vijana watano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MSAGA SUMU

    Hivi wale vijana watano wa Kariakoo walipatikana?

    Nilikuwa sina internet kwa muda mrefu, naomba kujuzwa kuhusu hawa vijana waliopotea mwanzo wa mwaka huu kama walipatikana? Pia, soma; https://www.jamiiforums.com/threads/dar-vijana-watano-wamepotea-katika-mazingira-ya-kutatanisha.1950163/
  2. Mlachake

    DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limepokea taarifa za vijana watano wanaodaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwisho wa mwaka 2021. Kamanda Jumanne Muliro amesema wamezipokea na wanazifanyia kazi kuweza kufahamu usahihi wake. ==== Dar es Salaam. Fears have...
  3. Equation x

    Wahahitajika vijana kwa ajili ya kutembeza nguo, viatu, na mabegi

    Wahahitajika vijana watano kwa ajili ya kutembeza nguo, viatu, mabegi ya mitumba maeneo mbalimbali mkoani Arusha. Aina ya kazi iko hivi:- Asubuhi utakabiziwa mzigo kutokana na uwezo wako, na utapewa malengo ya mauzo; kama utauza zaidi, kile kinachozidi ndio malipo yako; mfano suruali ya 5,000...
  4. My Son drink water

    RPC Shinyanga una taarifa ya vijana watano wanaoshikiliwa zaidi ya siku 10 kituo cha Polisi Bugarama, Msalala na kuteswa kikatili?

    Kuna vijana watano wapo mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Bugarama wilaya ya Msalala wanateswa kikatili, walikamatwa siku zaidi ya kumi zilizopita wakituhumiwa kuiba TV ya hawara yake na Polisi. Wanatishiwa kupewa kesi ya ujambazi wa kutumia silaha endapo hawatakiri kuiba hiyo TV. Taarifa za...
Back
Top Bottom