Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

mkinijibu hili swali nitaanza kuupinga ushoga!
iweje mtu aumie kwa jambo linalofanywa na mtu fulani, tena jambo ambalo haliathiri mtu/ maisha ya mtu mwingine?
inakuwa kuwaje?
bado sijapata logic.
 
Kiongozi, tunaongelea hoja uliyoiweka. Nami nimechukua sehemu tu ya mada yako, au ukikurupushwa kuandika heading bila kufikiria?
I bet umefanya mijadala mbalimbali, watu wanachukua sehemu ndogo tu ya kile unachosema na kuanzisha mjadala. Nijibu basi, wazungu wametuharibia vijana wetu, hao vijana wenu akili zao zipo wapi hadi waharibiwe? Unataka kusema vijana wenu hawana utashi hadi wamagharibi wawaharibu from miles away??
Naona sasa umepunguza mihemko na unajadili kimjadala sasa
Kila kitu kina target audience, ndio maana wewe huwezi kukaa kwenye tv na kuangalia katuni unajua ni kwa nini? You are not a targeted audience
Tunaelewa msimamo wa wazungu kwenye suala la ushoga, kwao hili ni haki ya msingi ya binadamu kwamba kila mtu ana uchaguzi wake na ni haki yake lakini kiafrika Tunaelewa kuwa ushoga ni laana
Nchi nyingi za ulaya zimehalalisha ushoga na ndoa za jinsia moja kuna vyama vingi official vya mashoga na vina haki zote
Africa kwa kiasi kikubwa inagetemea misaada toka nchi hizo si maramoja nchi zilizokataa ushoga zimetishiwa kunyimwa misaada
Hizi NGO nyingi zinahamasisha haki za mashoga na kwa kiasi kikubwa target audience yao ni vijana
Kuna vijarida vingi machapisho mengi video nyingi na mitandao mingi inayohamasisha ushoga na vyote hivi vinapata ufadhili toka kwa wazungu na target audience ni vijana
Ndio maana imefika mahali sasa kutokana na hamasa hiyo ya wazungu vijana wengi wanaona hiki ni kitu cha kawaida...
Ishu ya kusema kwani hao vijana wamelazimishwa!ni point moja ya kipuuzi mno kwakuwa tunajua brainwashing wanayofanyiwa vijana ni vigumu mno kuchomoa...tuna mifano halisi kwenye hili
To the best of my knowledge Nimejaribu kukueleza kwa ufupi kwanini nikaamua kutumia hiyo heading
CC: Eli79
 
Yeah, how can I write something ain't know? , u know I know that why ua pissed off
Hahaha bora uandike Kiswahili
First it's not piss off it's to get pissed. Piss off means go away( dismissal)
Secondly am not pissed. The term you used is derogatory to a certain community, that's y I asked if you understand what you wrote Don't be ignorant. Go read something instead of airing your ignorance to the public.
 
Mshana Jr.

Pole sana kwa mashambulizi. Ni lazima kwa kiasi kikubwa wazungu walaumiwe. Kwa sababu wana advocacy gay. Wao wanasema kuna watu wamezaliwa hivyo. This is a total lie. Hakuna mtu anazaliwa ******, wala Malaya wala jambazi. Haya mambo huwa yanakuwa introduced na mazingira aliyoishi mtu.

Wazungu wameshalegalise same sex marriage. Hakuna nchi afrika wameshalegalise.

Sinema zao kwa mfano series ya EMPIRE kwenye almost 70 per cent wanaonyesha same sex sexual scenes.

Hawa wanaotetea ushoga nyuma ya key board. Inawezekana ni mashoga lakini wana act kwamba sio. Kama ni kitu kizuri kwanini wajikatae.

Ukitetea ushoga maana yake ni kwamba ukiwa na mwanao wa kiume akikuletea basha nyumbani utampongeza kwa kutumia neno sexual orientation.

Siungi mkono ushoga wala mwanaume kumla tigo mwanamke. Na sasa kuna NGO ya kimarekani hapa bongo inatoa KY jelly kwa mashoga free of charge ili wakafanye vizuri. So wicked.

