Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 32,236
- 33,936
Huyu mwanahabari anamtega mwenzake hajui kuwa Msiba bado yuko Mwibara!
Huyu mwanahabari anamtega mwenzake hajui kuwa Msiba bado yuko Mwibara!
UNa maanisha kuwa Zitto Kabwe?Zitto na Maalim
Alikuwepo Juzikati kwenye hicho kipindi piaUNa maanisha kuwa Zitto Kabwe?
Ni mphiraji?
Akasema anaheshimu faraga za mashogaAlikuwepo Juzikati kwenye hicho kipindi pia
Na huyu anasema aliamua kumpuuza Musiba na Gazeti lakeAkasema anaheshimu faraga za mashoga
Oyaaaaaaa, daaaaaahKama Mwakinyo yuko vile na ni bondia, je hao walio mtaani ni hasara tupu
Kama Mwakinyo yuko vile na ni bondia, je hao walio mtaani ni hasara tupu
Huyu mwandishi wa habar aliemuhoji Suphian yupo serious
FafanuaHomosexuality ni suala la muda tujiandae tu kisaikolojia
Kwa mawazo mgando kama haya basi utasema ifungie mitandao yote, ikate umeme ifunge barabara ifunge shule , ifunge hospital ifunge kila kinachotumiwa nao.Hii kitu ipo ila naona pia hii mitandao ya kijamii imekuwa sehemu kubwa sana ya kuongezeka na kushawawishi hv vitu mm ni mmoja kati
Watu ambao natamani sana serikali yetu ifungie mtandao wa tik tok
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
MItandao ya kijamii ni tatizo tanzaniaHii kitu ipo ila naona pia hii mitandao ya kijamii imekuwa sehemu kubwa sana ya kuongezeka na kushawawishi hv vitu mm ni mmoja kati
Watu ambao natamani sana serikali yetu ifungie mtandao wa tik tok
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hizi campaigns zinazoendelea ni ngumu sana. Unless tuweze kua na uwezo wa kujiendesha kama nchi bila kutegemea vya kupewa.