tozo mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tetesi: Je, hii ni tozo mpya kwenye akaunti za Benki?

    Habarini wana jamvi, natumaini mko poa sana. Leo katika mishe zangu ikaingia sms ya tozo, ikiwa na jina la PAYROLL LEDGER FEE na baadaye ikaja na ya VAT. Sasa nikapiga simu kwa bank husika kujua hii shughuli imeanza lini mbona sina experience ya hii shughuli na tulishaambiwa haya mambo hayapo...
  2. Replica

    Muhimbili waanza kulipisha tozo ya kuegesha magari, utaratibu utakuwa kwenye majaribio kwa wiki mbili

    Majaribio ya utaratibu mpya wa maegesho ya kulipia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili yameanza wiki hii, ikiwa ni jitihada za kupunguza msongamano wa magari. Akizungumzia utaratibu huo, Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Mohammed Janabi alisema majaribio yatadumu kwa wiki mbili...
  3. Mtini

    Serikali itueleze, imeanzisha tozo mpya kwenye manunuzi ya luku kinyemela? Au system imejichanganya, kwanini tozo zinakatwa mara 2 kwa mwezi?

    Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato. Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
  4. Masalu Jacob

    Wazo la Tozo Mpya: Wanachama wa siasa na Mawaziri

    Habari Tanzania! Leo napenda kutoa wazo kwa ajili ya kulijenga Taifa letu kwa umoja na ushirikiano wa hali ya juu. Naomba kupendekeza wazo la tozo mpya ; Tozo ya Kwanza: Tozo itoke kupitia wanachama wa vyama vyote vya siasa tulivyonavyo hapa nchini. Mfano, kila mwanachama wa chama cha siasa...
  5. Dr Msweden

    DOKEZO Halmashauri ya Temeke imeanzisha tozo mpya za taka

    Jioni hii nimepitia kuchukua hesabu katika moja ya pharmacy yangu iliyopo Mbande Chamazi nikakutana na hii barua kutoka serikali ya mtaa ,bahati nzuri aliyeleta hii barua alikuwa mtendaji nimeisoma yote nikaanza kumuuliza maswali kuhusu hizi tozo mpya za taka. Maswali niliyomuuliza alishindwa...
  6. Nobunaga

    Wasomi: Tozo mpya ya benki ni batili, ifutwe

    Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda kinyume na misingi inayokubalika duniani na haipaswi kutumika. Tozo hizo ambazo wanasema zinakata...
  7. Idugunde

    Wanazuoni: Tozo mpya ni batili hazifai. Mwigulu Nchemba amekurupuka. Double taxation haikubaliki

    Hii ni hatari kwa walalahoi na wavuja jasho. 👇 Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda kinyume na misingi inayokubalika duniani na haipaswi...
  8. Lord denning

    Tozo Mpya: Kwa tabia za Watanzania, Rais Samia kazia hapohapo

    Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo. Nchi inahitaji kodi ili huduma za maendeleo ziweze kutolewa na kama wananchi hawako tayari...
  9. mnengene

    Tazama gharama za ukarabati wa nyumba

    Kama attachment inavyojieleza Halmashauri nazo zinakuja na tozo zao mbalimbali
  10. Dejane

    New song: Rais wa kitaa wa Ney wa mitego

    Ney wa mitego kajitahidi sana hii nyimbo ina ujumbe mzuri kaongelea habari za tozo,wabunge 19,katiba mpya ,hizi ndio nyimbo sasa sio kila saa mapenzi tu wakati nchi ina matatizo kibao. Nimeipenda sana twendeni youtube sasa.
  11. Erythrocyte

    Tozo mpya za NMB kwa watumiaji wa Tanzanite Debit MasterCard kuanzia tarehe 28 Agosti, 2021

    Nimeona mahali tangazo lao kuhusiana na jambo hili , hebu lisome mwenyewe
  12. C

    Kwanini Rais Samia unafanya maisha yetu Watanzania kuwa magumu hivi?

    Habari wanaJF, Watanzania tunajiuliza kwa nini Rais wetu wa sasa anaruhusu mambo haya. Una ajenda gani? Je, wewe hutambui wananchi wako walivyo maskini na fukara sana?! Ngoja niwaoneshe, Chini yako Mh. Rais Samia umeruhusu mambo haya: 1. Umeongeza gharama za kutuma na kupokea hela katika...
  13. A

    Huenda walioanzisha tozo hawakuwa na lengo baya ila hawakufanya upembuzi yakinifu kumzingatia mwananchi

    MAKATO YA MIAMALA Kwa kipindi cha hivi karibuni suala la makato ya simu limekua gumzo nchini na kuibua sitofaham na kauli za utata kutoka kwa baadhi ya viongozi,,huenda walioanzisha tozo hizo hawakua na lengo baya ila naweza sema kwamba hawakufanya upembenuzi yakinifu pamoja na kumzingatia...
  14. ImanHB

    Ujio wa kodi mpya ni nini? Serikali inalenga nini kwa umma kuongeza tozo mpya kwa mlipa kodi kupitia miamala ya mitandao?

    KODI (ushuru) ni malipo ambayo kila mtu mwenye shughuli za kuingiza kipato anatozwa na serikali kulingana na kipato chake. Hivyo kodi ni chanzo cha mapato ya serikali ambayo hutumika kugharamia huduma za jamii zinazotolewa na serikali kama ujenzi wa miundombinu, ujenzi wa mahospitali, shule...
  15. Reginald L. Ishala

    Na wewe umepokea ujumbe huu wa tozo za huduma ya Simbanking?

    U hali gani, Mwana JamiiForums Nimepokea ujumbe toka Tigo Tanzania unaosema, Ndugu, Mteja! Kuanzia JULY 26, 2021 kutakuwa na tozo ya Sh 100 kupitia salio la kawaida la muda wako wa maongezi kwa kila atakayetumia huduma yoyote ya Simbanking sanjari na kuangalia salio. Je, Na wewe umepokea...
Back
Top Bottom