Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 948
- 1,092
Habari Tanzania !
Naomba kuuliza, je kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuna aina yoyote ya mradi wa kuvuna nishati ya Jua ili kuongezea mji nishati ya kutosha?
Maana imekuwa muda mrefu Mji wa Dar es Salaam Jua lipo la kutosha linawaka kwa uzuri sana.
Asante na karibu.