa!

wapo waliosema alikufa kwa korona lkn rais alikuwa anasafu ya watu wanamfata kwa muda mwingi mbona wao hawakupata hiyo korona!!.. isitoshe safu yake ya ulinzi ilikuwanae hata wakati akiwa ndani ya jeneza!.

kusemasema na kutafsiri vitu ni hulka ya binadamu,leo la marehemu kuomba arudishwe nyumbani linafanywa jambo kubwa wakati ni hali ya kawaida wagonjwa wakifikia hatia fulani wanakuwa na hofu!, wengine hupagawa kabisa so huenda marehemu alikuwa ktk hiyo level!. sisi

zakuambiwa changanya na zako
 
Isikilize clip ya CDF mstaku hafu Gen. Mabeyo lkihusu ushuhuda wake zile saa za mwisho kabla mpendwa wetu hayati hajalala kuzimu mautini.. Gen. Mabeyo kuna vipande kaviongea kwa hisia na maumivu makali kiasi cha kushindwa kuzuia machozi.. Imagine mtu kama yeye afikie mahali apate hisia za maumivu mpaka machozi yamtoke

Saa za mwisho za Magufuli zilikuwa ngumu zilizojaa mashaka maumivu na sintofahamu kubwa..!
Imejulikana sasa alianza kuumwa akiwa nyumbani/ofisini ikulu ya Magogoni.. Hali ilipokuwa mbaya alihamishiwa hospital ya Mzena iliyoko Makumbusho Kijitonyama Dar.. Hospital maalum ya serikali kwa ajili ya viongozi wakubwa serikalini
Kipindi hicho watendaji wakuu serikalini hawakuwepo Dar
Makamu wa rais alikuwa ziarani Tanga
Waziri mkuu alikuwa pia ziarani (location haikusemwa)
Spika wa bunge? Hakuzungumziwa alikuwa wapi..!!!

Kwa maelezo ya Gen. Mabeyo yeye ndio alikuwa sterling wa mchezo zile saa za mwisho za mpendwa wetu hayati Magufuli.. Aliyokutana nayo katika zile saa 72 kamwe hataweza kuyasimulia yote.. Lakini ni wazi zilikuwa nyakati ngumu sana kwake maishani.. Tusubiri kama atakuja kuandika kitabu.. I hope atafanya hivyo..

Haiba ya mwendazake ilikuwa kulazimisha mambo kwamba hata lisilowezekana kulingana na taratibu na kanuni alilazimisha liwezekane..! Always kwenye kitanda cha mauti pale Mzena Hospital aliiona hatima yake.. Na hakutaka kulala mautini akiwa pale hospital Mzena.. Alikuwa na sababu zake kamili..!!! Za kiroho na za kimwili

Ni wazi alipoliona hilo akawataka madaktari wamrudishe nyumbani lakini wakamkatalia (pengine kuna siku Prof. Janabi naye atafunguka kwenye hili) .. Akamtaka Gen. Mabeyo kwa cheo chake awaamuru madaktari wamrudishe nyumbani lakini naye akagoma.. Kwenye hili Magufuli alimshangaa sana .. Lakini yeye pamoja na haina yake ya kulazimisha mambo alikuwa ni Mgonjwa asiyejiweza..!
Kama Gen. Mabeyo angemkubalia kisha yakatokea yaliyotokea angekuwa na lawama za milele! Alitumia hekima kubwa mno anastahili pongezi za milele..!!

End of part oneView attachment 2937471
Picha ya kizimkazi na machawa mbn haiendani na title boss?

Nilidhani umeambatisha hiyo clip ya rtd Gen!
 
Back
Top Bottom