Hii kitu ipo ila naona pia hii mitandao ya kijamii imekuwa sehemu kubwa sana ya kuongezeka na kushawawishi hv vitu mm ni mmoja kati
Watu ambao natamani sana serikali yetu ifungie mtandao wa tik tok

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mawazo mgando kama haya basi utasema ifungie mitandao yote, ikate umeme ifunge barabara ifunge shule , ifunge hospital ifunge kila kinachotumiwa nao.
 
Sijui mnataka nmuarobaini gani wa hili tatizo. Kitabu cha NJIA PANDA YA USAWA WA KIJINSIA kilishatoa
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!

Zanzibar inanuka Ushoga, imejaa Ushoga na inaongoza kwa Vitendo vya Ufiraji kwa Bara zima la Afrika.

Kisiwa cha Zanzibar nikisiwa kizuri sana ila kimenajisiwa na Mashoga.

Nina visa lukuki kuhusu Mashoga hapo Zanzibar nadhani ipo siku nitaandika hapa,ni Mungu tu alininusuru sikuweza kugegeda Shoga hapo kisiwani lakini hali ni mbaya sana! Yupo mmoja ambaye nimempiga Block na chati zake ninazo ambazo anitangazia dau nene.

Zanzibar imebarikiwa kuwa na mashoga wengi kuliko wanawake wazuri.

Wanaume hao hao wanaojifanya watu wa swala 5 ndiyo wafiraji wa hao mashoga.

Zanzibar hakuna dini ila kuna Sanaa ya dini.

Ninachukia Ushoga na Siupendi Ushoga hata kidogo.

Swali: Je, dini ya kiislamu bado haijafua dafu hapo kisiwani Zanzibar kwa kuukomesha Ushoga?
 
Back
Top Bottom