Tangu upite uteuzi wa Wakuu wa Mikoa hakuna kinachofanyika huku kwenye Halnashauri.
Kauri yako uliyoitoa wakati unawaapisha wakuu wa mikoa ya kwamba " zege halilali ,hii itaenda hadi chini" umesababisha viongozi hao ku-relux na kutofanya kazi.
Wapo wanaosema mama unaingiza watu wako ,hivyo...
Rais wetu umejitahidi kufuta maumivu ya watumishi Wa umma wa nchi hii pamoja na makundi mengineyo yaliyokuwa yameathirika na utawala wa JPM.
Hakika katika utawala Wa mwendazake wananchi wameona rangi mbalimbali
Magufuri aliweka utaratibu mbaya Wa upandaji Wa madaraja ya mishahara pamoja na...
Katika uteuzi wa Wakurugenzi kuna jumla ya wakurugenzi 69 wa zamani wameachwa. Wakurugenzi hawa walio achwa ndio wale walio tumia nguvu nyingi kuhakikisha kwenye maeneo yao wagmbea wa ccm wanatangazwa kuwa washindi .
Nimekutana na mmojawapo Leo jioni hii analalamika kwamba alitumia nguvu...
Wamekimbia vituo vyao, wamejazana Dodoma eti wanasema wanapigana ili warudi. Vituo vingi vinakaa bila watu, kazi hazifanyiki.
Wapo huko wanaingaikie teuzi
Napingana sana na wana harakati na waumini wanao dai sasa nchi inahitaji katiba mpya ili iweze kwenda mbele.Mimi napingana nao kwa sababu kuu zifuatazo
1. Kwa sasa kudai uandaaji wa katiba mpya ni kupoteza fedha na muda kwa sababu sisi kama nchi bado hatuna uwezo wa kuisimamia hiyo katiba mpya...
Muundo wa Halmashauri zetu zina idara 12 na vitengo 6. Hivyo kufanya jumla ya wakuu wa idara na vitengo kuwa 18 . Kabla ya kuondoka watalaam wa Maji kwenda RUWASA Halmashauri ilikuwa na wakuu wa idara na vitengo 19.
Idara zilizopo katika Halmashauri ni idara ya Elimu Msingi, Idara ya elimu...
Kuna ongezeko kubwa la mabinti kuzalia home kwa wazazi kabla ya kuolewa.
Nimefanya utafiti ,majibu yangu yamejuwa na ukweli, Lakini sababu kubwa ni kutokana na
1. wanawake wengi kukata tamaa, 2.umri mkubwa,
3.lakini pia nimekutana na majibu ya wanawake waliamua kushika mimba baada ya...
Great thinker tusaidiane kuchambua uteuzi uliofanyika Jana na Mh.Rais ili kutambua ingizo jipya ni akina na CV zao kwamba walikuwa wapi kabla ya uteuzi, na waliotenguliwa ni akina nano
Nimeomba great thinker nikiamini huku ndio kunakopatikana habari za usahihi kiliko social media zozote,
Wakuu naomba msaada wa kusaidiwa mwongozo wa vikao vya baraza La wafanyakazi LA Halmashauri .Ikiwa ni pamoja na
1.wajumbe wake
2. Ikidi
3. Meza kuu wanakaa watu gani
4. Linatakuwa lifanyike Mara ngapi kwa mwaka
5. Mwenyekiti wake anapatikanaje
Watoto wa madarasa ya awali na darasa la kwanza hawapokelewi mashuleni mpaka wazazi watoe michango.
Utafiti uliofanyika unaonyesha mzazi wa darasa la kwanza analazimika kuchangia kati ya tsh. 15,000 hadi tsh. 80,000. Wakati wale wa awali michango yao ni kati ya tsh. 20,000 hadi 100,000.
Mbaya...
Vyama vya siasa vinavyo jitambua ambavyo vimeanzisha mchakato wa kudai Tume Huru ya uchaguzi vinaweza kucheza vizuri karata kama watamtumia Bernard Membe.
Namshauri Membe kutojiunga na chama chochote cha siasa ili kile anachokiamini kiweze kufanikiwa, apigane hii vita akiwa kama mwanaharakati...
Marekani ni taifa kubwa duniani lililojikita katika kuamini kulinda haki za raia duniani na dunia inakuwa sehemu salama ya kuishi limeshatoa adhabu na kutuonyesha njia.
Wanaopinga waje na data, marekani ametuonyesha njia tuchukue hatua dhidi ya kiongozi aliyetajwa na wote wengine watakao...
Nimepata tatizo la simu yangu , mara ya mwanzo nilikuwa natumia facebook lite kama wiki imepita nikaamua kuistall facebook nabkuachana na fb lite. Baada ya siku tatu nikaamua kuinstall zote yaani fb lite na fb .nimetumia hizo kwa takribani siku kama nne hivi, baadae nikaona zote zimepotea ...
Kwa kweli ajali ni ajali. Nakumbuka nimekutana na ajali nyingi za mapenzi . Wakati nikiwa kidato cha pili nilikutana na ajali ambayo siwezi kuisahau kamwe. Siku hiyo kulikuwa na wellcome. Form one ilipofika muda wa muziki kama saa 3 usiku hivi, kuna binti mmoja wa kidato cha tatu nilikuwaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.