driving

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa vyeti vya basic driving veta kipawa

    Tumemaliza toka mwezi wa 6 mwanzoni mbaka leo atujapata vyeti na kila kutiwatafuta wanasema baada ya wiki mbili hata ukienda pale veta kipawa majibu ayo ayo tunashindwa kufanya vitu vyengine sababu uwezi pata leseni ya udereva bila ya cheti sisi ni vijana kuna watu wana tutegemea veta kipawa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waliomalima VETA basic driving wanacheleweshewa vyeti vyao.

    Naombeni hii post mods mnisaidie kuiweka kwenye kero.Dira ya maendeleo 2025-2050 inasema elimu na ujuzi kwa maendeleo ya taifa na katika hilo waziri mkuu aliepita alishauri na kusistiza sana watu waende veta wakachukue juzi mbalimbali. Katika hao walioitikia huo ushauri Kuna wengine wamechukua...
  3. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Miaka 26 sina nachomiliki zaidi Bachelor Degree valid traveling passport, Driving License class D. NATOKAJE

    Suruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone Nahisi kupoteza Dira Wakuuu natokaje?
  4. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bus Driver detained for drunk driving

    Wansika Bosco taking the breathalyzer test Police have detained a bus driver after he was allegedly found driving under the influence of alcohol at the Maya checkpoint along the Kampala Masaka highway. The driver, identified as Wansika Bosco, who was driving bus registration number UAY 458F...
  5. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unataka kuanzisha Driving School? Haya ndio mambo ya kuzingatia ili ujenge biashara yenye wateja na faida

    Fikiria kijana anayemaliza shule, anapata kazi inayohitaji awe na driving licence, au mfanyabiashara anayehitaji dereva mwenye uwezo mzuri wa kuendesha gari. Kitu cha kwanza anachotafuta ni Driving School yenye uaminifu, walimu wazuri, magari salama na inayoweza kumsaidia kujifunza kuendesha...
  6. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Truck driver arrested for drunk driving after fleeing traffic police

    Oponya Martin in custody (image courtesy of SP Kananura Michael) Police have arrested the driver of a Sino truck, registration number UA 367AM, after he allegedly failed to stop when directed by traffic officers in Mpigi District. The driver, identified as Oponya Martin, was intercepted at...
  7. mr mtenya

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Habari,mimi ni dereva wa daraja la pili,umri miaka 32 natafuta kazi,kwa mwenye uhitaji namba za simu 0659972797
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Driving school iliyopo Tandika

    Habarini wakuu, naomba kujua kama kuna driving school nzuri iliyopo Tandika, karibu na soko la Tandika. Natanguliza shukurani.
  9. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Upgrading driving licenses classes (kutoka B na D kwenda c1,c2 na c3

    Topic: Upgrading Driving License Classes (Kutoka B na D kwenda C1, C2, na C3) Habari wakuu, Ningependa kujua kwa undani process za kuongeza madaraja ya leseni ya udereva. Kwa sasa nina madaraja ya B na D, lakini nataka kuongeza C1, C2, na C3 ili niweze kuendesha magari yenye madaraja ayo niliyo...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huduma Kenya Announces Plans to Contact Driving Licence, ID, and Birth Certificate Applicants

    The government has issued a fresh announcement, revealing how applicants will be contacted once their driving licences, national identity cards (IDs), and birth certificates are ready. In a brief notice on Thursday, February 12, Huduma Kenya disclosed that members of the public who applied for...
  11. Amani Girls Organization

    JamiiForums Tanzania Driving Change, Inspiring Action: Men as Allies

    The Challenge Approximately one-quarter of Tanzanian women will experience sexual violence before the age of 18, and in a National cross-sectional survey conducted with ~15,000, 15–24-year-old adolescent girls and young women, there was a reported 43% lifetime prevalence of transactional...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba na mifumo ya nchi hayaepukiki: Madereva 70 toka Tanzania wenye vyeti toka NIT wafeli mtihani wa driving Doha, Qatar

    Wakati raia wengi wakitaka mabadiliko kuanzia kwenye katiba na mifumo mingine inayoongoza nchi ili kuendana na mabadiliko ya science na technologia, Watanzania 70 wamejikuta wakishindwa usahili wa kuendesha magari ya kisasa aina ya VOLVO nchini Qatar na kubaki wakishangaa. Hayo yamesemwa na...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Naitwa Fredy Gendo, nipo Kilimanjaro Moshi, natafuta kazi nimesomea uongozi wa biashara ngazi ya cheti na nina VIP katika upande wa udereva, naomba msaada wenu wadau, barikiwa.
  14. SirAlfred006

    JamiiForums Tanzania Driving

    Madereva wa masafa marefu, mpo.. ?
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani Tanzania zinasema nini kuhusu Self Driving cars?

    Kwa kasi ya ukuaji wa teknolojia kwenye tasnia ya magari, self driving cars sio muda itakua kitu cha kawaida. Kwa nchi za wenzetu, wameshajipanga kwa ilo na kua na sheria na miongozo mbalimbali ya self driving cars. Wana sheria zitakazo solve migogoro endapo itatokea ajali, kutakua na...
  16. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania wakuu nashida na kazi

    kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nina leseni ya driving gari ndogo (sio class C) na nime-renew tangu 1990, leo hii nakataliwa ku-renew eti sina cheti!

    Hii nchi sasa imefikia kuwa na watawala wa kipumbavu sana. Nimekuwa na leseni ya kuendesha gari kwa miaka 34, na siku zote nimekuwa niki-renew bila tatizo. Leo hii nataka ku-renew TRA wananiambia mambo ya cheti cha udereva, shule sijui, nenda polisi na utumbo mwingi wa kuku kibudu. Hivi hawa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Driving lences

    Imepote
  19. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Usalama barabarani, vipi tukiweka camera black box na audio driving route recorder kwenye basi kama ndege

    Ikitokea ajali wanaangalia kamera za ndani na nje. Kamera ziwepo kama tatu. 1. Kuonesha mbele inapoenda 2. Kuonesha dereva anavyoact (hii irekodi na sauti - cockpit voice recorder 3. Iwe kwa abiria kiujumla kwa ajili ya usalama. Tumechoka kuambiwa tu, mwendokasi, sijui kona kali ndio sababu...
  20. TTCC_TECNO

    JamiiForums Tanzania Youth are technology game changers

    Youths are the technology game changers. They're creative and skilled with digital tools, making big changes in industries and society. With technology and global connections, they're breaking old rules, creating new ideas, and changing how things work in many areas. The power of young people...
Back
Top Bottom