Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,440
- 1,645
Habari Tanzania!
Naomba kushiriki nanyi mawazo mapana na mtazamo usio kikomo. Katika uongozi wa awamu ya tano (5) nimegundua mambo makuu yafuatayo;
1. Nchi hii wapinzani waliopo wote kwa vyama vyote vilivyopo si wema kabisa 100% na hawafai abadani.
2. Rais kujiita mtetezi wa wanyonge ilikuwa fumbo juu ya CCM ya u-mimi na kujuana ( Mtendaji alipenda kujiweka kwa watu wasio nacho huku akiwaadhibu walionacho chamani). Hii ni fikra pana sana.
3. Nchi hii watu wengi sana wapo gizani juu ya elimu, rasilimali na sera maendeleo kutokana na kufungwa sambamba na kupumbazwa kifikra na watu wenye nia ovu kwa nchi yetu.
NB
Nitaisimamia CCM miaka yote na kuamini CCM ndio chama bora na safi kwa maendeleo ya taifa letu. Kiukweli vijana tuamke na tuione kesho ya nchi hii.
CCM ni bora zaidi kuliko kuishi bila chama hapa nchini.
Asante.