Kama wewe ni mwanaume na unataka mwanaume mwenzako akuingie. Acha basi kupiga kelele ili tujue unafanywa. Jifungie chumbani kwako na basha lako. We don't need to know.
Mkuu Asante kwa bandiko zuri me ningekua kiongozi wa juu ningechoma moto mashoga wote pumbafu sana hawa gay
 
Naona sasa umepunguza mihemko na unajadili kimjadala sasa
Kila kitu kina target audience, ndio maana wewe huwezi kukaa kwenye tv na kuangalia katuni unajua ni kwa nini? You are not a targeted audience
Tunaelewa msimamo wa wazungu kwenye suala la ushoga, kwao hili ni haki ya msingi ya binadamu kwamba kila mtu ana uchaguzi wake na ni haki yake lakini kiafrika Tunaelewa kuwa ushoga ni laana
Nchi nyingi za ulaya zimehalalisha ushoga na ndoa za jinsia moja kuna vyama vingi official vya mashoga na vina haki zote
Africa kwa kiasi kikubwa inagetemea misaada toka nchi hizo si maramoja nchi zilizokataa ushoga zimetishiwa kunyimwa misaada
Hizi NGO nyingi zinahamasisha haki za mashoga na kwa kiasi kikubwa target audience yao ni vijana
Kuna vijarida vingi machapisho mengi video nyingi na mitandao mingi inayohamasisha ushoga na vyote hivi vinapata ufadhili toka kwa wazungu na target audience ni vijana
Ndio maana imefika mahali sasa kutokana na hamasa hiyo ya wazungu vijana wengi wanaona hiki ni kitu cha kawaida...
Ishu ya kusema kwani hao vijana wamelazimishwa!ni point moja ya kipuuzi mno kwakuwa tunajua brainwashing wanayofanyiwa vijana ni vigumu mno kuchomoa...tuna mifano halisi kwenye hili
To the best of my knowledge Nimejaribu kukueleza kwa ufupi kwanini nikaamua kutumia hiyo heading

Unachoandika hakina logic kabisa
Target audience ipi hasa ulikuwa unalenga unapozungumzia issue ya mapenzi ya jinsia moja?? Hawa ni sehemu ya jamii yetu au ulikuwa unataka wachangie wenye msimamo wa kibaguzi Kama wa kwako.

Pili unazungumzia haki za mashoga kuwa ni haki za binaadamu kwa wazungu ila sio kwa waafrika, Ina maana waafrika sio binaadamu hadi wasiwe na haki hizo?? Ndio maana zinaitwa human rights( haki za binaadamu) pasipo kuangalia race, religion, social or economic background
 
Duuu bora sikuiona hii thread Mshana ingenipa matatizo kuna watu wana majibu ya nyoko ,sema wewe jamaa una busara sana ,
Nilijiandaa vilivyo kisaikolojia nawafahamu vilivyo nimeishi nao wana majibu ya shobo na nyodo mno. Usipokuwa makini unaweza kurusha ngumi
Kuna mmoja katetea sana kitu kinachoitwa transgender huu ni ulemavu kama ulivyo ulemavu wowote ule na isiwe kisingizio cha kufanya kuwa wote wako hebu ona picha hizi
9de724721dcf2d85863e6fc9d146df51.jpg
6f0a8c2bd6c50ff2e542cd987dbdcb5e.jpg
Huyu ni typical transgender ni mlemavu wa jinsia
f3f33346b2214152a50296e9c033c7b2.jpg
hawa ni kutokana na kuiga hawa hawana tofauti na wanajifanyisha na kujilazimisha ulemavu
 
Unachoandika hakina logic kabisa
Target audience ipi hasa ulikuwa unalenga unapozungumzia issue ya mapenzi ya jinsia moja?? Hawa ni sehemu ya jamii yetu au ulikuwa unataka wachangie wenye msimamo wa kibaguzi Kama wa kwako.

