Danpol

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
5,358
2,000
Mahakama imeamuru wasikilizaji waingie lakini simu lazima ziwe zinazimwa mbona huelewi?

Kwani serikali ovu na njema ni ipi kwa rejea ya vigezo vyako hapo juu?

Serikali zote dunania
1. Hutumia nguvu kupeleka mambo yake inakotaka hata kwa kutumia njia za ulaghai
2. Wanamizengwe na taratibu zinazokatisha tamaa na kuchochea rushwa
3. Serikali inayobadilika bila kuwa na msimamo imara katika mipango na matarajio yake haifanikiwi

*Serikali inayojifanya ni ya kidemokrasia hiyo inaficha uovu uliokithiri kuliko yenye kutumia nguvu kufanikisha mambo yake
Simu hazizimwi, simu hua zinatolewa saut digidig ww
 
Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
1,497
2,000
Simu hazizimwi, simu hua zinatolewa saut digidig ww
Kwa hiyo kama haizimwi kama unavyotaka kulazimisha kuwa unaacha kufutilia mwendo wa kesi unaipokea?

Ukipokea simu unaonea kwa sauti au unafanyaje usipitwe na kinachoendelea?

Kile unachokifanya hapo mahakamani wakati shughuli za mahakama zikiendelea haziwabughudhi wengine?

Je, kutuma kila kinachojiri hapo mahakamani wakati huo hakiingilii uhuru wa mahakama na kuwaelekeza mkondo upi wauchukue kufanya uamuzi bila kudhibiti hisia za maslahi binafsi?
 
Baada ya kusoma paragraph ya kwanza inatosha kukupuuza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom