NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,853
Tena ni hasa jamii flani ya sehemu flani (sio dini) nisingependa kuitaja kuna baadhi yao uchafu kwao ni suala la kawaida kabisa, mtu kuwa msafi ni kwa nje tu juu juu lakini usafi wa mwili na mazingira anayoishi upo chini mnoooo, atafukiza mamoshi ya udi kuondoa harufu, kuoga zinapita hata siku 3 yeye ananawa tu, chumbani uvunguni makopo na sahani. UCHAFU!
Ajabu ni pale pia wameendekeza mambo ya kuamini ushirikina wa kusafisha nyota, dawa ya kupendwa, mvuto wa biashara n.k. bize kutwa nzima kudhani wameibiwa nyota wakati ishu kuu ni uchafu, hivi kweli hata huko angani kungejaa taka na uchafu tungeweza kuziona nyota?
Na huwa siamini mambo ya majini lakini huku unakuta watu wanalalamika wana majini, niliwahi sikia majini hupenda kukaa sehemu chafu kama chooni, basi naona ya kwamba yatakuwa yanapenda kukaa pia kwenye miili michafu na vyumba vichafu.