Naomba Kujulishwa Kuhusu wale watuhumiwa wengine kesi ya akina Mbowe

Mkuu yani ni hovyohovyo na bumbabumba tu.Wewe ona jana yule shahidi anavyoongea,mpaka anaomba kwenda kukojoa ili akaelekezwe kwa simu.

Hapo chadema hawajasema kuwa na wao watafungua kesi dhidi ya hao,vip kama wangesema hivo?

Very shame.
 
Kwa Mujibu wa Taarifu Tulizopata ni kwamba waliokua wametuhumiwa na Mheshimiwa Mbowe katika kesi ya Ugaidi walishahukumiwa na wameanza kutumikia kifungo?

Iweje leo wamerudishwa mahakamani? Au walikata rufaa?
Walikua 6 na watatu walihukumiwa tayari wakabaki hawa watatu
 
Vichokochoko aliudanganya umma wa Watanzania.

Kwa Mujibu wa Taarifu Tulizopata ni kwamba waliokua wametuhumiwa na Mheshimiwa Mbowe katika kesi ya Ugaidi walishahukumiwa na wameanza kutumikia kifungo?

Iweje leo wamerudishwa mahakamani? Au walikata rufaa?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom