Upendo wa kweli upo ama ni magumashi?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,916
Fundi huyu maskini alikuwa akichumbiana na msichana huyu mrembo mtandaoni. Siku moja msichana huyo alimwomba amtumie nauli ili aje kumtembelea.

Fundi kijana alishangaa mno. Alidhani msichana huyo atamdanganya. Hakuamini msichana mrembo namna hii angetaka kuja kwake.

Siku mbili baadaye, alikopa pesa kutoka kwa bosi wake na kumtumia msichana huyo. Kwa mshangao, msichana huyo alisafiri kwa ndege kutoka Abuja hadi Lagos, Nigeria, kumwona.

Msichana huyu mrembo anatoka katika familia ya kitajiri na alitaka kuwathibitishia wanaume kuwa mapenzi ya kweli bado yapo na sio wasichana wote wanatafuta pesa za waanaume.

Alipofika Lagos alienda kwanza kwa anwani ambayo kijana huyo alikuwa amemtumia na kugundua kuwa mpenzi wake alikuwa akiishi katika nyumba ya chumba kimoja na wavulana wengine 7.

Aliwauliza ni wapi anaweza kumpata mpenzi wake wakamwambia yuko kazini mtaani. Alichukua teksi kwenda kum surprise anapofanyia kazi. Alikuja mitaani akizunguka kumuulizia kijana na watu wakaanza kumtania wakisema 'huyo mvulana mbaya amelala chini ya gari la mtu akiwa ameloa mafuta mwili mzima'.

Msichana huyo aliendelea kupekua huku matajiri kwenye magari yao wakipiga miluzi ya kutaka kumsikiliza. Hatimaye alipomkuta mpenzi wake mvulana mchafu akiwa amekaa nyuma ya gari, alikimbia kumkumbatia na mvulana huyo akaanza kulia. Aliuliza: kwanini? Na akasema: 'Hakuna mwanamke aliyewahi kukubali kunishika mkono sembuse kunikumbatia katika maisha yangu yote ya utu uzima, isipokuwa marehemu mama yangu.' Wote wawili walianza kulia.

Baadaye, msichana huyo alimkodishia nyumba kwa miaka 5 jijini na kumnunulia pikipiki ya kutumia kazini. Sasa wote wawili wanapanga kusafiri hadi Kanada ambapo kipaji cha mvulana huyo kinaweza kukuzwa. Je, wanawake wa namna hii bado wapo Afrika?

Credit: Meta/FB
FB_IMG_1710843422117.jpg
 
Credit: Meta/FBView attachment 2938929
upendo wa kweli upo 🐒

Tatizo ni vichocheo vya kimwili vinapoisha mapema kwa mojawapo kati ya wapenz,
tatizo la kumomonyoka na kumegeka kwa upendo wa kweli huanzia hapo🐒
 
Hii movie yako imeishaje?
 
Back
Top Bottom