2025: Vijana ni taifa jipya Tanzania

2025: Vijana ni taifa jipya Tanzania

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,440
Reaction score
1,645
Habari Tanzania!

Nafurahi kuona raia na wazalendo wachache nchi hii kutokukata tamaa, wenye ujasiri na shupavu kukabili changamoto hasi zilizopo mitaani.

Vijana na wazee wachache wanaojitambua napenda kuwasihi mambo bado; umsiogope; mwisho wao waliowatesi wenu ndio mwanzo wa furaha kuu yenu na haitaweza potea maana hakuna dhalimu mwema na usijiweke kwenye mitego michache ya picha za matukio na maneno yasiyo staha kwa hadhira.

Mwisho

Apendae mafundisho hupenda ufahamu. Unachokipitia ni fundisho tosha tena lafaa kukupa ufahamu kuwa wachache wetu wenye makali sio wema.
 
Back
Top Bottom