Si mna Maria space na HC?
Siro alisema wananchi wamuulize Mbowe, na kwamba wao wana ushahidi. Kinachowafanya wajikojolee ni nini? Wananchi tumekuja Mahakamani kufuatilia kesi. Hiyo tunaruhusiwa kisheria. Shida iko wapi?
Mhhh... shida hawataki waadhirike!!

Ndio Maria space ipo. Lakini huko tutajadili tulichoshuhudia mahakamani. Mnafichaficha nini?
 
1631789326986.png
 
Jeshi hili halina tena mamlaka ya kuwalinda raia na Mali zake maana Lina ingilia mhimili wa Mahakama kwa kifupi hili genge la polisi limekuwa corrupted ,Sirro unatia aibu sisi wakatoliki umesoma seminari zipi yaani polisi wanaingilia Mahakama kivipi?Polisi wa Tanzania mlaaniwe tena mlaaniwe fikiria shahidi aina ya R.P.C kingai anadanganya umma kwamba kuna madawa ya kulevya wakati kwenye maelezo yake ya awali hakuna madawa hayo!!Je hao polisi wengine wapoje?
 
Ulinzi sawa, sio kuzuia watu. Halafu hatutaki janja ya nyani. Eti security wamejaza majakama ili wananchi na waandishi wa habari wakose nafasi! Mfyuuu!! Mmelikoroga mtalinywa tu!
Sisi wananchi ni haki yetu kupata habari tunalipa kodi wanakwenda chooni kwa sababu sisi tunawalipa mishahara lililotokea leo kwa genge la polisi ni laana kwa familia zao
IMG_20210806_115539.jpg
 
67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom