Hili nalo neno
 
Uongo mtupu huu!
 
Yes ,huyo wa Iringa ni mtaa wa karibu kutoka home,alikuwa mwanachuo,chuo cha Tumaini kamaliza Education, wakati anasubiri ajira ndo akawa anakodisha hizo movie sijui,kumbe anawafanyia michezo watt!
Muuza chips jirani anakwambia alikuwa ananunua ht chips za elf 10 basi watt wanajaa kwake balaa,anaondoka na mmoja mmoja.
Kuna dada mwalimu namfahamu akasema amewahi kuishi nae km mpangaji mwenzie nyumba moja akiwa anasoma anasema hajawahi kumuona akiwa na msichana zaidi ya watt,so walijua ni mtu anapenda tu watoto hawakuwahi kufikiria kuwa anawaingilia kinyume!
Sa pata picha watt wangapi amewaharibu?
 
Kama izo sio ishu zako puuza na wafukuzie mbali huko, ishu zinakuzwa kwasababu watu wanapenda kuwafatilia sana.

Mambo kama hayo kama hayakuhusu pita ivi, hilo la kusema kusitisha ni haiwezekani sema tu kama lipo kwenye kaya yako basi shuulika nalo ila kama lipo mbali nawe lipuuze. Hizi kufatilia nani kawaje na kawa vipi ni kuwapa umaarufu sana.

Nakupa mfano mmoja mkuu, mtaani kwetu kuna bwabwa na anaufurahia ubwabwa wake kiasi kwamba anafurahia ule umaarufu anaoupata kama hao kina james delicious. Mtu kama huyo jamii ikimpuuza na mambo yake haitaathiri saana kama kila kukicha akawa anaongelewa.
 
Sio kweli. Ukipata muda ukamuona kijana shoga hebu keti nae na anza kumhoji kuhusu makuzi yake na namna ameanza hayo maswala utajifunza kitu.
Mkuu nilishawahoji kadhaa.

Nilichohitimisha ni hicho.

Ingawa kuna wachache kama usemavyo wameathiriwa na makuzi
 
Mashoga hapo Dar mnawatengeneza wenyewe kwa kuwalawiti watoto halafu mnakuja kulialia hapa JF
Hili nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Ufirauni imekuwa kama fashion ya wanaume wengi wa Dar. Na mra nyingi watu huanzia kwa wanawake. Wanaume wengi siku hizi wanawalawiti wapenzi wao wa kike. Ina maana akishazoea ni rahisi kufanya hivyo kwa mwanaume mwenzake.
 
Ulifanya makosa sana. Suala linalohusisha mtoto mdogo ulitakiwa uripoti polisi. Mtoto mdogo hana akili hivyo anatakiwa kulindwa na sisi wakubwa.
 
 

kupuuza inawezekana.lakini sijui kama umewaza kuhusu lika la watoto wadogo wanajifunza kitu gani!!!

nikupe mfano kupitia serikali inavyo handle hili swala.
ni kosa kisheria watu kunyanduana,lakini haiingilii faragha ya mtu au watu,isipokuwa kosa atakapoianika faragha yake.
kama anafanya siri ni sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…