Pili unazungumzia haki za mashoga kuwa ni haki za binaadamu kwa wazungu ila sio kwa waafrika, Ina maana waafrika sio binaadamu hadi wasiwe na haki hizo?? Ndio maana zinaitwa human rights( haki za binaadamu) pasipo kuangalia race, religion, social or economic background
Haki za binadamu ni kitu cha kujichanganya mno hata hao unaowasifu wameshindwa kuitimiza kwa asilimia mia
Kusingekuwa na vita dhidi ya mihadharati na madawa ya kulevya
Kusingekywa na sheria kali zinazozuia unywaji pombe uliopitiliza
Mambo ni mengi na Usiwe brainwashed na slogan usizozijua
 
Nilijiandaa vilivyo kisaikolojia nawafahamu vilivyo nimeishi nao wana majibu ya shobo na nyodo mno. Usipokuwa makini unaweza kurusha ngumi
Kuna mmoja katetea sana kitu kinachoitwa transgender huu ni ulemavu kama ulivyo ulemavu wowote ule na isiwe kisingizio cha kufanya kuwa wote wako hebu ona picha hizi
9de724721dcf2d85863e6fc9d146df51.jpg
6f0a8c2bd6c50ff2e542cd987dbdcb5e.jpg
Huyu ni typical transgender ni mlemavu wa jinsia
f3f33346b2214152a50296e9c033c7b2.jpg
hawa ni kutokana na kuiga hawa hawana tofauti na wanajifanyisha na kujilazimisha ulemavu
Nimemuona huyo mdau na utetezi wake wa transgender ,walahi kuna watu wana roho ngumu ,haya ni maisha ila mtu kutetea haramu kwa nguvu zote kisa sijui mimi au wewe hatuna mamlaka ya kujudge ,
Wengi wao wameiga tu huo upuuzi wala tatizo sio kwamba wana hormone imbalance
 
Na wale ma-anti maarufu wa Magomeni na mwananyamala, nao walifundishwa na wazungu?
 
To answer your question y god created man and woman
I don't know because I wasn't there when he was doing this so called creation and i don't know his mind. When you see him or talk to him ask him that question.

Though to my understanding every species has the male and female sex for the purpose of reproduction. But then again man engages in sexual activity not purely for reproduction but for pleasure as well.
Your arguement is too low. Sex is a universal natural need for both humans and anything living. So, apart from the perverts like you who want to go against nature, give me ten examples of other living things that engage in sex with the same sex for pleasure.
 
Hahaha bora uandike Kiswahili
First it's not piss off it's to get pissed. Piss off means go away( dismissal)
Secondly am not pissed. The term you used is derogatory to a certain community, that's y I asked if you understand what you wrote Don't be ignorant. Go read something instead of airing your ignorance to the public.
Am glad u got me , actually am trying to learn kimalkia, it's not my mother tang, am practicing, thanks at least ua understanding me, this means am progressing , but wacha kutetea hao mapunga, unless ua one of them.
 
Mkuu Asante kwa bandiko zuri me ningekua kiongozi wa juu ningechoma moto mashoga wote pumbafu sana hawa gay
Wewe acha upumbavu umeshachoma wangapi? JF tafadhali fungia watu kama hawa hatuhitaji chuki za kijinga.
 
Kila mtu ana mtazamo tofauti. Ila mitazamo mingine ya kisenge sana. Una Mtoto wa kiume anakuletea mkwe ambaye ni mwanaume mwenzie utakubali au?

Halafu kuna watu wanatetea ujinga tu.
 
Kila mtu ana mtazamo tofauti. Ila mitazamo mingine ya kisenge sana. Una Mtoto wa kiume anakuletea mkwe ambaye ni mwanaume mwenzie utakubali au?

Halafu kuna watu wanatetea ujinga tu.
Wanaotetea ushoga lzma nao ni mashoga uwezi kua mwanaume wa kweli afu unatetea ushoga kwangu big no
 
Sisi ndio twawaendekeza ilitakiwa hawa watu wasiwe wanaona usiku akijulikana tu ni shoga wanamtoa fasta lazima watajificha au kuacha kabisa
Dsm na Zanzibar nasikia wako wengi sana, tena hawana kificho. Waziri wa utamaduni yupo ila hasemi.
 
Back
Top Bottom