usafi wa mazingira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MaylaGladson

    Natamani sana Dar es Salaam ingeweza kuzingatia sana kwenye usafi wa mazingira maana kwa mazingira yalivyo kwa sasa sio salama

    Habari wana Jamii Forum Ningeomba niwasilishe hili swala kwa jamii ili tuliongelee. Dar es Salaam ni Jiji zuri sana kwa hapa Tanzania ambalo linapendwa na wengi na huo ndio ukweli usiopingika,lakini pamoja na uzuri wake wote kuna kitu kimoja tu kinashusha thamani ya Jiji hili nacho ni MAZINGIRA...
  2. shamzugi

    Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Tanga kuna uozo mkubwa, Serikali imulikeni

    Kwanza nianze kwa kuwapa salam. Muende moja kwa moja kwenye malalamiko yangu. Ni jumanne ya wiki hii nyumba tunayoishi Mimi pamoja na wapangaji wenzangu tulikatiwa maji kutokana na baadhi yetu kulimbikiza malipo ya Ankara za Kila mwezi. Siku ya jumatano tulifanikiwa kulipa bili pamoja na faini...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Zaytun Swai: Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini Itawasaidia Sana Akina Mama

    MBUNGE ZAYTUN SWAI: PROGRAMU ENDELEVU YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI ITAWASAIDIA SANA AKINA MAMA Mhe. Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha tarehe 11 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini...
  4. NetMaster

    Nawashangaa watu wachafu wanaohangaika kusafishiwa nyota wakati tatizo ni uchafu, kuoga na usafi wa mazingira ni shida. Nani umvutie?

    Tena ni hasa jamii flani ya sehemu flani (sio dini) nisingependa kuitaja kuna baadhi yao uchafu kwao ni suala la kawaida kabisa, mtu kuwa msafi ni kwa nje tu juu juu lakini usafi wa mwili na mazingira anayoishi upo chini mnoooo, atafukiza mamoshi ya udi kuondoa harufu, kuoga zinapita hata siku 3...
  5. M

    Weka wazo lako la kuishauri serikali kuhusu kuboresha usafi wa mazingira

    Habari ya jioni wanaJF, Mimi kama mkazi wa DSM nimeona niweke hii thread hapa ili tuwe tunaishauri serikali jinsi ya kuboresha usafi wa mazingira tunayoishi. Ushauri serikali ifanye haya. 1. Kuongeza kodi maradufu kwenye nepi za watoto wanaoziita baby diapers... Hizi zimekuwa uchafu maeneo...
  6. Venus Star

    Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye Katiba?

    Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye katiba? Nimekuwa nikitatizika sana na usafi wa mitaa yetu. Hakuna jitihada zozote zinazoongelewa kuhusu usafi wa mazingira yetu. Inasikitisha sana kwamba tupo na ngazi za uongozi kutoka kwenye mitaa lakini hakuna utashi wa kuhimiza watu...
  7. R

    Mnaoweka mkojo kwenye chupa na kutupa barabarani mnakwaza

    Hivi mtu unafikira nini mpaka unatoa haja ndogo na kuweka kwenye chupa na kisha kwenda kutupa mtaani? Huoni kwa kufanya hivyo mbali na kuharibu mazingira unahatarisha afya za wanaotumia barabara hiyo? Kawe, DSM Hizo kwenye video siyo petroli au pombe, ni mkojo! Lita mbili na zaidi! Mbaya...
  8. Mchokoo

    DOKEZO Magari taka kumwaga uchafu pembezoni mwa Tawi la Mto Zinga Mwanagati, Ilala, Serikali mko wapi?

    Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia? Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini kuwaweka kwenye nafasi hizo? Wananchi wakianza kufa msiseme hamkuambiwa. Hapa Mwanagati wilayani, Ilala...
  9. Suley2019

    Plastic Waste Pickers: The Shunned and Scorned Environmental Warriors of Tanzania

    By Mweha Msemo | June 23, 2022 Dar es Salaam. Plastic waste is a common sight on many streets of Dar es Salaam. Recklessly disposed of from homes and stores or thrown out of the windows of daladalas and private vehicles – it adds to the unsightliness of this already heavily polluted economic...
Back
Top Bottom