Search results

  1. Mlachake

    DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limepokea taarifa za vijana watano wanaodaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwisho wa mwaka 2021. Kamanda Jumanne Muliro amesema wamezipokea na wanazifanyia kazi kuweza kufahamu usahihi wake. ==== Dar es Salaam. Fears have...
  2. Mlachake

    George Morara's 48-hour ultimatum and death

    Huyu George Marara, Alikua Mbunge Nchini Kenya Miaka ya Sabini. Akiwa katika kamati ya Bunge walipata nafasi ya kwenda Zambia Kikazi kama kamati ya Bunge. Wakati yuko Zambia aliingia Bar akakutana na Jamaa mmoja ambaye ilisadikika ndiye aliyemuuwa Mwanasiasa mashuhuru bwana Tom Mboya, Huyu...
  3. Mlachake

    Naomba Kujulishwa Kuhusu wale watuhumiwa wengine kesi ya akina Mbowe

    Kwa Mujibu wa Taarifu Tulizopata ni kwamba waliokua wametuhumiwa na Mheshimiwa Mbowe katika kesi ya Ugaidi walishahukumiwa na wameanza kutumikia kifungo? Iweje leo wamerudishwa mahakamani? Au walikata rufaa?
  4. Mlachake

    Kati ya njia hizi za wanawake kuonesha hasira ungempenda mwanamke yupi?

    Wakina mama wana Njia tatu ta kuonesha Hasira. 1. Silence 2. Crying 3. shouting. Ni yupi kati ya hawa ungependa awe mwenzi wako?
  5. Mlachake

    Who was Lissu's informer, does this have any effect on our internal security?

    Lissu started questioning whereabouts of the President on March 7th 2021. As per the Vice President our President Dr. John Magufuli was hospitalized on 6th March 2021. This clearly shows Lissu was fed information about the health of our President by his sources which he claims are reliable...
  6. Mlachake

    Wanasiasa wa Upinzani kuweni makini mnapofanya mahojiano na Media za Nje

    Leo nilibahatika kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini. 1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu 2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa 3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania...
  7. Mlachake

    I have lost taste in listening to local radio stations especially while driving to work

    I was a fan of one of these Dar Es Salaam local Radio stations especially listening on my way to the office each morning, But of recent I found my self loosing test in all these redios, Am not sure if its the 100s of adverts aired or what. Nowadays if am not in a mood to listen to music in my...
  8. Mlachake

    Kisumu pastor arrested for involvement in robberies

    Kisumu pastor arrested for involvement in robberies Police in Kisumu have arrested a pastor suspected to be behind a spate of robberies in the city which have increased since the national government declared a countrywide curfew from 7pm to 5am. The Pastor identified as Charles Odhiambo of...
  9. Mlachake

    Coronavirus patient came into contact with 85 people after escaping from Mbagathi Hospital

    Worrying development Coronavirus patient came into contact with 85 people after escaping from Mbagathi Hospital. The Kenyan government, through the Ministry of Health (MoH), on Wednesday revealed that one of the patients who tested positive for Coronavirus escaped the isolation facility at...
  10. Mlachake

    Cash exiting Banks to be quarantined

    Central Bank of Kenya Governor Patrick Njoroge has announced that cash exiting Banks will be quarantined for one week in order to contain Coronavirus. He has also said that loans received from banks to be reviewed in terms of payment for up to one year. If you had a bank loan that was due in...
  11. Mlachake

    ISIS warns terrorists to avoid Europe over coronavirus fears as killer ‘plague’ sweeps continent

    ISIS warlords have ordered their twisted followers to avoid heading to Europe over fears they will catch the coronavirus. The death cult - which has long called for bloody attacks on the West - has dubbed the outbreak a "plague" sent by God. ⚠ Read our coronavirus live blog for the latest news...
  12. Mlachake

    Je, unaweza kutambua umeambukizwa Virusi vya Corona bila kupimwa?

    Trending news kwa sasa hivi Dunia nzima ni Corona yenye chimbuko lake huko China Jimboni Wuhan, tangu December mwaka jana. Tangu kipindi hiki Wachina wamekuwa wakitembelea maeneo mengi ya Afrika ikiwemo Afrika Mashariki ambapo tunaaambiwa baadhi ya sehemu wamengezeka maradufu. Ikitokea kwa...
  13. Mlachake

    Uvaaji wa pete kama kinga ama zindiko

    Kuna kipindi fulani nikiwa nasota Kijiweni na Masela niliuziwa pete yenye kidani chekundu. Kuna rafiki yangu aliona nimevaa ile pete alishtuka sana akanipa nadharia nyingi sana kuhusu hizi pete. Kiukweli baada ya kama miezi miwili baadae majanga yalianza kuniandama moja baada ya lingine...
  14. Mlachake

    Video inayosambaa ikionesha jinsi upigaji wa pesa za miradi unavyotokea

    Sijafanikiwa Kujua Ni Wilaya gani lakini huu ni ushahidi tosha kwamba Tanzania ufisadi bado upo
  15. Mlachake

    Jinsi ya kujitoa au kufuta namba yako kwenye App ya TrueCaller

    Kabla ya kuangalia namna ya kujitoa kwenye huduma hii, kwanza ningependa tuanze kwa kutoa ufafanuzi Truecaller ni nini? TrueCaller ni app maarufu duniani inayowawezesha watumiaji wake kutambua majina ya watu au makampuni wanayotaka kuwasiliana nayo au yanayowapigia simu wao. Kwa kifupi...
  16. Mlachake

    Tigo yatangaza kuungana rasmi na Zantel

    Kampuni ya Mawasiliano ya MIC Tanzania Public Limited Company (Tigo), leo imetangaza rasmi kuungana na kampuni ya Zanzibar Telecom Public Limited Company (Zantel) baada ya kukamilika kwa taratibu zote za kisheria na kiumiliki ambapo lengo kuu ni kukuza na kuboresha huduma za mawasiliano nchini...
  17. Mlachake

    Watu waliokutwa na tausi wa Ikulu wahukumiwa kulipa Shilingi Milioni 6

    Watu watatu wanaodaiwa kukutwa na ndege aina ya tausi wa Ikulu wamehukumiwa kulipa fidia zaidi ya Sh6.8 milioni baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya uhujumu uchumi kwa kujihusisha na nyara za Serikali bila kibali. Kadhalika mahakama hiyo imetaifishwa ndege hao kuwa mali ya serikali. Pia...
  18. Mlachake

    How I was conned by a mzungu lady

    HOW I WAS CONNED BY A MZUNGU LADY ON 13TH OCT 2018: It started on Friday when I posted a vehicle am selling on OLX Kenya. A white lady posing as an interested party sent a text and enquired whether it was my vehicle. She requested me to send the interiors images of the vehicle through a...
  19. Mlachake

    MURDER SO FOUL: How killers excuted Willie Kimani:

    Chilling details were revealed on Monday as a confession made by one of the suspects in the murder of lawyer Willy Kimani, his client Josephat Mwenda and taxi driver Joseph Muiruri was presented in court. In his written statement Mr. Peter Ngugi, a police informer, revealed how the murder of the...
  20. Mlachake

    TCRA tunaomba mtuondolee huu usumbufu, matangazo ya kamari kwenye simu yamezidi

    Tunapata matangazo mengi sana ya Kamari kwenye simu ilihali wengine dini zetu haziruhusu. Hata kama dini hairuhusu bado wengine tunaona kero kwetu. Kuna matangazo ambayo unaweza kublock Number husika na hilo tangazo hutoliona tena. Kuna mengine hayana option ya kublock sender. Tunaomba haya...
Back
Top Bottom