Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,022
- 26,352
Let's ushahidi amelipua wapimwisho wa mbowe ni huu hamuwezi kushindana na huu ushahidi unamfunga mbowe ni gaidi
Acha unaa kichwa panzi wewe
Let's ushahidi amelipua wapimwisho wa mbowe ni huu hamuwezi kushindana na huu ushahidi unamfunga mbowe ni gaidi
Siro alisema wananchi wamuulize Mbowe, na kwamba wao wana ushahidi. Kinachowafanya wajikojolee ni nini? Wananchi tumekuja Mahakamani kufuatilia kesi. Hiyo tunaruhusiwa kisheria. Shida iko wapi?Si mna Maria space na HC?
Notebook ni Facility ya polisi? 🙄🙄🙄
Wasipochafuka watajifunzaje?Kesi uchwara hii, yote haya ni kujitakia aibu na fedheha.
kawekwa kwenye kona sasa
Rama anataka kuanza kutema pumba kabla hajazisahau???
kasomewa kifungu anatoa macho tuNotebook ni Facility ya polisi? 🙄🙄🙄
😁
Ulinzi sawa, sio kuzuia watu. Halafu hatutaki janja ya nyani. Eti security wamejaza majakama ili wananchi na waandishi wa habari wakose nafasi! Mfyuuu!! Mmelikoroga mtalinywa tu!Ni jambo jema!
Mbowe ni Kiongozi mkubwa ulinzi lazima uimarishwe.
Notebook ni Facility ya polisi?
Shut up!Si mna Maria space na HC?
Si mara yao ya kwanza kusema wanao ushahidi. Mwigulu aliwahi kuwa na ushahidi mpaka mbinguni wakati Rwakatale amebambikiwa na case ya ugaidi.si walisema wana ushahidi ?!
Sisi wananchi ni haki yetu kupata habari tunalipa kodi wanakwenda chooni kwa sababu sisi tunawalipa mishahara lililotokea leo kwa genge la polisi ni laana kwa familia zaoUlinzi sawa, sio kuzuia watu. Halafu hatutaki janja ya nyani. Eti security wamejaza majakama ili wananchi na waandishi wa habari wakose nafasi! Mfyuuu!! Mmelikoroga mtalinywa tu!