tafuta hela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nandy tafuta hela uanzishe media station

    Nikimuangalia Nandy namuona kama mwanangu kwa umri wake. Ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana na pia ndiye msanii pekee wa kike nchini mwenye Personality nzuri sana. Ninatamani kuona siku moja akijikomboa kwa kuanzisha media station yake NA HAKIKA INGEBAMBA SANA kuliko Wasafi media. Nimeshauri...
  2. Nyafwili

    Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

    Umaskini ni mbaya sana, hasa pale ikiwa ndani ya ukoo wewe ndiye maskini zaidi kuliko wengine, epuka mikusanyiko ya familia hadi uwe na pesa. • Ikiwa unajua wewe ndiye masikini zaidi kati ya ndugu zako au hufanyi vizuri kwenye masuala ya kifedha, ninapendekeza uepuke matukio ya familia au...
  3. mdukuzi

    Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

    Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta. Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Tafuta hela, scrub sio udada!

    Nimetafuta hela juani, siku nyingine vumbini, mara nyingine ni kwenye mvua au porini nalala na fisi. Sasa nakuja mjini kuchukua hela mara moja, kwa nini nisiingie saloon spa kufanya scrub kujiweka safi na masaji kuupa mwili raha! Tafuta hela, ukipata hutaona kama scrub ni udada. Weekend njema...
  5. Fortilo

    Hakuna Kauli mbovu na ya kizembe niliyowahi kuisikia kama hii ya "Tafuta Hela"

    One of the most reckless statement ever... Kauli ya kizembe sana.. Mtu anafanya kaz serikalin au kwa Kampuni binafsi unamwambia tafuta hela? Unataka aibe au? Na hii kauli ya reja reja sio ya bahati mbaya, ni ya machekbobu wanaotamba kwenye mitandao na scraps za dola 10-15k. Hii kauli inakuwa...
  6. B

    Ameniambia" Tafuta Hela" Najiuliza mbona yeye Wenye Hela hawamuoni?

    Duniani kuna majambo na vijambo. Basi bwana juzi nikiwa natoka kwenye mishe zangunza kijamii nikapita Atm. Eneo hilo kuna Parking so nikajump kidogo pale na kuweka Mkweche wangu. Eneo hilo hilo kuna Yard ya Wauza Nyapu. Turudi nyuma kidogo, siku hizi ukikutana na Mwanamke Mzuri au mwenye...
  7. Notorious thug

    Tunatumia vibaya neno "tafuta hela"

    Nimeona uzi flani wa mdau kaenda GSM MALL SHOP kaona kitanda kinauzwa 8M kaja na uzi anatushauri tutafute hela. Najiuliza tutafute hela kwa ajili ya kununua vitu vya bei kubwa na starehe nyingi zisizo na maana kisa tumetafuta hela? Naona tutafute hela tuukabili umasikini ila sio kwa kufanya...
  8. MamaSamia2025

    Acha makasiriko tafuta hela": kauli inayochochea mmomonyoko wa maadili

    Kwa wakati huu wakati taifa linakabiliwa na tatizo kubwa la kukosa maadili kumetokea pia namna nyingi za shetani na wafuasi wake kuwakatisha tamaa wale wote wanaopigania maadili mema. Imefikia wakati mtu ambaye anashauri kuhusu mwenendo mzuri kwenye jamii kudhalilishwa na kuonekana mjinga na...
  9. Killa Cam

    Tafuta hela ikusaidie uzeeni

    Tafuta hela iwe mlizi wako usitafute hela kwa kupata wanawake wazuri. Ukiwa na hela ina kupatia heshima kwenye familia na jamii. Ukiwa na hela ukiumwa inakuwa rahisi kwako kupata matibabu mazuri. Tafuta hela ikupe mke mwema sio mke mzuri, unaweza kuwa na mke mzuri wa sura na umbo lakini akawa...
  10. MAWEED

    Vitu ambavyo sio vya kufumbia macho ukiwa mwanaume

    Salaam, twende kwenye mada, Ukiwa kama mwanaume hutakiwi kufanya haya; 1. Kutokuwa na pesa wala kazi yoyote ya kukuingizia kipato. 2. Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja wakati huna kipato kikubwa. 3. Kumpondea mwanaume mwenzako kwa mwanamke. 4. Kutokuwa na manzi/kutofanya mapenzi. 5. Kutovaa...
Back
Top Bottom