miongozo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    Naomba tufikirie kidogo na tupeane miongozo

    Seriikali ni taasisi moja ya sifa ya Taasisi huongozwa kwa mfumo Rasmi (bureucracy} baadhi ya sifa au kiini cha BUREUCRACY ni sheria na kanuni, kuajiri kwa kufata sifa na kuwepo kwa mfumo wa vyeo{hierarchical system} sifa hizi zinaipa taasisi nguvu ya kutokuwa na mfumo wa mazoea ambao ni...
  2. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Khamis Hamza - Fedha Zinatumika kwa Kusimamia Miongozo

    MHE. KHAMIS HAMZA KHAMIS - FEDHA ZINATUMIKA KWA KUSIMAMIA MIONGOZO Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis (Mb) akiwa katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni yaliyoulizwa na Mhe. Zahor Mohamed Haji ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mwera "Fedha za...
  3. Sildenafil Citrate

    Miongozo bora ya ukusanyaji na matumizi ya Taarifa binafsi za watu

    Mbinu za Taarifa za Haki ni seti ya miongozo ya ukusanyaji na matumizi ya data. Miongozo hii ilipendekezwa kwa mara ya kwanza na kamati ya ushauri kwa Idara ya Afya, Elimu, na Ustawi wa Marekani mwaka wa 1973. Baadaye ilipitishwa na Shirika la Kimataifa la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo...
  4. E

    Wenye Dhamana watathmini changamoto za sensa na kutoa miongozo mipya

    Kwa mtizamo wangu zoezi la sensa limekuwa na "poor planning" Mitaani watu wengi inaonekana hawajafikiwa na zoezi hili katika siku ya kwanza ya 23/08/2022. Siku hii ndiyo ya mapumziko, watu wameshinda nyumbani na makarani hawakuonekana. kuanzia tarehe 24, kila mtu atakuwa kwenye shughuli zake...
  5. S

    Rais Samia: Serikali itafanyia kazi ushauri na miongozo ya Wabunge

    Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa Wabunge. Hongera SSH kwa spirit hii ya kuwasikiliza viongozi wenzako
  6. HEKIMA itawale

    Miongozo dhaifu imeathiri udahili wa wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma Vyuo Vikuu vya Tanzania

    Wataalam na wadau wa elimu ya juu wamewaomba viongozi wa serikali kuanzisha utaratibu maalum utakaoviruhusu vyuo vikuu nchini kuwapokea wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma kozi ya shahada Tanzania. Kwa sasa ni wanafunzi wenye alama za ufaulu sawa na elimu ya sekondari ya juu (Kidato cha Sita)...
  7. C

    Miongozo ya utunzaji wa Kadet isipauke haraka

    Hii ni miongozo kwa wanaopenda kuvaa kadeti, fanya haya ili isipauke mapema. ☆Tumia sabuni ya kipande unapoifua usitumie sabuni ya unga ☆Igeuze nje ndani unapoifua ☆Usiianike kwenye jua anika kwenye kimvuli ☆Usiipige pasi ikibidi ipige ikiwa imegeuzwa ☆Usiiloweke muda mrefu kwenye maji...
Back
Top Bottom