Bado hatujamaliza kushuhudia vituko vya mambo ya dunia na watu wake.

Niko mapumziko ya wiki mahali, takriban kilometa miahamsini nje kidogo ya jiji la dar es salaam, napita kukagua ndugu na jamaa. Moja ya jamaa zangu amepatwa na kisa hiki naona Bora tushee humu.

Huyu sista ameolewa ndoa ya kiislamu yapata miaka mitatu sasa.

Mipango ya ndoa yote ilitengenezwa na mtu aliyejitambulisha kama dada wa muoaji(wifi incharge).

Baada ya taratibu za mahali na mambo ya kifamilia ambayo yote ilisimamiwa na huyo dada ikapangwa ndoa.

Siku ya harusi kweli waliokuja kuoa ni kikundi fulani cha wanaume wakiwa na bwana harusi wao.

Kwa taarifa zilizopo hapa tangu baada ya hiyo ndoa kufungwa huyo mwanaume hajawahi kuonekana tena katika ile nyumba ya dada yake aliyetengeneza mipango ya harusi.

Na huyu dada muolewaji anaishi na huyu wifi yake ambaye ndiye incharge wa ndoa.

Taarifa za ndani ni kuwa..
Mtu na wifi yake wanalala chumba kimoja.

Kuna dogo wa shule ya sekondari kidato cha pili msichana aliwahi kuja kuishi nyumbani kwa huyu dada yake aliyeolewa Kwa sababu ya kuishi eneo jirani na shule, alifanyiwa kitendo ambacho kilimwacha mdomo wazi ikabidi akiripoti Kwa mama yake na ndio kimeleta sintofahamu ya hii ndoa.

Dogo anasema Kuna siku akiwa anabadilisha nguo za shule chumbani kwake bila ya dada yake kuwepo nyumbani, yule wifi incharge alimfuata chumbani na kuanza kuchezea kifua chake na kumnyonya mat*ti yake.

Dogo ikabidi ahame na alivyobanwa kwanini amehama akakisanua.

Huyu wifi incharge kiasili ni wa visiwa vya malashi, nimebahatika kumuona. Mikato yake ya mavazi ni ile ya kidume dume ni mwendo wa suruali na pensi kama yule mtangazaji maarufu wa kipindi cha runinga cha mahojiano ya mezani.

Kaka wa muolewaji ambaye tuna ujamaa wa familia amegombana na dada yake sana akitaka dada amlete shemeji nyumbani, dada amekuwa mbogo, kimsingi huyu shemeji hapa ukweni hajulikani na wala hakuna mawasiliano yake.

Umewahi kutokea msiba mkubwa tu katika familia ya muolewaji, shemeji hajaja amekuja huyu dada yake wifi incharge.

Wifi incharge na huyu dada muolewaji wanatembea pamoja mpaka kusafiri wako wote, ajabu hata dada muolewaji akisema anaenda daslamu kwa huyo anayemwitaymumewe wanaenda wote na wanarudi wote na wifi yake.

Yaani hata muolewaji yeye haoneshi uwepo wa tatizo lolote.

Hii ndoa wadau hatima yake ni nini??

Na ni yepi maoni yako??
Kwani wew yanakuhusu nini? Fanya mambo yako mzee
 
Kusagwa asagwe yeye maumivu msikie nyie.
Waache wasuguane vinembe tu. Wakikinai wenyewe wataenda kutafauta michi ya kuwatwanga.
 
Rinajifanya linapigana vita dhidi ya ushoga na usagaji kumbe lenyewe ndo linarushwa maji
images - 2024-02-23T213846.344.jpg
 
Jf salaam.

Ukweli ni kwamba Hali ni mbaya sana uraiani sio Dar Wala mikoani Hali ni mbaya mno.

Serikali ni vyema Sasa ikatoka hadharani kama imeshaidhinisha kisiri Siri kuruhusu huu ushetani iseme ama kama imeshindwa basi jukumu hili tukabiziwe wananchi tuwashughulikie sisi wenyewe ama Kwa hakika tutawamaliza na kuwatokomeza kabisa!!

Inatia hasira sana na kuhudhunisha mno pale unapoona shoga anakata uno halafu Kuna mwanamke mtu mzima ana sapoti kile kinachofanyika.

Huyo huyo mwanamke anaomba usiku na mchna asije akazaa mtoto papai Ili Hali yeye Watoto wa wenzie anatoa support kubwa tu.

Tafiti zisizo rasmi japo nikweli Kwa 100% marafiki wengi na Wa karibu wa mashoga ni wanawake!

Hii inasikitisha sana.

Naomba serikali ituruhusu wananchi tuwashughulikie ipasavyo.
 
Attachments

  • Facebook 914331304035804(480p).mp4
    4 MB
Back
Top Bottom