Wazo la Tozo Mpya: Wanachama wa siasa na Mawaziri

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Habari Tanzania!

Leo napenda kutoa wazo kwa ajili ya kulijenga Taifa letu kwa umoja na ushirikiano wa hali ya juu.

Naomba kupendekeza wazo la tozo mpya ;
Tozo ya Kwanza: Tozo itoke kupitia wanachama wa vyama vyote vya siasa tulivyonavyo hapa nchini. Mfano, kila mwanachama wa chama cha siasa anapaswa kutoa kwa lazima Tsh.4,000 kwa mwaka kama tozo ili tujijenge kitaifa na kuleta nidhamu na umuhimu kwa hawa wanasiasa wetu ili wanapopata nafasi za kitawala wawe na uchungu na taifa letu.
1. CCM inajumla ya wanachama wasiopungua milioni 15 sawa na kusema (15,000,000*4,000) = Tsh.60,000,000,000 sawa na Bilioni 60.

2. CHADEMA inajumla ya wanachama wasiopungua milioni 12 sawa na kusema (12,000,000*4,000) = Tsh.48,000,000,000 sawa na Bilioni 48.

3. ACT Wazalenzo, NCCR Mageuzi, TLP nk

Kwa kupitia ada au tozo hii kwa wanachama wa vyama hivi vya siasa tutaleta usawa, haki, wajibu, maono sahihi na uchungu wa matumizi wa mali za UMMA.

Tozo ya Pili: Mawaziri na Manaibu Waziri
Napendekeza kila waziri na naibu wake kutoka kila wizara wakatwe Tozo maalumu isiyopungu Tsh.5,000,000 kwa Mwaka. Hii iende sambamba hata kama utatolewa katika Uwaziri au Unaibu hii pesa lazima utatakiwa kutulipa Ada au Tozo yetu ya mwaka.

Tozo ya Tatu: Kila Mbunge na Diwani hapa nchi alipie Tsh.200,000 kama Tozo kwa Mwaka.

Mfano, Wabunge wapo zaidi ya (300*200,000)= Tsh.60,000,000

Matumizi ya hizi Tozo

Napendekeza Pesa zote zitokanazo na Tozo hizi ziende moja kwa moja katika Bima ya Afya Bure kwa wote.

CC
1. Ofisi ya Rais
2. Ofisi ya Tamisemi
3. Ofisi ya Waziri Mkuu
4. Wizara ya Fedha na Mipango
5. Wizara ya Afya
 
hao wabunge walipe laki 2 kwanini? walipaswa walipe million 12 kwa mwaka ikiwa ni wastani wa million 1 kila mwezi.
 
Nchi ina madini, bahari ,mito na maziwa kila sehemu pana mbao achilia mbali ina rasilimali watu wa kutosha lakini wapo busy na tozo za line kwa shilingi kumi ni kutotumia kichwa vizuri na ubinafsi tuu hakuna kingine...na hatuna utegemezi wa chakula wapo busy na Matozo na kuibia watu bando kwa gharama kubwa...
 
Yaani nchi ina Mito,bahari,maziwa,madini tozo za nini yaani hakuna greatthinker huko CCM ,futeni elimu ya vyuo vikuu having Maana wakati aliyesoma na asiyesoma wanafanana
 
Back
Top Bottom