Mkiboresha Katiba kifungu cha umri Mgombea Urais kisomeke miaka 30

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Habari Tanzania!

Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea.

Kiukweli wananchi wanasisimkwa zaidi wakiongozwa na vijana na sio mafaza au mabraza ambao wamekuwa wanachangamoto nyingi za kiuwezo katika kutuletea maendeleo.

Asante.
 
Vijana wa Kitanzania wana mihemko. Imagine mtu kama sabaya awe rais asiwe na mtu wa kumzuaia chochote. Haki....
Uongozi hautaki hisia. Hasira, tamaa na Uongo kila mtu anaweza jizuia huhitaji hata mtu au watu.
 
Sikuungi mkono

Iwe hata hamsini huko

Sasa mtu anastaafu ana miaka 40 , baada ya hapo anaenda wapi?

Ndo chanzo cha kuwa na tamaa , hapo baadae atatamani tena agombee ..
URAIS sio Ajira Baba. Hii ni changamoto tukiendelea kuwaza hivi siku zote.
 
Urais unahitaji mtu matured kidogo ambaye ashazoea zoea madaraka kidogo. Ukimpa mtu madaraka makubwa mabyo hayajazoea, yanamlevya anaweza sana. Ni kama from no where masikini ashinde bilioni.
Kwanini hofu ni kubwa sana kuliko uhalisia. Lini tulikuwa na RAIS kijana akaleta hayo?
 
Kwanini hofu ni kubwa sana kuliko uhalisia. Lini tulikuwa na RAIS kijana akaleta hayo?
Vijana waliopewa madaraka yakawalevya ndio wanatutisha. Hivi kwa mtu kama sabaya aliyofanya imagine angekuwa rais. Na hapo alikuwa ana wakubwa wa kumtuliza.

Sisemi hao wazee hawafanyi but at least. Vijana madaraka inaelekea yanawalevya sana. Same akina Roma wanaijua shughuli ya fulani...
 
Back
Top Bottom