Search results

  1. Masalu Jacob

    Mkiboresha Katiba kifungu cha umri Mgombea Urais kisomeke miaka 30

    Habari Tanzania! Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Kiukweli wananchi wanasisimkwa zaidi wakiongozwa na vijana na sio mafaza au mabraza ambao wamekuwa wanachangamoto nyingi...
  2. Masalu Jacob

    Hivi Dera ni vazi la Taifa kwa Wanawake?

    Habari Tanzania ! Haya Madera wanaovaa Wamama na Wadada ndio Mavazi ya Taifa au vipi maana wananchi wanayakubali kiaina. Ahsante.
  3. Masalu Jacob

    Dar Es Salaam: Uvunaji wa Umeme Jua

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza, je kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuna aina yoyote ya mradi wa kuvuna nishati ya Jua ili kuongezea mji nishati ya kutosha? Maana imekuwa muda mrefu Mji wa Dar es Salaam Jua lipo la kutosha linawaka kwa uzuri sana. Asante na karibu.
  4. Masalu Jacob

    Bima ya Afya kwa wote: Hii inawezekana

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza swali kwa kuweka oni juu ya bima ya afya kwa wote! Hivi kwa mfano tukiamua kama Taifa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 raia pekee (only Tanzania citizen) kuchangia Tshs. 1,000 kwa mwezi tu. Hii ikawa ni utaratibu tu katika Taifa letu kwa sharti kuwa...
  5. Masalu Jacob

    Nashauri kila basi la masafa marefu liwe na mtaalam wa afya

    Habari Tanzania ! Napenda kutoa wazo kwa Serikali kuhusu kuzilinda afya za abiria wa masafa marefu ikiwapendaza iwekwe amri kwa kuyataka Mabasi yote yanayofanya safari za masafa marefu yawe na mtaalamu aidha 1 au 2 kwa kila gari kwa ajili ya huduma ndogo ya afya. Hii itachochea kulindwa kwa...
  6. Masalu Jacob

    Maendeleo: Bado hatujachelewa katika ukweli

    Habari Tanzania! Pole kwa uchovu wa majukumu na mihangaiko ya hapa na pale katika kutimiza majukumu yako. Naomba nitoe ushauri kwa SERIKALI hii. 1. Ufugaji wa kuku wa kisasa Mkoa wa SINGIDA Napenda kushauri mkoa wa Singida uwe HUB ya Ufugaji wa KUKU wa kisasa na kienyeji. Kwakua mkoa huu...
  7. Masalu Jacob

    Katiba Mpya: Pendekezo la Afya za Wagombea nafasi za Uwakilishi

    U hali gani Mtanzania? Napenda kutoa wazo na pendekezo maalumu kuhusu afya za wagombea Urais, Ubunge, Udiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa au Vijiji liwepo ndani ya Katiba Mpya itakayokuja tumika katika taifa letu Tanzania. Wazo lenyewe ni hili; Mgombea yoyote katika ngazi yoyote ya...
  8. Masalu Jacob

    Wazo la Tozo Mpya: Wanachama wa siasa na Mawaziri

    Habari Tanzania! Leo napenda kutoa wazo kwa ajili ya kulijenga Taifa letu kwa umoja na ushirikiano wa hali ya juu. Naomba kupendekeza wazo la tozo mpya ; Tozo ya Kwanza: Tozo itoke kupitia wanachama wa vyama vyote vya siasa tulivyonavyo hapa nchini. Mfano, kila mwanachama wa chama cha siasa...
  9. Masalu Jacob

    CHADEMA, Vijana someni sana ili kuongeza ufahamu

    Habari Tanzania! Leo napendezwa niongee na enyi vijana kizazi kipya kwenye masuala ya Utaawala na Siasa Kazi. 1. Siasa; Unapobomoa " Legacy " ya utawala wowote/ yoyote ukumbuke utawajibika kiutawala na utapata adhabu yenye kukupa adabu aidha uache nia ovu uliyonayo kwa kujua au kutokujua; au...
  10. Masalu Jacob

    Miaka 60 ya Uhuru: Kwanini Katiba Mpya?

    Habari Tanzania! Naomba kuuliza wapenda nchi eti kwa muda wote huo wa umri wa nchi miaka 60 ndio tutake KATIBA MPYA? Kwanini kwa miaka yote 60 eti ninyi mnawaza maendeleo tu yasiyo kikomo au kuakisi mahitaji? Kwanini hawa wapenda siasa na waishio ndani yao wanapenda kuaminisha UMMA yakuwa...
  11. Masalu Jacob

    KATIBA MPYA: Umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30

    Habari Tanzania! Kwakuwa taifa tunakwenda kutengeneza mifumo mizuri na sio watu au chama imara katika nchi. Nashawishika kwa kutoa wazo la umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30 na kuendelea kwasababu zifuatazo; 1. Vijana ni wengi sana kuliko idadi kundi rika lolote Tanzania kwa umri tajwa. 2...
  12. Masalu Jacob

    Katiba Mpya: Wagombea binafsi mpo?

    Habari Tanzania! Leo najisikia raha kwa kumkumbuka aliyewahi kuwa mwenyekiti wa DP ndugu, Mtikila. Alipenda sana na kuweka mkazo chanya juu ya kuhitaji uwepo wa watahiniwa binafsi katika ngazi za chaguzi za Kiserikali hususani kupitia siasa. Mfano; Wenyeviti wa vijiji/ Mitaa, Madiwani, Wabunge...
  13. Masalu Jacob

    Uzalendo na maana yake kwenye maendeleo katika Taifa

    Habari Tanzania! Naomba niwakumbushe vijana, wazee na watoto machipukizi ya kuwa Uzalendo huwa unajumuisha na kubebwa kifuani na watu wachache. Katika taifa lolote walio wazalendo huwa ni wachache sana na wanauwezo wa kufanya lolote, popote na wakati wowote kwa kuishi katika manufaa ya taifa...
  14. Masalu Jacob

    Napendekeza kufufua Azimio la Arusha na kurasimisha Katiba ya Warioba

    Habari Tanzania! Poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale kwa marika yote. Napenda kutoa wazo kwa Utawala wa sasa na ule ujao kama itawapendeza na kuona inafaa kwao; na wanapenda kuona kesho yao ikiwa nzuri wanapaswa kwanza kulifufua upya Azimio la Arusha na baadae ndio pafanyike kusimikisha...
  15. Masalu Jacob

    Sehemu ya kwanza: Nikiwa Rais wa Jamhuri ya watu wa Tanzania

    Habari Tanzania! Sifa nzuri na safi ya kuwa Rais wa Tanzania inanogeshwa zaidi endapo unaifahamu ardhi yote ya taifa; haiba za raia; matakwa ya taifa; lengo la maendeleo; ustawi wa jamii na ubora wa maisha ya ndoto za waliowengi. 1. Viwanda Tutaanzisha viwanda vipya vidogo vyenye tija na...
  16. Masalu Jacob

    Leo na Kesho: CCM izidi kutawala Tanzania

    Habari Tanzania! Naomba kushiriki nanyi mawazo mapana na mtazamo usio kikomo. Katika uongozi wa awamu ya tano (5) nimegundua mambo makuu yafuatayo; 1. Nchi hii wapinzani waliopo wote kwa vyama vyote vilivyopo si wema kabisa 100% na hawafai abadani. 2. Rais kujiita mtetezi wa wanyonge ilikuwa...
  17. Masalu Jacob

    Serikali Hii: Kama mnawapenda vijana wahitimu wa vyuo basi ruhusuni ajira hii kwenye taasisi zenu

    Habari Tanzania! Leo nimewiwa wazo zuri sana nimeona ni busara kulileta hapa ili Serikali (mhusika mkuu) na Vijana (walengwa) kuhusu ajira mpya ya kimapinduzi kwa vijana nchi nzima. WAZO LA AJIRA Vijana waruhusiwe kupata tenda ya kufanya usafi katika taasisi za Shule za Msingi na Sekondari za...
  18. Masalu Jacob

    2025: Vijana ni taifa jipya Tanzania

    Habari Tanzania! Nafurahi kuona raia na wazalendo wachache nchi hii kutokukata tamaa, wenye ujasiri na shupavu kukabili changamoto hasi zilizopo mitaani. Vijana na wazee wachache wanaojitambua napenda kuwasihi mambo bado; umsiogope; mwisho wao waliowatesi wenu ndio mwanzo wa furaha kuu yenu na...
  19. Masalu Jacob

    Uchaguzi 2020 Sasa & Baadae: Pigia kura chama chenye sera inayogusa maisha yako

    Habari Tanzania! Kura & Uhusika: Hii ni kwako wewe ndugu mtanzania na kwa wale wote wanaohusika na upigaji kura. Nakuomba kwa kukuwekea msisitizo ewe mpiga kura na Mtanzania tafadhali sana, hakikisha unakwenda kukipigia chama chenye mgombea mzuri, makini na ambaye mwenye sera safi inayogusa na...
  20. Masalu Jacob

    Tanzania Mpya: Ubunifu wa majiji ya kisasa yasiokuwa na usiku (Sun Cities)

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza juu ya hii sayansi na teknolojia tukiifanya kwenye taifa letu itaweza kutatua shida zetu zote. Je, kwasasa hatuwezi kuyaboresha majiji yetu kwa kubuni sayansi ya juu ya nishati ya kuzalisha mwanga mkali katika anga kwa kuhudumia eneo husika. Mfano; Uzalishaji...
Back
Top Bottom