Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.

Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?
sio dar tu,kwa sasa hakuna mji hapa tanzania,iwe wilaya,mkoa ambao hutawapata mashoga
 
Bado hatujamaliza kushuhudia vituko vya mambo ya dunia na watu wake.

Niko mapumziko ya wiki mahali, takriban kilometa miahamsini nje kidogo ya jiji la dar es salaam, napita kukagua ndugu na jamaa. Moja ya jamaa zangu amepatwa na kisa hiki naona Bora tushee humu.

Huyu sista ameolewa ndoa ya kiislamu yapata miaka mitatu sasa.

Mipango ya ndoa yote ilitengenezwa na mtu aliyejitambulisha kama dada wa muoaji(wifi incharge).

Baada ya taratibu za mahali na mambo ya kifamilia ambayo yote ilisimamiwa na huyo dada ikapangwa ndoa.

Siku ya harusi kweli waliokuja kuoa ni kikundi fulani cha wanaume wakiwa na bwana harusi wao.

Kwa taarifa zilizopo hapa tangu baada ya hiyo ndoa kufungwa huyo mwanaume hajawahi kuonekana tena katika ile nyumba ya dada yake aliyetengeneza mipango ya harusi.

Na huyu dada muolewaji anaishi na huyu wifi yake ambaye ndiye incharge wa ndoa.

Taarifa za ndani ni kuwa..
Mtu na wifi yake wanalala chumba kimoja.

Kuna dogo wa shule ya sekondari kidato cha pili msichana aliwahi kuja kuishi nyumbani kwa huyu dada yake aliyeolewa Kwa sababu ya kuishi eneo jirani na shule, alifanyiwa kitendo ambacho kilimwacha mdomo wazi ikabidi akiripoti Kwa mama yake na ndio kimeleta sintofahamu ya hii ndoa.

Dogo anasema Kuna siku akiwa anabadilisha nguo za shule chumbani kwake bila ya dada yake kuwepo nyumbani, yule wifi incharge alimfuata chumbani na kuanza kuchezea kifua chake na kumnyonya mat*ti yake.

Dogo ikabidi ahame na alivyobanwa kwanini amehama akakisanua.

Huyu wifi incharge kiasili ni wa visiwa vya malashi, nimebahatika kumuona. Mikato yake ya mavazi ni ile ya kidume dume ni mwendo wa suruali na pensi kama yule mtangazaji maarufu wa kipindi cha runinga cha mahojiano ya mezani.

Kaka wa muolewaji ambaye tuna ujamaa wa familia amegombana na dada yake sana akitaka dada amlete shemeji nyumbani, dada amekuwa mbogo, kimsingi huyu shemeji hapa ukweni hajulikani na wala hakuna mawasiliano yake.

Umewahi kutokea msiba mkubwa tu katika familia ya muolewaji, shemeji hajaja amekuja huyu dada yake wifi incharge.

Wifi incharge na huyu dada muolewaji wanatembea pamoja mpaka kusafiri wako wote, ajabu hata dada muolewaji akisema anaenda daslamu kwa huyo anayemwitaymumewe wanaenda wote na wanarudi wote na wifi yake.

Yaani hata muolewaji yeye haoneshi uwepo wa tatizo lolote.

Hii ndoa wadau hatima yake ni nini??

Na ni yepi maoni yako??
 
Una namba za huyo msagaji? Matanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom